Dr. Yuval Noah Harari, Mwandishi wa Kitabu kiitwacho, "Masomo 21 Kwa Ajili ya Karne ya 21 (2018)
Mwaka 2018, mwanahistoria wa huko Israel, Profesa Yuval Noah Harari, aliandika kitabu kiitwacho, “Masomo 21 Kwa Ajili ya Karne ya 21,” yaani “21 Lessons for the 21st Century.” Kitabu hiki kimechapwa...