masuala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Utafiti: Walimu wanaosaidiwa katika masuala ya Afya ya Akili wanafaulisha zaidi Wanafunzi

    #AFYA: Utafiti wa mwaka 2023 uliofanywa na Kituo cha Taifa cha Takwimu za Elimu (NCES) cha nchini Marekani, umeonesha 87% ya Walimu wa Shule za Umma walikabiliwa na Msongo wa Mawazo, Kuelemewa na Kazi Ningi na Mtazamo Hasi juu ya Kada ya Ualimu. Hata hivyo, utafiti umebaini Shule zenye Utaratibu...
  2. Magical power

    Nyota na masuala ya kidini (UDINI)

    NYOTA NA MASUALA YA KIDINI ( UDINI ) 1. Hawa kiukweli ni watu wanaoegemea upande wa dini yao tu. Yaani hufuata sana dini yao tu. Na wapo tayari kuilinda dini hio ILA SASA kinachofanya waheshimu dini na mila za imani zingine ni maslahi yao binafsi. Hawa wamegundua ukiweka sana misimamo...
  3. Roving Journalist

    Sungusia Rais TLS, Kulishitaki Gazeti la Mwanahalisi. Awataka Wanachama wa TLS kushiriki mijadala ya maamuzi, wasiishie kulalamika mitandaoni

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika - y yThe Tanganyika Law Society (TLS), Wakili Harold Sungusia tarehe 19 Januari 2024 ametoa ufafanuzi, ambapo amefafanua mambo mbalimbali kuhusu uongozi wake ikiwemo tuhuma zinazungumzwa dhidi yake. Sungusia ambaye anashika Madaraka ya Urais tangu...
  4. B

    Masuala ya rainbow yamepandikizwa kwenye katuni za watoto,wazazi tuwe makini

    Leo nipo na watoto wangu tunaenda shopping,ghafla mwanangu wa kike aliyepo baby class akaanza kuniomba nimnunulie ice cream za rain bow.Nilishtuka sana,nikamuuliza amejuaje mambo ya rainbow?Akanijibu huyaona yakitangazwa kwenye katuni Masha and the bear.Nimeogopa mno sababu hiyo katuni nilikuwa...
  5. L

    Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” lawa muokozi wa Afrika katika masuala ya sayansi na teknolojia

    Tangu katika kipindi cha katikati ya miaka ya 1990, China imetambulisha tena sera yake ya Afrika, ikiongeza msaada wake wa maendeleo, na kuyataka makampuni ya China kwenda nje na kuzidisha miradi ya miundombinu. Hata hivyo, sera kabambe ya mambo ya nje ya rais Xi Jinping na pendekezo lake muhimu...
  6. Chachu Ombara

    Padri Kitima: Bunge letu linafikiri kichama. Upeo wa kuchambua masuala ya nchi yetu umeshuka

    Katibu Mkuu wa TEC, Padri Dkt. Kitima akiwa kwenye mahojiano na The Chanzo amesema kuwa ule uwezo wa kuchambua masuala ya kitaifa umeshuka. ' Ule uchambuzi, kuchambua masuala, kupembua wa watu wa kawaida umeshuka. Wewe angalia sasa hivi watu wana miaka saba hatujawaongelea juu ya haki zao za...
  7. U

    Nawaita wataalamu wa ndoto, wachawi , wajuvi wa mambo, wadadisi, wanazuoni, mafundi wa masuala ya kiroho. Mnipe jawabu ya hili jambo

    Suala langu: Nimekuwa nikisikia Mengi kuhusu ndoto, Wengine mara oohh sijui mlango wa kuyaona yaliyopo nyuma ya Dunia, Mambo yasiyoonekana etc. Wengine wanasema kuwa ndoto ni matukio ambayo tunayafanya kila siku...yanajikusanya. Swali langu:. Kwanini Hajawahi tokea Binadamu yoyote akaota...
  8. UMUGHAKA

    Umefika Muda Serikali itutumie vijana kutoka Tarime ili kukomesha Masuala ya Uhalifu kwenye baadhi ya Mikoa

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa mno la uhalifu unaofanywa na Vijana wadogo waziwazi!. Kibaya zaidi uhalifu huo unafanyika mchana kweupe mbele ya wanaume legelege na wanawake wapaka wanja bila kuchukuliwa hatua zozote!. Askari ambao tulitegemea...
  9. benzemah

    Rais Samia afanya Mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa Anayeshughulikia Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura Bi. Joyce Msuya, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.
  10. T

    Angalia tofauti ya Rwanda na Tanzania kwenye masuala ya utalii. Tanzania tuna cha kujifunza kutoka Rwanda

    Kwanza tuanze na takwimu za kijiografia. Rwanda ni ndogo kuliko mko wa Tabora. Rwanda ina ukubwa wa Kilomita za mraba elfu 26, Tabora ina ukubwa wa mraba kilomita elfu 29. Rwanda ina watu wasiozidi milioni 12. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61. Rwanda haina mbuga ya wanyama wala vivutio...
  11. Sildenafil Citrate

    Rais Samia amteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wake kwenye masuala ya wanawake na makundi maalum

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua ndugu Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Kabla ya uteuzi huu Bi. Sophia alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM.
  12. comte

    Serikali iondoe kesi zote ICSID na kutafuta namna ya kulipa fidia

    Nimefurahi kusikia kuwa Tanzania imeingia maelewano na kufuta kesi ICSID na kampuni ya Winshear Gold Corp. Kesi hii ilitokana na Tanzania kuchukua eneo lao bila kuwalipa fidia. Zipo kesi nyingi za namna hii- siyo fedheha , sisi kama taifa tukiamua kuondoa kesi na kutafuta namna ya kulipa fidia...
  13. BARD AI

    Ushelisheli: Mtanzania awekwa Mahabusu akihusishwa kumsaidia Mpinzani kwenye masuala ya Uchawi

    Ni Patrick Herminie, kiongozi wa Chama cha United Seychelles ambaye ametajwa kuwa tishio kwa Rais Wavel Ramkalawan anayehifia kuondolewa Madarakani baada Herminie kuonesha nia ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Waendesha mashitaka wamesema jina la Herminie lilipatikana kwenye...
  14. Roving Journalist

    Tanzania, Msumbiji zakubaliana kuendelea kushirikiana katika masuala ya Ulinzi na Usalama

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax akizungumza baada ya kufunga Mkutano wa ulinzi na Usalama baina ya Tanzania na Msumbiji uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, amesema: Tulikuwa na kikao cha tano cha Kamati ya Pamoja ya...
  15. Venus Star

    Taarifa fupi ya utekelezaji wa mapendekezo ya kikosi kazi kilichoshughulikia masuala ya demokrasia ya vyama vingi nchini

    Nimeambatanisha Ripoti ya mapendekezo ya Kamati. Lakini nitayaorodhesha mapendekeo hayo hapa:- Kuhusu Mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani ya Vyama vya Siasa Kuhusu demokrasia ndani ya vyama vya siasa Kuhusu ruzuku kwa vyama vya siasa inayotolewa na Serikali. Kuhusu uhuru wa Tume ya Taifa...
  16. M

    ACT Wazalendo kushindwa kutoa msimamo kuhusu bandari kimejiondolea sifa. CHADEMA inaitumia fursa hiyo kuwasulubu

    Chama cha ACT Wazalendo kilijijengea jina kwa kusimama juu ya masuala muhimu na makubwa. Kilitoa chambuzi nyingi juu ya uchumi, hali ya kisiasa na mambo ya uongozi Hata hivyo chama hicho kimegeuka bubu kwenye suala la Bandari. Chama kimeshindwa kutoa msiamamo wa chama katika suala hilo nyeti...
  17. Mwl.RCT

    SoC03 Elimu ni Ufunguo wa Maendeleo: Jinsi ya Kuboresha Uelewa na Ujuzi wa Wananchi wa Masuala ya Kitaifa na Kimataifa

    Elimu ni Ufunguo wa Maendeleo: Jinsi ya Kuboresha Uelewa na Ujuzi wa Wananchi wa Masuala ya Kitaifa na Kimataifa Imeandikwa na: MwlRCT 1. Utangulizi: Elimu ni muhimu kwa maisha na maendeleo ya binadamu. Elimu inawezesha wananchi kuelewa na kushiriki katika masuala ya kitaifa na kimataifa...
  18. JanguKamaJangu

    Ripoti ya Uwajibikaji Utoaji wa Huduma kwa Jamii 2021/22

    Taasisi ya WAJIBU imetumia ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za mwaka 2021/22 kukuletea taarifa rahisi ili kukuwezesha mdau wa uwajibikaji kuzielewa ripoti hizo na kudai uwajibikaji pale unapokosekana. Ripoti hii inategemea ukamilifu na usahihi wa ripoti na taarifa...
  19. Nafaka

    Wakenya kwa masuala ya directing na kuandaa filamu wako ahead of us

    Mimi si mpenzi sana wa filamu za kiafrika labda za South na zimbabwe kama neria, yellow card, Jerusalem na nyingine na soap operas kama isidingo n.k. Ila kuna baadhi ya tamthlia za kenya nilianza kujikuta nazipenda miaka hiyo ya 2014/15 kwa dstv lakini nilikuwa nimemezwa zaidi na series...
Back
Top Bottom