maslahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa wanaodhani maofisa wa rasilimali watu HR(Human Resource) wako kwa ajili ya maslahi yako waandike maumivu

    Najua huu ni ukweli unaouma kwao lakini huo ndio ukweli wenyewe.Aheri HR officers wa serikalini au mashirika ya umma ya Kitanzania wabongo wenzetu.Nawapa Kongole sana ila hawa wengineo mhhh Lakini kwa haya makampuni ya kigeni ya wazungu maofisa hawa kwanza wanajali matumbo yao halafu kumtetea...
  2. Kati ya mwanasiasa na mwanataaluma yupi apewe kipaumbele kufanya maamuzi yenye kugusa maslahi ya watu na Taifa?

    Ni kaswali nimekaa tu nikatafakarii nikaona hemu niwaletee na ninyi wadau? Wanasiasa na wana taaluma someni comment za wadau mtapata kitu.
  3. Kati ya TEC na BAKWATA, nani kasimamia vyema maslahi ya nchi katika sakata la DP WORLD?

    Hello JF. Katika purukushani za kusimamia ulinzi na usalama wa maliasili za nchi yetu, tulisikia hoja nyingi kutoka kila kona ya nchi. Mojawapo ni ni mchapano wa Mabaraza haya mawili, Baraza la Maaskofu, TEC lililoleta hoja kali kinzani kwa serikali. Pili, Baraza Kuu kabisa la Waislamu...
  4. Viongozi wa Afrika hawana budi kujali maslahi ya watu wao kuliko yao binafsi, mabeberu wa nchi za Magharibi na wengineo

    Watanzania wengi ni maskini,hakuna shaka yeyote kuhusu jambo hilo.Kwa nini Watanzania ni maskini ndilo jambo ambalo limeonekana kusumbua watu wengi. Kikwete yeye alisema hajui kwa nini Watanzania ni maskini. Sasa inashangaza kwa kuwa kama ni hivyoo, kwanini alitamani kuwa Rais kwa vile jukumu...
  5. Teuzi za wastaafu hazina maslahi kwa taifa: Wateuliwa wanawekwa kulipa fadhila

    Ndio ukweli huo. Katika taifa la watu milioni 60 bado nafasi chache na nyeti zinazohitaji akili iliyochangamka na energetic lakini bado anateuliwa mstaafu anayetakiwa kukaa na wajukuu nyumbani ale jasho la ujana wake. Rais Samia amekua mlalamikaji sana hivi karibuni kuhusu utendaji wa watu...
  6. Askofu Bagonza ameandika haya kwa maslahi ya taifa kwa fasihi nzuri

    Na Askofu Bagonza 1. Rushwa Rushwa bandarini ndiyo imesababisha bandari ifanywe inachofanyiwa. Wakiishapeana rushwa, serikali inakosa mapato, mizigo inachelewa, inapotea, na bandari limekuwa pango la majizi. Swali ni je, kila penye rushwa tuuze? Tubinafsishe? Tukabidhi sekta binafsi? 2 ...
  7. Mkataba wa Bandari: Rais amkane Mwarabu, vinginevyo ni maslahi yake na sio ya Tanganyika

    Kuhusu mkataba wa kilaghai wa kuchukua Bandari zetu milele na kuwakabidhi Waarabu wa Dubai, kama si kwa maslahi yake na wajomba zake Waarabu, basi na awakane sasa hao waarabu ndio tujue ana nia njema na uko kuuza bandari za Tanganyika. Mama lazima aambiwe ukweli kwamba hata kama alikuwa na nia...
  8. Wakati umefika sasa kuwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee

    Ukiangalia kwa makini utaona kwamba wakati Sasa umefika wa kuwa na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee. Kama maslahi ya wanzibari yanasimamiwa na Serikali ya Zanzibar ni kwa nini basi kusiwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya Tanganyika?
  9. R

    CHADEMA pigeni kelele mchoke, sisi na vyama vingine vya upinzani tumebinafsisha bandari kwa maslahi yetu na vizazi vyetu

    CHADEMA endeleeni kupambana na DP World huku wenzenu wakiungana kukamilisha taratibu za kukabidhi bandari zetu. Wameungana kwa nguvu moja kwamba yanayofanyika yana tija kwa vizazi vyao, ninyi hoja yenu ni maslahi kwa wanyonge. Je, wanyonge na wao nani atapewa kipaombele? Ofcos familia zao...
  10. J

    Mbeya: Mahakama Kuu yatoa baraka Uwekezaji wa DP WORLD Dubai Bandarini. Walalamikaji wajipanga kukata Rufaa ya Hukumu

    Tunakumbushana tu leo ndio tarehe 10/08/2023 ---- UPDATE---- Mahakama Kuu nchini Tanzania hii leo imetupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga mkataba (IGA) wa uwekezaji wa bandari baina ya serikali ya Tanzania na falme ya Dubai. Kesi hiyo iliyofunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Mbeya na...
  11. B

    UWT Ilala wapiga marufuku chama cha Chawa wa Mama

    Fukuto huko ndani ya chama chao. Kila mtu anaona amezidiwa katika level ya uchaww Kwa kuwa chawa wa mama wako hoti imeelezwa kuwa wanakwapua nafasi nyingi za uteuzi na nyazifa mbali mbali kuliko vyama rasmi vya chama hiko. Hapa chini kwenye clip sikiliza Kalipio hilo inayosambaa mitandaoni.
  12. S

    Mgongano wa maslahi Spika unaangamiza Watanzania kukosa mafuta

    Mgongano wa maslahi wa wazi wazi Spika wa Bunge amemnyamazisha Mbunge Tabasamu asiongelee kuchezewa kwa tenda katika mchakato wa ununuzi wa mafuta wanaondesha mchakato unaolalamikiwa na Tabasamu ni Ewura na bosi wa hiyo taasisi ni mume wa Spika. Hii ina maana Makamba alimshauri Rais amteue mume...
  13. S

    SoC03 Utawala bora na maslahi binafsi

    Utawala bora ni mchakato wa kupima jinsi taasisi za umma zinavyoendesha shughuli zake, kusimamia rasilimali za umma na kuhakikisha utekelezwaji wa haki za binadamu kwa njia ambayo kimsingi haina dhuluma na ufisadi kwa kuzingatia sheria. Kulingana na Umoja wa Mataifa, Utawala Bora hupimwa kwa...
  14. D

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika kuleta tija kwenye Sekta ya Michezo na Sanaa kwa Maslahi ya Umma nchini Tanzania

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KULETA TIJA KWENYE SEKTA YA MICHEZO NA SANAA KWA MASLAHI YA UMMA NCHINI TANZANIA Utangulizi Sekta ya michezo na sanaa ina umuhimu mkubwa katika kuimarisha utamaduni, kujenga umoja, na kuleta furaha kwa jamii. Kwa maslahi ya umma, uwajibikaji na utawala bora ni...
  15. Mwisho wa siku tutawauliza CCM mlikuwa mnatetea mkataba wa bandari wa dpw kwa maslahi ya nani na kwa maslahi yapi ya ziada?

    Daaaaaaaaaah Kuna maslahi gani ya ziada kati ya CCM yetu na mkataba wa DPW ?? Budget ya hii mikutano kuhusu kinachoitwa ELIMU ya mkataba wa DPW imetoka wapi ?? Kwanini imekuwa ghafla na kwa CCM kufanya uamuzi wa ajabu ambao haujapata kutokea wa kuzunguka NCHI kuelezea mkataba mmoja tu ...
  16. M

    Siasa ni mfumo wa maisha, hakuna namna mtanzania ataacha kujihusisha na siasa.Tuwaache waongee,wakosoe. Uzalendo na maslahi ya taifa yazingatiwe

    Wanabodi Nianze kwa kuchukua tafsiri ya neno Siasa kutoka Wikipedia Dictionary Politics (from Ancient Greek πολιτικά (politiká) is the set of activities that are associated with making decisions in groups, or other forms of power relations among individuals, such as the distribution of...
  17. Kwa maslahi mapana ya watumishi wa Umma Mwigulu, Jenista Mhagama na Ndalichako watoke kwenye Baraza la Mawaziri

    Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja. Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana. Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya...
  18. B

    Kweli sasa naamini CHADEMA wana maslahi fulani wanayoyapata wakivichokoza vyombo vya dola vikachokozeka

    Ndugu wanajamvi! Nakusalimuni nyote! Tangu mama Samia ashike madaraka baadavya kifo cha bwana yule mama wa watu amechukua mrengo wa kiungwana huku akionesha dhamira ya kweli kutoka moyoni mwake kuliunganisha taifa lililokuwa limesambaratishwa na hayati bwana yulee. Mambo yamekuwa yakienda...
  19. Pongezi za pekee kwa CHADEMA, Mmeonyeasha msimamo madhubuti. Mmeweka kando utamu wa asali na kujali maslahi ya taifa

    Hii ndio falsafa ambayo mlitakiwa msimame nayo. Nia thabit kupinga ufisadi. Kwenye sakata la bandari mpaka sasa mmeonyesha hamtaki mali za Watanganyika kuibiwa. Mmeweka kando utamu wa asali na kukomaa.
  20. Elibariki Kingu: Wabunge wa CCM tuko vizuri kichwani, tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu

    Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…