masters

  1. M

    Mtu mwenye masters na hana degree ya hiyo kozi aliyopitia post graduate diploma anatambulika kwenye ajira?

    Habari wadau wa JF, Hivi mtu mwenye masters lakini hana undergraduate degree ya hiyo course aliyopitia post graduate diploma anatambulika kwenye ajira sekta binafsi au serikalini?
  2. Clark boots

    UDSM Masters courses in COaF

    Wakuu.. naomba mtu anayezifahamu courses zote za masters zinazopatikana UDSM ndani ya "College of Agriculture Science and Food Technology". CoAF.. itapendeza ukiorodhesha hapa au kutumia PDF kabisa
  3. YONASHA

    Nawezaje kupata scholarship ya kusoma master’s ya afya (Masters in Medicine)?

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mimi ni kijana niliyehitimu masomo ya udaktari wa binadamu(MD) mwaka 2021 kutoka chuo fulani nchini Tamzania, nilifanikiwa kufanya Mafunzo ya utarajari pia katika hospital fulani mkoani, nilipomaliza nikafanikiwa kufanya mtihani wa...
  4. M

    Fani nyepesi kutoboa kwa upande wa IT kwa ngazi ya Masters degree

    Salam wanajamii Forums! Tunaomba msaada kwa wenye uzoefu je kwa upande wa fani za IT, Ni fani ipi nyepesi kutoboa kwa ngazi ya Masters Degree? Kijana anaomba msaada!.
  5. M

    Nichukue kozi gani kati ya hizi kwa level ya Masters?

    Mimi ni kijana ninaetarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 ( ualimu digrii) Nataka kuendelea na masters baada kumaliza, na KOZI nazopendelea kuzisoma masters ni hizi zifuatazo; 1. Parasitology and Entomology 2. Molecular biology and Biotechnology 3. Cell biology and Genetic 4. Developmental biology...
  6. M

    Inaumiza sana mtu ana masters degree ila hawezi hata kujilipia kodi ya chumba kimoja. Elimu ya juu imesababisha wategemezi wengi wenye umri mkubwa

    INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI. Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani Wazazi tunapaswa tubadilike sana kwenye kuwekeza kwa ajili ya watoto...
  7. Mparee2

    Tuangalie upya Mfumo wa Elimu ya MASTERS & PHD

    Hivi huu utaratibu wa mtu kusoma mfano Education (bila tourism hadi Masters) halafu afanye ka research ka Tourism apewe PHD Eti kuanzia hapo atambulike kuwa amesoma Tourism hadi kupewa PHD naona haupo sawa. Huyo mtu, akisimamishwa na mtu aliyesoma tourism kwa ngazi zozote (Certificate...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Kisa cha kweli: Niliacha kazi nikajiunga masters ili nimsomeshe mdogo wangu chuo

    Kisa cha kweli: Niliacha kazi nikajiunga masters ili nimsomeshe mdogo wangu chuo Hiki ni kisa cha kweli ilinitokea mara tu baada ya kupata kazi katika Shirika fulani hapa nchini. Tangu zamani ndoto yangu kubwa ilikua ni kusoma nje ya nchi kwa scholarship. Mara tu baada ya kuhitimu masomo yangu...
  9. Mr Sir1

    Wasafi FM mmetia aibu leo katika kipindi cha Jana na Leo

    Japo kuna baadhi watatetea kuwa kina Putin hawatumii kiingereza lakini ni fedheha kubwa mno kwa msomi ambae kasoma kwa kutumia kiingereza akashindwa kufanya mazungumzo yenye tija kwa lugha hiyo. Leo kwenye kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm watangazaji wote watatu wameshindwa kuwahoji kina...
  10. Napoleon the second

    Naomba ushauri wa kusoma "Masters"

    poleni na hongera kwa majukumu ya kila siku, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kimsingi nahitaji kusoma "masters" ila sijuwi ni kozi gani itanifaa na kuleta tija kwangu. Ndugu wadau, naomba nianze kwa kujitambulisha binafsi kielimu nina shahada ya elimu ya watu wazima na maendeleo ya...
  11. B

    Ushauri: Nisome Masters UDOM au Jordan University?

    Wakuu naomba ushauri tajwa hapo juu nisije shindwa ku graduate masters kwa wakati
  12. DaveSave

    Nina Masters ya Financial Investment natafuta kazi

    Salaam wanajukwaa mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32. Nilimaliza Bachelor Degree ya Banking and Finance (IFM) 2014. Nikasome Masters Degree of Finance and Investment (Coventry University- IAA). Nimefanya contractual jobs na Kampuni tofauti. Mwenye fursa akihitaji CV yangu nipo tayari...
  13. Money Penny

    Hivi kwanini sipati wa kunipenda wakati nina elimu ya Masters?

    Hili swali nimeuliza muda Sana Ila nashindwa kuweka uzi. Jaman wenye elimu ZENU naombeni niwasaidie, hamkusoma ili mkaajiriwe, jiajirini basi tuone matunda ya elimu yenu? Mwanaume kukupenda sio sababu Una masters, wanaume wanaangalia vitu vingi jamaan sahivi wamekuwa worst wanaangalia mpaka...
  14. Bondpost

    Africa should neither shift to the new colonial masters nor stay with the old ones. (A Russian move case study)

    By Bondpost, Africa imekuwa na watu wenye fikra tegemezi miaka yote hata hii move ya Waafrika kushabikia China, Russia na North Korea ni sehemu ya muendelezo wa fikra temegemzi. Africans wamefikia sehemu hawawezi kuwa na fikra zao huru na wakajiongoza wenyewe kisiasa, kijamii, kiteknolojia...
  15. W

    Naomba ushauri wa kozi ya kusoma kwa Masters

    Wadau habari za Muda huu, Ninaomba ushauri kidogo Kwa wanaojua Nina mdogo wangu ni mwalimu wa sekondari aliyeajiliwa alisoma Bachelor of Arts with Education GPA ya 3.4 Anataka kusoma Masters lengo lake ni kubadili kada kutoka ualimu au kupanda ngazi na kutoka kwenye kufundisha aende kwenye...
  16. G

    Kuna tofauti gani kati ya masters degree na postgraduate diploma? Je, kwenye ajira faida zina utofauti gani?

    Habari wanaJF. Kama kichwa kinavyosema, huwa naona ukitaka kwenda masters au postgraduate diploma ni lazima uwe na degree? Ukiangalia qualification za kujiunga zinafanana, ukiangalia namna ya usomaji chuoni kunafanana, ukiangalia kwenye prospectus vyuoni ni vitu ambavyo ni vinafanana kila...
  17. W

    Natafuta master ya 100,000/= Hadi 120,000/=(Dar es Salaam)

    Wadau hongereni na majukumu. Natafuta master bedroom ya hio bei. Location kuanzia Kimara mwisho - Ubungo. Isiwe mbali na Morogoro road. Angalau umbali uwe dakika 10 tu. Msaada tafadhali
  18. G

    Referees kwenye kusoma masters

    Habari wana jamvi, poleni na hongereni kwa majukumu ya ujenzi wa nchi. Naomba msaada wenu kwa mwenye uzoefu kuhusu recommendations za referees kwenye fomu ya maombi ya kusoma shahada ya uzamili (masters) Je? Mfano hawajarecommend kuna uwezekano wa kukosa udahili?
  19. Meneja Wa Makampuni

    Tangazo: Scholarships kwa Diploma, Bachelor, Masters na PhDs

    1. Leeds University Scholarship 2023/2024 Programmes: Accounting and Finance Country: England Level: PhD Financial coverage: Fully Funded Deadline: May 31, 2023 Apply: Leeds University Business School Accounting and Finance Department Scholarship 2023/24 2. University of Oxford Scholarships...
  20. Meneja Wa Makampuni

    Nashauri serikali itumie zaidi wanafunzi wa masters, PhD na PostDoc kufanya tafiti na kuchapisha maandiko kama tunataka kufika mbali katika tafiti

    Kama kweli serikali ina mpango wa kuhamasisha wanazuoni wa vyuo vikuu vya Tanzania kufanya tafiti na kuchapisha maandiko katika majarida makubwa ya kimataifa, napendekeza yafuatayo: 1. Serikali itenge fedha kwa ajili ya ufadhili wa wanafunzi wa masters, PhD na PostDoc kila mwaka kama mataifa...
Back
Top Bottom