Wadau nawasabahi.
Nikiwa mlipa kodi pamoja na tozo mbalimbali najisikia uchungu sana kusikia kuwa Serikali inataka kukarabati kivuko cha Mv Magogoni kwa bil.7. wakati bei ya kuunda kivuko kipya ni kati ya bil.8.5 -9
Najiuliza kwanini ufanyike ukarabati?
Kwanini kisinunuliwe kivuko kipya...
Ningependa kuwa karibisha wafuasi wote wa siasa za upinzani hapa nchini katika hili swali langu fupi kwa majibu yao.
SWALI:
Tatizo sugu la wapinzani wa hapa nchini je ni Magufuli na utawala wake wa awamu iliyo pita [ awamu ya tano ] au tatizo ni CCM yote ?
KARIBUNI
WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AACHE HASIRA! KUJIBU MASWALI YA WABUNGE NI WAJIBU SIO FADHILA!
1) Ohooo...!! Nadhani hiyo statement ya Dkt. Mwigulu Nchemba ("Daktari wa Uchumi" na Waziri wa Fedha) kuhusu "Honorary Degrees" mbona haijakaa vizuri, hasa ukizingatia hata Rais Samia Suluhu Hassan juzi tu...
Qn 1: Ni miradi ipi inayoendeshwa kwa tozo na ipi ni uwekezaji, ufadhili au mkopo?🤔
Qn2: Hapo kabla inasemekana nchi ilikuwa imefungwa (utawala wa hayati JPM) lakini bado hakukuwa na tozo na mfumko wa bei ulidhibitiwa, je kwa sasa ambapo nchi imefunguliwa kwanini watu wakatwe kodi na tozo kwa...
Maelezo ya Lissu alipohojiwa na CLOUDS
Nafasi za parking zimechukuliwa imebaki moja kwa sababu niko mbele nikaingia kwenye hiyo parking. Wakaingia upande wa kushoto wanatafuta eneo la kupaki kuna magari, kulia kuna magari wakageuza gari kuelekea walipotokea dereva akaniambia nisishuke...
Kuna kesi ya askari magereza aliyekuwa na tuhuma za kubaka mtoto huko Morogoro.
Alipelekwa mahakamani na ikathibitika pasi na shaka kwamba alitenda kosa hilo na hakimu msomi akaitolea hukumu ile kutumikia kifungo cha maisha jela. Hiki ni kifungo cha kikatili ambacho lazima kusiwe na chembe ya...
Wakuu habari za leo,
Naomba radhi kwa watakaoelewa tofauti na nilivyoelewa mimi. Niwashirikishe katika maswali niliyoulizwa na Babu mmoja jana kwenye kituo cha daladala ambacho kina pilikapilika nyingi za biashara kwenye jiji la kiuchumi la DSM.
Nilifika kwenye meza yake ya biashara ya matunda...
Karibuni wadau kwa majawabu yenu juu ya maswali yangu haya yafuatayo.
1. Kwa nini wanasiasa wa TANU na vyama baadhi miaka ya 1950s walishinikiza suala la wao kupewa uhuru kutoka kwa Muingereza? Sababu gani ya msingi ili wafanya wao kushinikiza hitaji lao?
2. Kwa nini Serikali ya Jamhuri ya...
Wadau, hususan TFDA (The Tanzania foods and drugs authority), ni kwa muda mrefu nimekuwa na tashwishi ya kutaka kujua kuhusu madawa/virutubisho (fortifications) zinazotiwa na wasagaji katika unga wa sembe nk , maswali yangu kwa wahusika au kwa mtu yeyote anajua kuhusu hayo madawa/virutubisho ni...
1. Hivi Simba SC haijawahi Kufungwa Chama akiwemo?
2. Hivi Simba SC haijawahi kutoka Sare Chama akiwemo?
3. Hivi Simba SC ilipofika hatua ya Robo Fainali ya CAFCL mwaka Chama alikuwepo?
Na kupitia hili la Chama GENTAMYCINE nimegundua kuwa 85% ya mnaolishadadia nje ya kuwa ni Wapuuzi na...
Habari wakuu,
Naomba kufahamu kwa nafasi za kazi ambapo kada tofauti mnaitwa kuomba yaani kama field za ( finance, planning, economic, engineering) mnaomba kazi moja.
Maswali ya interview huwa yanatungwa kwa namna ipi?
Lucas mwashambwa pamoja na mazuri yote ya Serikali unayoyatangaza humu, umeshawahi kujiuliza kwanini bei ya Mchele ifike 4,000 kwa kilo tatizo liko wapi na nani amesababisha hali hiyo ili iweze kushauri na kutuletea majibu.
Waulize kwanini Kilo ya Nyama iuzwe 10,000 hadi 11,000 kutoka sh 5,500...
Naombeni kujua nature ya maswali ya hivi karibuni kwa wale mliofanya interview utumishi kwa Kanda mbalimbali, zaman tulizoe kila usaili maswali ya research ,saiv kukoje nipen mwanga kidogo jamani.
Kheri ya mwaka mpya wanajukwaa la elimu?
Naomba mnisaidie haya maswali ya:
1. The Rydberg constant for hydrogen is 1.09678×107m-1 and that for singly ionized helium is 1.09722.Given that the mass of the helium nucleus is four times that of the hydrogen nucleus.Calculate the ratio of the...
Kabla hamjafuta Civics nataka nijulishwe,
1. Chama Cha Mapinduzi kilimpindua nani?
2. Tanganyika tunafaidikaje na muungano?
3. Mwenge wa uhuru uko kwa ajili ya maslahi na faida ya nani? Na una faida gani kwa taifa? Kwanini usizimwe na kuhifadhiwa kwenye makumbusho ya Taifa?
KUTOKA KWA MALISA GJ
Nimejiuliza maswali kadhaa nikakosa majibu;
1. Balozi Mushi alikua anajiendesha mwenyewe? Tena usiku wa manane? Protocal za kidiplomasia zinasemaje, Balozi anapokua na safari binafsi? Je alikua peke yake?
2. Kama ajali ni uso kwa uso means lori lilikua linatoka ielekeo wa...
Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri...
Nilifanikiwa kukutana na bosi ya skretarieti ya ajira,.alinipa Siri ya maswali ya mitihani wanayotoa kwa Sasa!
Moja ya Maswali wanatoa kwenye "head job tittle"
Mfano; Agric tutor-crop science
Unatakiwa usome contents zote za crop science utafaulu mitihani!
Msidanganyane na "research siku hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.