Takriban watu watano wameuawa na wengine hamsini kujeruhiwa katika siku ya pili ya maandamano ya kupinga vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Mamia ya Waandamanaji wanadaiwa kulazimisha kuingia katika kituo cha ujumbe wa...
Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa Zelensky na majeshi yake ya Ukraine wamekuwa wakiwatumia raia kama ngao za vita.
Umoja huo umetaja mapigano ya maeneo tofauti tofauti ambapo majeshi ya Ukraine yaliwazuia raia wasio na hatia wakiwemo wanawake, wajawazito, wazee, walemavu, wagonjwa, na watoto...
Hadi sasa Urusi wamepoteza zaidi ya vifary 1,500 na ili kupata picha ya hasara yote hiyo, waza kwamba JWTZ ya Tanzania, yaani jeshi la nchi yote Tanzania lina vifaru 156, hivyo hasara aliyoingia Urusi inaweza ikafyeka mataifa yote ya EAC na kati na mpaka ufike Afrika magharibi, licha ya hasara...
BUDGET ya ULINZI ya MAREKANI ni USD 778 billion. Anafuata mchina Kwenye 240 USD billion. Ukijulisha BADGET zote za ULINZI ulimwenguni hatufiki 778 billion USD. Anaebisha lete facts sio blah blah. USA yupo sana, Tena sana
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho.
• Algeria 🇩🇿
• Angola 🇦🇴
• Congo DR 🇨🇩
• Egypt 🇪🇬
• Guinea 🇬🇳
• Libya 🇱🇾
• Morocco 🇲🇦
• Nigeria 🇳🇬
• South Africa 🇿🇦
• Sudan 🇸🇩
• Tanzania 🇹🇿
• Tunisia 🇹🇳
Ukiangalia mataifa mengine utaona kwamba yamepiga hatua kubwa mno kimaendeleo kutokana na matumizi sahihi ya Rasilimali zao.
Botswana na Nchi ya Falme za Kiarabu (UAE) especially Dubai au hata Libya utaona namna uwekezaji sahihi ulivyobadili kabisa maisha ya wananchi toka ufukara mpaka kuwa na...
Vita ya Syria na Ukraine imeonyesha kuwa Silaha za magharibi (NATO) zimeonyesha uwezo mdogo sana dhidi ya zile za nchi za Magharibi. Nchi nyingi sasa zinawaza kwenda kununua silaha na mifumo ya ulinzi ya Urusi zenye ufanisi mkubwa kwenye uwanja wa vita kuliko zile za NATO.
NATO sasa inawaza...
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeichagua Msumbiji kuwa mwanachama asiye wa kudumu wa Baraza hilo kwa muhula wa miaka miwili kuanzia Januari 2023
Nchi nyingine zilizochaguliwa ni pamoja na Ecuador, Japan, Malta na Uswizi ambapo watachukua nafasi za India, Ireland, Kenya, Mexico na Norway...
Mmoja wa wanajeshi walinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN) ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa wote wakiwa ni raia wa Jordan, jana Juni Mosi, 2022 katika shambulio la kigaidi dhidi ya msafara wao katika Jimbo la Kidal, Kaskazini mwa Mali.
Msafara wao ulishambuliwa kwa silaha ndogo katika...
Mataifa manne ambayo ni hatari kwa usalama wa dunia. Uwenda hujuwi ila nataka ujuwe nje ya nguvu za kijeshi kwa taifa kubwa kama marekani nyuma ya pazia kuna kitisho kikubwa cha usalama wa dunia na amani kutoka tawala nne ktk mataifa ma nne duniani. Waiati sisi tuna vaa magunia nakuowa ndoa za...
Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limedai kuwa mataifa tajiri Duniani yanahatarisha maisha ya watoto kutokana na uzalishaji mkubwa wa gesi za sumu zinazoathiri afya zao.
Kituo cha Utafiti cha UNICEF kimetafiti mataifa 39 ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi na...
Umoja wa Mataifa umeonya kuwa watu milioni 18 katika eneo la Sahel barani Afrika wanakabiliwa na njaa kali katika miezi mitatu ijayo kutokana na athari za Vita kati ya Urusi na Ukraine, janga la COVID-19 na mabadiliko ya hali ya hewa
Inaelezwa kuwa idadi kubwa zaidi ya watu wako katika hatari...
1. Russia
Russia's natural resources reserves are worth $75 trillion by Statista's estimate.1 This amount incorporates, among other things, coal, oil, natural gas, gold, timber, and rare earth metals. Russia's Ministry of Natural Resources and the Environment produced a much lower estimate of...
Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi wake kuhusu ukiukwaji wa haki za watoto kwa kuajiriwa na magenge ya kihalifu, huku ghasia zinazoongezeka katika mji mkuu wa #Port-au-Prince, zikisabisha vifo vya makumi ya raia na zikiwalazimisha maelfu ya watu kuyahama makazi yao
-
Naibu msemaji wa Umoja wa...
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu amekosoa uamuzi wa Mali wa kupiga marufuku vyombo vya habari vya Ufaransa na kuwataka watawala wake wa kijeshi kubadili uamuzi wao.
"Tumesikitishwa sana na uamuzi wa Mdhibiti wa Vyombo vya Habari wa Mali kuifungia Radio France...
Baada ya Urusi kusitisha usambazaji wa gesi kwa Nchi zaPoland na Bulgaria, sasa taifa hilo limesisitiza kuwa itafanya hivyo kwa mataifa mengine ya Ulaya ambayo hayatakubali kulipia gesi kwa fedha ya Urusi (rubles).
Taarifa ya Msemaji wa Ikulu ya Urusi, Dmitry Peskov amesema uamuzi wa Urusi wa...
Rais mzee baba Vladimir Putin ameonya vikosi vya nje dhidi ya kuingilia mzozo wa Ukraine, na kuahidi jibu la "kasi ya umeme" kwa vitendo kama hivyo, huku akiahidi kutumia siraha zenye matumizi ya juu zaidi za Moscow. "Iwapo mtu ataamua kuingilia kati matukio yanayoendelea kutoka nje na kuunda...
Hawa ni rahisi sana kutumika na mamlaka za nchi wanakoishi.
Diaspora wanaomba wawe na uraia wa nchi mbili, yaani wawe marekani na ulaya, sijui Asia na pia wawe watanzania, wale huku na kule. Tabia ya ulafi.
Juzi wamejionyesha wako upande gani, wako upande wa maadui wa taifa, mabeberu
Mapambano makali zaidi ya kivita yanaendelea Ukraine hasa mashariki mwa nchi, unaambiwa mapigano yaliyoko kule ni zaidi ya movie za kivita , Jeshi la Urusi limeuchakaza mji wa Mariopol lakini kwa sababu ya ushujaa wa jeshi la Ukraine Urusi imeshindwa kuumiliki mji Kwa 💯 hii ni baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.