Habari zenu wanandugu. Naitwa Sadiki Salumu, mkazi wa Dar se salaam wilaya ya ilala.
Nipo chuo mwaka wa pili kozi ya BACHEROL IN MECHANICAL ENGINEERING
Samahani naombeni kupata msaada kwa anaefahamu sehemu yoyote au mtu yoyote anaehusika na ufadhili wa masomo ikiwemo Ada maana ninahitaji...
SEKONDARI ZA KATA ZAENDELEA KUJENGA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI
Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 lina Sekondari za Kata 25 na za Binafsi 2.
Jimbo hili limeamua kujenga Maabara 3 za Masomo ya Sayansi kwenye kila Sekondari ya Kata. Maabara hizo ni za Physics, Chemistry & Biology...
RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/22, imebaini katika Mamlaka 19 za Seri kali za Mitaa, , wanafunzi 23,009 wamekatisha masomo yao shule za sekondari kutokana na ujauzito, huku Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ikiongoza.
Katika shule za msingi...
Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini umepokea Tsh 75,796,000 (Tsh 75.8m) na fedha zote hizo zimeelekezwa kwenye ujenzi na ukamilishaji wa Maabara za Masomo ya Sayansi (Fizikia, Kemia & Bailojia) kwenye Sekondari za Kata za Musoma Vijijini.
Lengo letu la sasa ni Musoma Vijijini kuwa na High Schools...
Nimechaguliwa kusoma chuo nchini China kiitwacho Tianjin University na course niliyochaguliwa ni Mechanical Engineering and Automation ila wameniambia inafundishwa kwa Kichina na inabidi nisome mwaka mmoja Kichina then niendelee na masomo.
Nilikuwa nauliza inachukua muda gani kukielewa Kichina...
Viongozi wote waliofanya vizuri ni waliosoma Arts katika Level kubwa za Urais.
Kitendo Cha Mtu kuwa Rais na hajui kingereza madhara yake ni kujifungia ndani na kushindwa kuinganisha nchi na mataifa ya nje.
Tuwekeze Sana katika haya masomo ili tuondoe tatizo la watu kukosa lugha ya mazungumzo...
Hakuna Haki ya mtoto wa kike itapotea kisa mimba..
=======
WASICHANA 6,685 wenye umri kati ya miaka 13 na 21 waliokatisha masomo ya sekondari kwa sababu mbalimbali ukiwemo ujauzito wamejisajili kuendelea na masomo kwa njia mbadala chini ya Mradi wa Kuimarisha Ubora wa Elimu ya Sekondari...
MAVUNDE AFANIKISHA HUDUMA YA BURE YA WENYE MATATIZO YA MACHO, KIJANA ALIYEACHA MASOMO KWA TATIZO LA KUTOONA APONA. AAHIDI KUMSOMESHA.
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde kwa kushirikiana na Lion Club tarehe 24 na 25 waliendesha huduma ya kambi ya macho katika Kituo cha afya...
SEKA SEKONDARI - WANAVIJIJI WAAMUA KUJENGA MAABARA TATU ZA MASOMO YA SAYANSI
Seka Sekondari ni sekondari ya pili ya Kata ya Nyamrandirira yenye vijiji vitano.
Sekondari hii iliyojengwa Kijijini Seka, Musoma Vijijini, ilifunguliwa tarehe 5.7.2021.
Sekondari ina jumla ya wanafunzi 344 (Vidato...
Nawapa salamu wanajukwaa, wala tusitumie muda mwingi sana tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa.
Baada ya Baraza la mitihani la Taifa-NECTA kutangaza matokeo ya kidato cha nne ambayo yametoka siku ya leo-29 Jan 2023, nimeona niunganishe na yale matokeo ya kidato cha Pili ambayo yaliwahi...
Habari humu ndani? Nitangulie kwa kuwapa pole na hongera kwa mapambano na mwezi januari kama tunavyojua ni lazima kila tunapoanza mwaka lazima tuanze na January lakini ni mwezi ambao haujawahi kuzoeleka wala kuhishi kwa mazoe. Huu mwezi umekuwa na kanuni na taratibu zake ila Mungu ni mwema...
Habari za leo watanzania wenzangu,
Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo.
Muda wangu sahihi wa kujitokeza hadharani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.