Najua huu ni ukweli unaouma kwao lakini huo ndio ukweli wenyewe.Aheri HR officers wa serikalini au mashirika ya umma ya Kitanzania wabongo wenzetu.Nawapa Kongole sana ila hawa wengineo mhhh
Lakini kwa haya makampuni ya kigeni ya wazungu maofisa hawa kwanza wanajali matumbo yao halafu kumtetea...
Hello JF.
Katika purukushani za kusimamia ulinzi na usalama wa maliasili za nchi yetu, tulisikia hoja nyingi kutoka kila kona ya nchi.
Mojawapo ni ni mchapano wa Mabaraza haya mawili, Baraza la Maaskofu, TEC lililoleta hoja kali kinzani kwa serikali.
Pili, Baraza Kuu kabisa la Waislamu...
Watanzania wengi ni maskini,hakuna shaka yeyote kuhusu jambo hilo.Kwa nini Watanzania ni maskini ndilo jambo ambalo limeonekana kusumbua watu wengi. Kikwete yeye alisema hajui kwa nini Watanzania ni maskini. Sasa inashangaza kwa kuwa kama ni hivyoo, kwanini alitamani kuwa Rais kwa vile jukumu...
Ndio ukweli huo.
Katika taifa la watu milioni 60 bado nafasi chache na nyeti zinazohitaji akili iliyochangamka na energetic lakini bado anateuliwa mstaafu anayetakiwa kukaa na wajukuu nyumbani ale jasho la ujana wake.
Rais Samia amekua mlalamikaji sana hivi karibuni kuhusu utendaji wa watu...
Na Askofu Bagonza
1. Rushwa
Rushwa bandarini ndiyo imesababisha bandari ifanywe inachofanyiwa. Wakiishapeana rushwa, serikali inakosa mapato, mizigo inachelewa, inapotea, na bandari limekuwa pango la majizi.
Swali ni je, kila penye rushwa tuuze? Tubinafsishe? Tukabidhi sekta binafsi?
2 ...
Kuhusu mkataba wa kilaghai wa kuchukua Bandari zetu milele na kuwakabidhi Waarabu wa Dubai, kama si kwa maslahi yake na wajomba zake Waarabu, basi na awakane sasa hao waarabu ndio tujue ana nia njema na uko kuuza bandari za Tanganyika.
Mama lazima aambiwe ukweli kwamba hata kama alikuwa na nia...
Ukiangalia kwa makini utaona kwamba wakati Sasa umefika wa kuwa na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee.
Kama maslahi ya wanzibari yanasimamiwa na Serikali ya Zanzibar ni kwa nini basi kusiwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya Tanganyika?
CHADEMA endeleeni kupambana na DP World huku wenzenu wakiungana kukamilisha taratibu za kukabidhi bandari zetu.
Wameungana kwa nguvu moja kwamba yanayofanyika yana tija kwa vizazi vyao, ninyi hoja yenu ni maslahi kwa wanyonge.
Je, wanyonge na wao nani atapewa kipaombele? Ofcos familia zao...
Tunakumbushana tu leo ndio tarehe 10/08/2023
---- UPDATE----
Mahakama Kuu nchini Tanzania hii leo imetupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga mkataba (IGA) wa uwekezaji wa bandari baina ya serikali ya Tanzania na falme ya Dubai.
Kesi hiyo iliyofunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Mbeya na...
Fukuto huko ndani ya chama chao.
Kila mtu anaona amezidiwa katika level ya uchaww Kwa kuwa chawa wa mama wako hoti imeelezwa kuwa wanakwapua nafasi nyingi za uteuzi na nyazifa mbali mbali kuliko vyama rasmi vya chama hiko.
Hapa chini kwenye clip sikiliza Kalipio hilo inayosambaa mitandaoni.
Mgongano wa maslahi wa wazi wazi Spika wa Bunge amemnyamazisha Mbunge Tabasamu asiongelee kuchezewa kwa tenda katika mchakato wa ununuzi wa mafuta wanaondesha mchakato unaolalamikiwa na Tabasamu ni Ewura na bosi wa hiyo taasisi ni mume wa Spika.
Hii ina maana Makamba alimshauri Rais amteue mume...
Utawala bora ni mchakato wa kupima jinsi taasisi za umma zinavyoendesha shughuli zake, kusimamia rasilimali za umma na kuhakikisha utekelezwaji wa haki za binadamu kwa njia ambayo kimsingi haina dhuluma na ufisadi kwa kuzingatia sheria.
Kulingana na Umoja wa Mataifa, Utawala Bora hupimwa kwa...
UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KULETA TIJA KWENYE SEKTA YA MICHEZO NA SANAA KWA MASLAHI YA UMMA NCHINI TANZANIA
Utangulizi
Sekta ya michezo na sanaa ina umuhimu mkubwa katika kuimarisha utamaduni, kujenga umoja, na kuleta furaha kwa jamii. Kwa maslahi ya umma, uwajibikaji na utawala bora ni...
Daaaaaaaaaah
Kuna maslahi gani ya ziada kati ya CCM yetu na mkataba wa DPW ??
Budget ya hii mikutano kuhusu kinachoitwa ELIMU ya mkataba wa DPW imetoka wapi ??
Kwanini imekuwa ghafla na kwa CCM kufanya uamuzi wa ajabu ambao haujapata kutokea wa kuzunguka NCHI kuelezea mkataba mmoja tu ...
Wanabodi
Nianze kwa kuchukua tafsiri ya neno Siasa kutoka Wikipedia Dictionary
Politics (from Ancient Greek πολιτικά (politiká) is the set of activities that are associated with making decisions in groups, or other forms of power relations among individuals, such as the distribution of...
Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.
Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.
Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya...
Ndugu wanajamvi!
Nakusalimuni nyote!
Tangu mama Samia ashike madaraka baadavya kifo cha bwana yule mama wa watu amechukua mrengo wa kiungwana huku akionesha dhamira ya kweli kutoka moyoni mwake kuliunganisha taifa lililokuwa limesambaratishwa na hayati bwana yulee.
Mambo yamekuwa yakienda...
Hii ndio falsafa ambayo mlitakiwa msimame nayo.
Nia thabit kupinga ufisadi.
Kwenye sakata la bandari mpaka sasa mmeonyesha hamtaki mali za Watanganyika kuibiwa. Mmeweka kando utamu wa asali na kukomaa.
Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa
Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.