Naomba njia ambazo mwanafunzi wa masomo kama MATHEMATICS, PHYSICS, BIOLOGY and CHEMIA kwa kutumia lugha yoyote ile.
Unaweza kutoa general au single subject!
Wana JF
Napenda kuona mpambanaji HM anavyochanja mbuga kuliko watoto wa ushuani, mtoto huyu kipindi cha nyuma alipotoka shule zote Saint Kayumba Tandika Secondary. Ona sasa anavyoizingua dunia, kupata mchumba mwenye hadhi duniani sio mchezo.
Shule zinashindana kwenye ufaulu wa watoto kwa kushirikiana na wazazi wa watoto. Wanafanya hivyo kwa mbinu tofauti ikiwemo ya watoto kusoma masaa mengi hata weekend na long vacation, kuwakaririsha maswali ya mitihani na hata kuiiba mitihani yenyewe.
Serikali Ina mchango mkubwa sana kwenye hili...
Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amesema Wanafunzi wa Shule za Msingi/Sekondari watakaokatisha masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo utoro, mimba na changamoto za kifamilia watapewa nafasi ya kurejea Shuleni katika mfumo rasmi “leo leo natoa waraka zege halilali"
======
Waziri wa Elimu, Prof...
Serikali imefuta matokeo ya nadharia (theory) kwa masomo ya program ya Utabibu Ngazi ya Tano (NTA Level 5) baada ya kubainika kuvuja kwa mitihani ya muhula wa pili wa programu hiyo.
======
Kama ulitaka kujua masomo ambayo yanafundishwa kwenye shule za international. Hapa ntakuonesha masomo yote na topics mbali mbali wanazojifunza. Ili wewe kama mwanafunzi ujue masomo ambayo ungejiendeleza kujifunza. Ata ukiwa mtandaoni, maana dunia ya sasa unaweza ukajifunza kitu chochote kwa...
Na Tom Wanjala
Mwezi Juni mwaka huu, maelfu ya wahitimu kutoka vyuo vikuu nchini China walifuzu na shahada mbalimbali. Miongoni mwao, walikuwa wanafunzi kutoka bara la Afrika. Wahitimu hawa walijumuika na wenzao wa China, wakiwa wamevalia majoho rasmi, tayari kupokea vyeti vya kuashiria kuwa...
Wapendwa, mkiona nimekuwa kimya msidhani nime R.I.P.
Nitakuwa nje ya jukwaa kwa kipindi fulani ili niweze kujikita katika kumalizia masomo yangu ngazi ya masters! Hapo awali, nilipata ufadhili kwa ajili ya masomo haya ambaye nisingependa kumtaja jina alitugharimia takribani milion 24, lakini...
Rais Yoweri Museveni wa #Uganda ametangaza kuongeza mishahara kwa walimu wa masomo ya sayansi kwa madai kuwa ndio wanaochangia maendeleo ya jamii
Hatua hiyo imetajwa kwenda kinyume na Makubaliano ya 2018 ambayo yanataka mishahara kupanda kwa usawa kwa walimu wote
Rais Museveni amesema...
Naitwa Pastory Augustino
Nipo morogoro
Naomba kama kunamtu anafahamu sehemu yenye uhitaji wa mwalimu wa masomo tajwa anisaidie aisee,
Level yangu ni diploma
Wazazi na walezi wameaswa kuwatafutia njia mbadala watoto wao wa kike ya kujikwamua kiuchumi inapotokea kukatishwa ndoto zao kwa kushindwa kuendelea na masomo kwasababu mbalimbali ikiwemo kubebeshwa mimba.
Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili alitoa wito huo wakati akizungumza...
Wakati wa awamu ya tano msimamo wa serikali ulikuwa hakuna watoto kurudi shule endapo watapata ujauzito. Kauli hii yakishenzi iliungwa mkono na wanasiasa wakiwemo wabunge na hata viongozi wa dini,taasisi za kirahia na wanazuoni mbalimbali.
Wakati Kigogo mmoja jina linahifadhiwa akiwa kinara wa...
Hivi kwanini mahusiano ya vyuoni i.e college/university huaga hayadumu..?
Unakuta mmekutana mumeelewana kabisa na mnaweza mkaishi miaka yote mtakayokua chuo kama wapenzi/wachumba ILA shule ikiisha tuu mkirud majumbani mambo yanaharibika taratibu mpaka mna~brake up.
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Sera ya bodi ya mikopo ya Elimu ya juu ( HESLB ) dhidi ya wanaopewa mkopo 100% ni wale tu wanachukua masomo ya Sayansi kama Udaktari,
Wale wanaochukua masomo yasiyo ya Sayansi hupewa mkopo chini 100%
Mambo ni tofauti kwa awamu ya Sita chini ya Rais ya Samia...
Mungu Kuna watu anawatumia hapaduniani Kama shule kwa umma wake ili uongoke au ujifunze Jambo fulani magufuli ni mmoja wao.
Somo la kwanza
Ndugu pataneni mnapogombana maana mkishindwa mnampa nafasi adui kuneemeka na ugomvi wenu.Mtifuano wa kina lowasa ndani ya ccm ndio uliompa JPM kula kwamba...
Habari zenu wapendwa... Nimeona ni vyema saana kuzungumza na vijana ambao wamehitimu masomo yao ya vyuo vikuu Tanzania. Mtaani sio pagumu saana kama utajituma na utathubutu kwa kila wazo ambalo utahisi ni nzuri na unawez kulifanikisha(si maanishi kila wazo ni zuri). SANUKA
(1) JIKUBALI...
Kutokana na mabadiliko ya kitekinolojia na mabadiliko ya jamii kiujumla nilazima kuwepo na namna ya kubadili mfumo mzima wa elimu hasa katika kupunguza idadi ya miaka ambayo wanafunzi hutumia katika masomo.
Kwa mwanafunzi kufikia chuo kikuu mwaka wa tatu itakuwa imemchukua zaidi ya miaka 15...
Nilipopata akili nilisimuliwa kuwa wazazi wangu walifariki nikiwa mdogo sana. Baba alitangulia na baadae Mama. Walezi wangu wakawa babu na bibi ambao ni wakulima kijijini Manda.
Siku moja, nikiwa darasa la tatu walipita wageni nyumbani ambao walikuja kwa shughuli zao pale kijijini. Walisikia...
Ni haki kwa wamiliki wa shule kuwasimamisha masomo wanafunzi ambao hawajalipa ada kulingana na ratiba ya muhula (kabla mwaka haujaisha)?
Mfano:
Mtoto alitakiwa alipiwe 3,000,000 Tshs jumla kwa utaratibu huu: Muhula wa kwanza: 1,200,000, Muhula wa pili: 1,000,000 na Muhula wa tatu: 800,000...
• Maana hasa ya 'Ujasiriamali' kama kujiajiri.
Watu wengi hukimbilia kujiajiri bila kuwa na ufahamu sahihi na halisi juu ya jambo hilo, kama hapo nyuma kwenye masomo yalio kwisha kupita nilisema, "pesa sio inayomfanya mtu kuwa tajiri, bali ni taarifa/elimu sahihi aliyonayo" vivyo hivyo kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.