Nimepiga hesabu nikaona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, ninaamini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box.
Yaani unazaliwa na kukabidhiwa kitu usichokielewa au kupewa nafasi ya kuchagua.
Na hizi dini ndio zimetengeneza viumbe wenye hulka ya mazombie au vampire, ambao wao kazi yao ni...
Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo.
Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile katika sheria ulimfanya Lissu ayumbe, akaishia kutoa maneno ya kashfa na matusi na hata kujaribu...
Wale wanaofunga mnapaswa kuelewa kuwa si kila mtu anafunga, hivyo haipaswi kuwa ni sababu ya kuwahukumu wengine, kuwaita majina ya hovyo au kuwalazimisha dini nyingine au watu wengine kufuata mtindo wa maisha wa kufunga.
. Jambo la msingi katika jamii zenye mchanganyiko wa imani. Ramadhan ni...
JANETH MASSABURI, Mbunge wa Viti Maalum Anauliza; Serikali ina mpango gani wa kutenga bajeti ya elimu kwa umma kwa masuala mbalimbali yanayotarajiwa kutekelezwa nchini?
Serikali imezisisitiza Wizara zote na taasisi zake kuendelea kutenga fedha kwenye mafungu yao kwa ajili ya kutoa elimu kwa...
Viongozi wa Chama Cha Wamiliki wa Daladala Dar es Salaam (DACOBOA) wamekutana na Viongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo 10 Desemba, 2024 kutoka Idara ya Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano na kufanya nao mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya kikodi kuhusu usafirishaji wa abiria ndani...
Msaada:Natafuta kazi katika mashirika ya wakimbizi au NGO za masuala ya Afya
ELimu: Diploma in Nursing and Midwifery
Nina leseni Hai kutoka TNMC ( Tanzania Nursing and midwives Council) as a Registered Nurse
Jinsia: Male
Email: avicboston@gmail.com
PM ipo wazi kwa mawasiliano zaidi...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa, amesema licha ya kufungua milango ya ushirikiano kwa Wadau wa Sekta ya Habari kuifikia ofisi yake wakati wowote, anawaalika kuwa tayari kusema, kusikia, na kukubaliana na hali halisi.
Waziri Silaa alitoa kauli hiyo leo...
Kuna baadhi ya matajiri duniani mfano George Soros na Bill Gates huwa wanatuhumiwa sana kuwa puppet masters wakiwaendesha wanasiasa kama vikaragosi vyao na kuwafanya watimize zinazodaiwa kuwa na ajenda zao ovu kama depopulation, mass control, ushoga n.k
Sasa inakuaje Elon Musk tajiri namba...
Sijawahi kutoa damu ila kwa hii hela mimi niogope kutoa damu iliweje. Fikiria ukitoa damu unapata dola 10. Nikitoa mara kumi nakuwa na dola 100.
Sasa chukua dola mia, nikienda kumuua Yanga akicheza na Tabora hiyo hela itakuwa sh ngapi?
Haya bado pia hapo nakuwa nimeingia kwenye bahati ya...
Fikiria suala la Pididdy lilivyowachukulia muda wao kulijadili kuluko hata kujadili suala muhimu la kilimo na elimu.
Sasa hivi kichwani mwao ni suala la Baltsar Engonga. Kana kwamba ni wapuuzi wanaoshinda kudadadavua mambo
Hawajui kuwa sayansi na technolojia ipo juu kiasi kwamba hata picha...
Lebanon yaishutumu Iran kwa kuingilia masuala yake ya ndani
Chanzo cha picha, Reuters
Waziri Mkuu wa Lebanon Najib Mikati ameelezea kughadhabishwa kwake na kauli iliyotolewa na spika wa bunge la Iran juu ya mustakabali wa kusini mwa Lebanon.
Spika wa Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amejitolea...
Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka ikilenga kuongeza uelewa kuhusu masuala ya Afya ya Akili na kuchochea Watu kupata Msaada wa changamoto zinazotokana na Afya ya Akili.
Kaulimbiu ya mwaka 2024 '#AfyayaAkiliKazini' imependekezwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) ili...
Watanganyika wamejenga dhana ya kutohoji wala kufuatilia masuala ya kisiasa na kudhani siasa haimunufaishi.
Mtu anaona kwakuwa anakula na kuishi mambo mengine sio ya muhimu, aani kwamba Katiba mpya sio suala linalotuhisu kwakuwa unaamka asbh unapata mkate basi.
Bandari zinauzwa
Serengeti...
Matukio ya uhalifu ni mengi sana ,mengine yanaripotiwa na vyombo vya habari , mengine tunakutana nayo kwenye mitandao ya kijamii lakini kuna mengine hayaonekani popote .
Tunakoelekea watu wataogopa kufanya biashara na shughuli zao
Watu wanaofanya shughuli zao usiku wataogopa kuendelea nazo...
Rais Samia aliporithi kiti cha urais watu wengi walijawa na matumini kuwa sasa demokrasia na uhuru wa kujieleza vingeongezeka na kusitawi.
Hivi karibuni matumaini hayo yamefifia na watu hawaoni tofauti kati ya awamu ya tano na ya sita katika masuala ya kidemokrasia.
Maridhiano ilikuwa ni moja...
Israel imekuwa ikidukua simu zinazotumia internet na minara ya simu kufuatilia mawasiliano na location.
Kikundi cha Hezbollah waliamua kukwepa tundu hili kwa kutumia pagers zinazotumia mawimbi ya redio pamoja na radiocalls kuwasiliana lakini bado Israel iliweza kudukua mawasiliano, kujua...
Ni jambo lisilopingika kwamba watu wote wenye maono kuhusu wapi tuipeleke Tanzania hawawezi kupewa dhamana ya uongozi au ufanya maamuzi.Hii ni kwa sababu nafasi za uteuzi au uwakilishi ni chache na wananchi tupo wengi.
Binafsi nimeitafuta muda mrefu fursa ya kuwa mwakilishi wa wananchi au...
Habari wana jamvi naomba kuuliza swali hili kwenu tupate majibu sahihi Kuna wimbi kubwa la vijana ambao hawajihusishi kabisa na masuala ya siasa unahisi sababu ni zipi na Nini kifanyike?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.