Salaam Wakuu
Kumeibuka tabia za waalimu wa shule za msingi kuwarejesha watoto majumbani kisa hawajatoa michango mbalimbali ikiwamo ya mitihani, ulinzi na michango mingine.
Kutokana na hali hii watoto wamekuwa wakitoka shule wanazunguka mitaani bila kuwa na shughuli maalumu ya kufanya...
Wasalaam!
Bila Shaka hamjambo katika jukwaa hili.
Kwa wazazi wenye watoto wanaotaka kujiunga na kidato cha tano.
Taasisi ya Kanisa tunatoa ufadhili bure kwa wanafunzi wote wenye Daraja la Kwanza. (Division One)
Ufadhili huu ni kwa miaka miwili (Form 5 & 6)
Kwa TAHASUSI (combination) zote...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) amesema katika bajeti ya Mwaka wa Fedha 2022/23 Wizara imetenga fedha kwa ajili ya kutoa ufadhili wa elimu ya juu (scholarships) kwa wanafunzi watakaofanya vizuri katika masomo ya Sayansi.
Waziri Mkenda amesema hayo Jijini Dodoma...
Habarini za kazi wapendwa poleni na majukumu ya kila siku
Naomba mwenye kufahamu utaratibu wa kurudia masomo ya kidato cha nne aniambie je? iwapo mtu anataka kurudia masomo yote aliyofanya mwanzao inawezekana na atapewa cheti kingine na division mpya tofauti na ya awali au utaratibu ukoje...
Kwema Wakuu!
Shida zako zisikufanye uwe Mpumbavu kiasi hicho mpaka umtese mtoto wako WA kumzaa mwenyewe. Yeye anamakosa gani gani umtese hivyo.
Yaani matatizo yako ya maisha unavyodhani yalisababishwa na wewe kutokusoma ndio unahamishia hasira na Mateso yote Kwa mtoto, huo ni upumbavu...
Habari wana Jf,
Nimeshindwa kuendelea na masomo yangu ya mwaka wa pili katika ngazi ya digrii course ya Procurement and supply management. Changamoto ya ada inanifanya nipostepone mwaka, kuanzia February niko room na shosti wangu vyuma vimekaza.
Niko dodoma, ninakuja kwenu kuomba msaada wa kazi...
1. Matatizo ya kisaikolojia
Watoto wanaweza kukabiliwa na matatizo mbalimbali ya kisaikolojia ambayo huathiri uwezo wao wa kujifunza shuleni.
Baadhi ya watoto huzaliwa na matatizo haya huku mengine hutokana na matendo kama vile ukatili wa kijinsia au unyanyasaji mwingine wanaofanyiwa baadhi ya...
Imekaaje hii?
Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni. Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,
Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?
Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?
Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria...
Baadhi ya vyuo vikuu vya umma nchini Afghanistan vimenguliwa tena kwa mara ya kwanza tangu kundi la Taliban lilipochokua madarakani mwezi Agosti.
Utawala wa Taliban umetangaza kuwa wanafunzi wa kike wataruhusiwa kuhudhuria masomo. Lakini endapo tu watatenganishwa na wanafunzi wa kiume na...
Nilifaulu mtihani WA form six Resit Physics D na ADvMath D General study F lakini kupata cheti niliambiwa haiwezekani maana masomo ni kidogo. Je, hii ikoje? Nina result slip tu.
Je, Kuna mabadiliko yoyote?
Waraka wa Mhe. Waziri wa Elimu unaotoa ruhusa kwa wanafunzi wajawazito kurudi shule kuendelea na masomo baada ya kujifungua haujatoa majibu kuhusu haki ya elimu kwa wanafunzi/watoto wadogo walioko jela za watoto nao waendelee na masomo wanapotumikia vifungo vyao au hatima za maisha yao ndiyo...
Kumekuwa na mkanganyiko kuhusu mimba mashuleni ambapo tafsiri na mitazamo huelemea wanafunzi wa kike wanaopewa mimba na watu (wakiwemo Walimu) huku wanafunzi wa kiume wanaotia mimba Walimu wao wa kike wakiachwa nje ya tafsiri na mitazamo hiyo.
Zipo jamii katika nchi za Tanzania na Kenya ambapo...
Naitwa Hussein Masoud,ni clinical assistant (CA),nipo Mwanza mjini katika chuo cha afya na sayansi shirikishi BWIMA kilichokua kikitambulika kama victoria zamani, kwa sasa nimebakisha mwezi mmoja nifanye mitihani yangu ya kuhitimu diploma in clinical medicine level 6 itakayo fanyika February...
Nimefanya utafiti wangu mdogo na nimegundua kuwa nafasi nyingi sana za kazi zinazotoka kila siku ni za accountants, watu wa finance, HRs na Auditors. Na ni kazi ambazo zinalipa vizuri sana kulinganisha na kazi nyingine.
Sasa kuna huu mtindo wa wazazi au wanafamilia kuwasukuma watoto wasome...
kwa mamlaka niliyopewa chini ya kifungu cha 7 katiba ya shule na uhuru wa kuongea ktk katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,nawatangazia watanzania wote kuwa kuna nafasi chache sana za kuhamia shule yetu pendwa kibo secondary school iliyopo moshi shanty town.
NB.tunapokea wanafunzi wenye...
Kwa takwimu zilizopo katika tovuti ya TAMISEMI, vitabu vya masomo ya biashara kwa wanafunzi wa Advanced Level ambayo ni Accountancy, Commerce na Economics ni vichache ukilinganisha na vitabu vya masomo mengine
Kwa mwaka 2021, kulikuwa na vitabu 378 vya Accountancy, 392 vya Commerce na 4,057 vya...
Baadhi ya Wachangiaji ndani ya JamiiForums wamezua Mjadala kuhusu 'Homeworks' nyingi wanazopewa Watoto toka Shuleni hasa kipindi cha likizo
Ikiwa wewe ni Mzazi, Mlezi au Mwalimu ungana nasi katika Mjadala huu utakaofanyika leo Desemba 2, 2021 kupitia Clubhouse.
Kushiriki mjadala huu bonyeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.