MUSTAKABALI WA ELIMU YA TANZANIA NA UHUSIANO WAKE KWENYE MASOMO YA UJASIRIAMALI.
ELIMU YA MSINGI
Tunapozungumzia Elimu ya msingi kwenye nchi kama Tanzania ni vizuri kujua umuhimu wa Kuhusisha Elimu hii na Elimu ya ujasiriamali.
Hususa ni Taasisi husika kukubali kuipokea Elimu hii ya...
Habari za mda huu wadau wa JamiiForums,
Mimi ni Kijana. Naishi Dar es Salaam. Natafuta wanafunzi wa kuwafundisha tuition mfumo wa TABLE TEACHING.
MASOMO YA KUFUNDISHA
O-level : Physics, Chemistry, na Basic Mathematics.
A-level : Advanced Mathematics pekee
OMBI
Ewe mdau hususan wazazi/walezi...
Mbinu za kupata mafanikio kwenye masomo fanya haya
1. MTANGULIZE MUNGU KATIKA MASOMO YAKO.
Hili ndio jambo kubwa katika mafinikio ya kielimu.Mungu ndio kila kitu,hakikisha unajenga tabia ya kuombea masomo yako kila siku na kila mara,kila siku unapoamka asubuhi kabla ya kwenda shule au chuo piga...
Habari Wanabodi!
Ukisoma Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ukurasa wa 5 kuhusu Utekelezaji wa Ibara ya 146(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977) inayohusu ugatuaji. Katiba inatamka katika Sura ya Nane (kuhusu madaraka kwa umma), kwamba...
Nitakuwa naweka hapa vitabu vinavyotumiwa katika mataifa mbalimbali kuanzia elimu ya sekondari mpaka Chuo Kikuu. Jisikieni huru pia kuweka vitabu vyo vyote vile vinavyotumika mashuleni na vyuoni kutoka mahali po pote duniani
Naanza na kitabu hiki chenye fomyula muhimu 1,300 za somo la Hisabati...
Serikali inatarajia kuajiri walimu wengine wapya hususani wa masomo ya sayansi na hisabati ili kukabiliana na upungufu mkubwa wa walimu wa masomo hayo katika shule za sekondari nchini.
Hayo yamesemwa na waziri wa nchi ofisi ya Rais-TAMISEMI, mheshimiwa Ummy Mwalimu(mb) akiwa ziarani katika mkoa...
Habari zenu ndugu.
Ninaye kijana wangu ambaye anaelekea kuhitimu masomo ya sekondary na amekuwa akichukua masomo ya biashara kulingana na uwezo wake... japo kama mzazi nilipenda achukua masomo ya Sayansi ila yeye akapenda biashara kwa hiyo nikamsupport.
Sasa kwa mliopitia masomo ya biashara...
Wakuu,
Kama kuna anayefahamu kuhusu taasisi, jumuiya au hata shirika linalojihusisha na udhamini wa wanafunzi wa elimu ya juu anisaidie nina shida ya udhamini.
AHSANTE
Naomba kujuzwa kwa mwenye ufahamu.
Swali langu ni kwamba kama ulipata mkopo kutoka (HESLB) na uka Disco ni kweli unaweza pata tena baada ya kulipa 25 asilimia?
Hello bosses,
Kama mwanao anaongoza darazani angalau nafasi 10 za juu.
Je, nini ulikifanya kufanikisha hilo?,
Mtoto anapata shule nzuri, tuition za kutosha, muda wa kupumzika, homework n.k lakini bado maendeleo yake ya shule sio ya kuridhisha.
Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa makubaliano hayo jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Juni 17, 2021 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Leonard Akwilapo amesema ni wazi kuwa wataalamu wa masomo ya ufundi wapo kwenye vyuo vya ufundi na hana shaka na wataalamu...
Kama mnavyojiua serikali inahimiza matumizi ya tehama katika kufundisha kwenye shule za msingi na serikali.
Juzi nilipita katika shule moja ya sekondari nikakuta wao wamepata msaada wa vifaa vyote vya kuwawezesha kupata masomo hayo kwa njia ya mtandao lakini changamoto kubwa kwao ni akina nani...
A-level
Kwa wale
Form five
Lisiters
QT
Walimu
Sasa notes zote zinapatikana kwa mfumo wa softctopy full package unatumia mpaka unamaliza A-level.
Ni masomo yote matatu (3) ya combination kila somo (1 na 2) jumla vitabu
Wakubwa shikamoni wadogo wenzangu habari zenu mimi ni mwanafunzi wa uguuzi na ukunga katika ngazi ya diploma.
Niliamua kusitisha masomo kutokana na kukosa ada ambayo nilijichanga kama kijana lakini kutokana na changamoto nimeshindwa kumalizia mwaka wa tatu naomba kama kuna mtu yoyote ana...
Kama mada inavyojieleza hapo juu, kwa tunaosubiria matokeo ya kidato Cha sita tunaomba mliopita/mliopo & mnaofahamu juu ya kozi mbalimbali vyuoni mtupatie ushauri kwamba kwa watu wenye division Fulani wasithubutu kuziomba Bali waombe kozi Fulani (mfano tunasikia kwamba sheria UDSM na Mzumbe ni...
Wakuu Msanii wa muziki wa hip hop kwenye muziki wa Bongo Fleva, Chemical wiki hii amehitimu masomo yake ngazi ya Masters of Arts in Heritage Management ambapo hatua hiyo imemfanya kupata 'Scolaship' ya kwenda kusoma PHD nchini Scotland katika chuo ambacho amesoma Prince Harry.
Rapper huyo...
Habari za saa hii wakuu
Jamani nilikuwa naomba ushauri wa nini cha kufanya, nimechagua programme tano za kusoma bila kutarajia kwenye chuo kimoja ambacho ni MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE na kozi zenyewe ni
1.Clinical medicine
2.medical lab
3.dentristry
4.pharmacy
5.physiotherapy...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UDAHILI WA NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2021/2022
Haya vijana muda ndio huu. Fanya applicatons mapema kuepuka last-minute congestion/scramble!
====
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
BARAZA LA TAIFA LA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.