masters

  1. R

    Hivi ni Ukosefu wa Ajira au nini? Ana Masters na PhD lakini anaamini Uchawa ndio utamtoa

    Ndugu zangu hii kitu mimi hainiingii akilini. Ukifatilia mijadala ya vijana wa CCM kuhusu hali halisi ya siasa na chama chao utashangaa. Nimekuwa nikifatilia mijadala Star Tv kwenye kipindi cha Siasa, demokrasia na uchumi wale wageni wanaowakilisha chama na kujitanabaisha kuwa ni wasomi hawana...
  2. E

    Navyomkumbuka Edward Moringe Sokoine-alijiuuzulu Uwaziri Mkuu ili kwenda kusomea degree ya masters Yugoslavia

    Alijua wazi kabisa huwezi kufanya mambo mawili magumu kwa wakati mmoja, akaona aache cheo kikubwa kabisa cha uwaziri mkuu ili kwenda kutimiza adhima yake ya kujiendeleza kielimu huko nchini Yugolavia ya wakati ule. Wanzetu hawa utaona leo ni waziri na kesho amedoctorate sasa huwa utafiti...
  3. Alfred

    Nahitaji Kusoma Masters ya Project Management au Diploma ya Finance and Accounting

    Habari za siku nyingi kidogo, ni muda sasa kutokana na majukumu ya hapa na pale sikuweza kuleta hata uzi mmoja hapa JF! Wanajamii, kama Heading inavyosema nina mawazo mawili kinzana katika kuongeza elimu. Kwa kuanzia kabisa mie nina Bachelor ya Civil Engineering ambapo nafanya kazi kwa mkataba...
  4. Mathanzua

    Did Jewish President Zelensky conspire with his Zionist masters to genocide the Ukrainian citizenry?

    There’s something very wrong with the meticulously engineered war in Ukraine! Ukrainian President Volodymyr Zelensky was quite obviously contracted by his Zionist masters to provoke this war with Russia. Not only is there no question about this stark reality, all of the emerging evidence on the...
  5. M

    Diploma to Masters na Bachelor to PhD

    Wanabodi, naomba kujua hivi vitu wanatumia vigezo gani kufanyika? 1. Nmeshaona jamaa ana Diploma then Masters, hakupiga Bachelor Degree. 2. Nmeona watu wana Bachelor Degree then wana PhD, hawakufanya Master Degree(mfano Prof. Ndalichako n Prof. Mwandosywa) Swali langu kuweza kutoka Diploma...
  6. sabuwanka

    Brenda Mihanjo, msomi mwenye Masters aliyejikita kwenye ufundi seremala

    Brenda, msomi mwenye 'masters' aliyejikita kwenye ufundi seremala Kote duniani vijana walio wengi wamepata elimu, lakini changamoto kubwa imekuwa ni suala la ajira, hivyo wanaamua kuutumia ujuzi wao kama muarobaini kukabiliana na changamoto hiyo. Dar es Salaam. “Vijana wengi tukimaliza kusoma...
  7. GENTAMYCINE

    Kwangu Mimi Manyerere Jackton aliyepata 'Masters' yake SAUT juzi ndiyo Msomi na siyo wale 'Wasanii' Wawili waliopata 'PhD's' zao za UDOM hivi karibuni

    Awali ya yote nianze kwa Kukupongeza sana na kwa Furaha mno 'Poti' wangu wa Kizanaki kutoka Mkoani Mara na Mkurugenzi Mwenza wa Gazeti la JAMHURI Kaka Manyerere Jackton kwa kupata Masters Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu changu 'pendwa' Tanzania nzima cha SAUT Mwanza. Kwa...
  8. H

    Nahitaji chumba masters maeneo ya Kimara, nipo serious

    Dalali yoyote ambae yupo tayari kufanya biashara naomba anicheki kwa no;0783 24 2247 Nahitaji chumba chenye sifa zifuatazo: Kiwe ni master room Kiwe maeneo ya Kimara Kiwe ndani ya geti/fensi usalama wa kutosha Luku ya kujitegemea (Japo co lazma sana) Bajeti yangu ni 70K-100K Nipo serious...
  9. B

    Professional Editing Services - Masters & PhD

    Wasalaam, Kwa wale wanafunzi wa vyuo wanaopata changamoto za kuandika kazi zao zikiwa na makosa mengi ya lugha (grammar) na makosa ya kimpangilio (consistency), suluhisho limepatikana. Tupatie kazi yako tuweze kuipanga na kuondoa makosa yote ya lugha. Kwa kifupi, tutalinyoosha andiko lako...
  10. B

    University of Dar es salaam: Mnavyowafanyia wanafunzi wa masters na PhD mnakiua chuo, badilikeni

    Mtoto want amesoma masters mwaka Sasa hata proposal ya masters haijavuka kwa supervisor, kila akimcheki supervisor hakuna email reply Wala wala apokei simu. Nikafunga safari kwenda naye chuo kuuliza tatizo ni nini? Watu tuliowakuta academic block walichosema unajua Hawa ma senior lecture na...
  11. Engineer mussa ngelime

    Naomba kujuzwa namna ya kupata nafasi katika Engineering registration board (ERB)

    Wadau samahanini! Mimi ni graduate engineer hususan mambo ya ujenzi...nilikuwa napenda kujua ili upate nafasi ya seap ndani ya taasisi Fulani inakuwaje? Msaada tafadhali
  12. Meneja Wa Makampuni

    Wapinzani tafuteni watu wasomi wenye Bachelor, Masters na PhD kwa ajili ya kuchukua nchi 2025

    Wapinzani tafuteni watu wasomi wenye bachelor, masters na PhD kwaajili ya kuchukua nchi 2025. Tafuteni wachumi, wanasheria, wanasayansi, mainjinia, wahasibu, watu wasiasa, wanahistoria wenye bachelor, masters, PhD, waandikisheni, jazeni kwenye chama. Fanyeni hivyo, nendeni vyuoni andikisheni...
  13. O

    Masters of Accounting and Finance

    Naomba mwenye ufahamu wa hii course anisaidie kujua chuo gani kinatoa content na kufundisha vizuri kati ya Mzumbe, IFM na IAA. IAA imenifurahisha zaidi maana kuna somo la Taxation tatizo sijui kama kuna walimu wa kutosha. Naomba msaada wenu.
  14. H

    Nahitaji ushauri maeneo yapi mkoa wa Dar es Salaam naweza pata chumba kizuri masters kwa bei poa?

    Naombeni mnisaidie ni maeneo yepi ktk mkoa wa Dar naweza pata chumba kizuri cha masters kwa bei nzuri ya kizalendo or n maeneo yepi dsm unaweza mshauri mtu akapange chumba na kuanza maisha.
  15. Njunwa Wamavoko

    Evining Masters Programme-UDSM

    Hellow wadau wa Jukwaa la Elimu. Naomba kujua timetable ya watu wanaosoma Evening Masters Programme CoICT au College yoyote ya science hapo UDSM. Masomo huanza saa ngapi na kuisha saa ngapi na kwa siku zipi na zipi? Nataka kujua kama naweza mudu kufanya kazi zangu afu nkaendelea na hizo evening...
  16. babuazaboy

    Je, ungependa kusoma nje (US & Canada) kwa ngazi ya Masters na PhD with 100% funding? Basi hii thread inakuhusu

    Hii thread ni kwa ajili ya wana chuo au watu waliomaliza chuo kabisa na wenye ndoto ya kwenda kujiendeleza kimasomo kwa Masters na PhD. Naandika huu uzi kutokana na my personal experience. 1. Rejea kichwa cha habari, nimeandika 100% FUNDING sijasema 100% SCHOLARSHIP. In short kwa US na Canada...
Back
Top Bottom