matangazo

  1. The Watchman

    Pre GE2025 Katikati ya matangazo ya 'Live' ITV Mgeni aomba watu wote studio wasimame kumuombea Rais Samia, Watangazaji wapata kigugumizi kumzuia

    Siku ya ya jana tarehe 13 Machi 2025 ITV walikuwa wakirusha matangazo mbashara kipindi cha malumbano ya hoja mada ikiwa 'kutofanyika kwa dabi ya Simba na Yanga nini kifanyike?'. Wakati kipindi kinaendelea akakaribishwa mchangiaji mmoja akijulikana kwa jina la Ramadhan Kampira, Mwenyekiti wa...
  2. Damaso

    Wafanyabiashara wekeni bei za bidhaa na huduma zenu kwenye matangazo yenu ya biashara

    Katika ulimwengu wa biashara wa kisasa, matangazo ya bidhaa na huduma ni moja ya njia bora za kuvutia wateja na kujitangaza. Hata hivyo, kuna mwelekeo mbaya unaozidi kuonekana miongoni mwa wajasiriamali na wamiliki wa biashara ambapo wanatangaza bidhaa na huduma zao, lakini hawaweki wazi kuhusu...
  3. Southern Highland

    Nawaza tu, kama mwenye haki ya matangazo angekua DSTV!

    Tunachukuliana poa kwakua mmiliki wa haki ya matangazo ni MTanzania mwenzetu. Lakini proffessionally, financially hata socially anaenda kulilia chooni kwa hasara anayoingia na anafanya hivyo asiwakere waliompa tender. Pole sana Azam, nia yako ni njema ila waliokupa kazi hawathamini jasho lako.
  4. THE FIRST BORN

    Azam hua mnakosea sana kwenye matangazo yenu ya Derby

    Azam kitengo Cha Promotions hua mnafanya Sana hili kosa la double standard kwanini? Yani inachekesha sana Kwenye games 2 za mwisho Yanga Vs Simba zote Yanga ameshinda Tena Kwa goli 1-0 zote hapo Simba hajafunga hata goli la kuotea ila Kwa tangazo lenu official la Derby mnaonyesha Simba...
  5. K

    Nifanyaje kuzuia matangazo kuingia kwenye simu yangu wakati wa kutafuta kitu kwenye Browser

    Wakuu Nifanyaje kuzuia matangazo kuingia kwenye simu yangu wakati natafuta kitu kwenye web browser Nawakilisha hapa nashindwa hata kuandika
  6. S

    Biashara ni Matangazo

    Habari wanaJF, Leo nimemaliza rasmi kazi yangu hapa Dar naelekea Moro. Mambo hayakuenda nlivyotarajia, lakini Inshallah, riziki ni ya Mwenyezi Mungu. Baada ya kuachwa na treni miezi miwili ilopita, niliamua kuwa nkiwa natoka dar, nachukua treni ya mwisho. Inanipa muda wa eventualities na...
  7. Li ngunda ngali

    Tetesi: Kikeke na Crown wapigwa mkwala na kuelekezwa wakatishe matangazo mbashara na Tundu Lissu

    "....Kikeke kapigiwa simu toka juu na kuelezwa akatishe haraka kipindi cha Kasri kilichokuwa Mubashara akimuhoji Tundu Lissu ndiyo maana kipindi kimetoweshwa ghafla." Duru.
  8. O

    Changamoto na matangazo ya mitandaoni

    Inakuwaje au unajisikiaje unapolipia tangazo alafu watu wanabofya bofya tu ila hawana nia ya kununua bidhaa zako mtu anaulizia singsung s23 shingapi unampa bei anapotea hata kurudiaha jibu hapana yaani unaweza kupokea message hata 20 halafu majamaa ukiyajibu yanakaa kimya hakuna kurudiaha jibu...
  9. RIGHT MARKER

    Tunabandikiwa matangazo ya ajira lakini tayari watu wa kuajiriwa wanafahamika.

    📖Mhadhara (73)✍️ Miongoni mwa mambo ambayo yanasababisha kutokuwepo kwa nidhamu, uadilifu, weledi, na ufanisi kwa wafanyakazi wa makampuni na idara mbalimbali ni kuajiri watu ambao hawakukidhi vigezo vya ajira (nafasi) husika. Sikuhizi undugu ndio umeshika nafasi kubwa sana kwenye suala la...
  10. H

    Makampuni ya simu mtupunzie sms za matangazo zinatukera wateja sana,sana,sana,

    Habari, Sms za matangazo,promition,nk zimezidi sana,sana na nikero kwa wateja kwa siku mteja anapokea zaidi ya sms 20 kwa namba zake tofauti ukicheki unakuta ni matangazo ya bima,kamari,muziki,mataperi,polisi,nhif,bahati nasibu,nk. Hivi tumenunua simu kwa ubia na mitandao ya simu? Yaani sms...
  11. JOSEPHAT_07

    Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  12. milele amina

    Ninatangaza kuuza Avatar yangu!

    Karibuni! Niwatakie Heri ya mwaka mpya 2025
  13. Binadamu Mtakatifu

    Baada ya muda leo nimeanza kurusha matangazo ya adsense

    Wakuu hii ni mara ya kwanza kukubaliwa na adsense ishu nataka wale wenye uzoefu waniambie malipo yanapokelewa vipi huku tz Naomba mnijuze
  14. S

    Ubandikaji wa matangazo kwenye miundombinu ya Serikali upigwe marufuku

    Habarini, Kuna tabia imekua ikinikera miaka nenda rudi. Serikali inakazana kuunda miundo mbinu na kuifanyia finishing nzuri ili uliwe na mwonekano mzuri na kuvutia lakini baada tu ya mradi kuanza watu wasiojua uzuri na waliokosa ustaarabu wanaanza kubandika sticker za matangazo ya kampeni...
  15. G

    Watanzania wenye depression hawawezi kushirikisha watu wengine kwa sababu matatizo yao hufika mpaka vijiweni, hakuna usiri !!

    Baada ya mlolongo wa vifo vya Depression ikiwemo cha jana usiku mwanafunzi kujirusha ghorofani niseme tu kwamba watu wanapitia mengi sana, huwa inashauriwa kufunguka matatizo yako kwa watu wa karibu kundoa machungu lakini kwa hapa bongo hali watu wengi huyatunza rohoni. Shida ni kwamba watu...
  16. G

    VOA wanyimeni UFM hali ya kurusha matangazo yenu, ni machawa

    Muda mfupi uliopita Ufm wamekatisha taarifa ya habari kutoka VOA walipoanza kutangaza habari za Tanzania kutoheshimu haki za binadamu. Huu ni ujinga uliopitiliza. CCM na serikali yake wanajitahidi kuficha maovu yao yasijulikane kwa wananchi hasa wale wajinga ambao ndio wengi na mtaji wao. Huwezi...
  17. Clark boots

    Kwa huu utitiri wa matangazo ya kazi ya kuhamia (Transfer vacancy) ndipo tunaamini mfumo wa ESS haufanyi kazi kabisa

    Sasa hivi kumekuwa na matangazo mengi kwa taasisi tofautitofauti kutangaza nafasi za kuhamia (Transfer vacancy) ambapo taasisi zinawataka watumishi wa umma wenye kupenda kufanya kazi hizo kutuma maombi ya kuhamia. Hapa inaonesha dhahiri kuwa mfumo wa kiutumishi uliowekwa(ESS) haufanyi lolote...
  18. milele amina

    Madaktari Bingwa wanaojiita Madaktari wa Mama Samia, huduma zenu na matangazo yenu yana ukakasi

    Habarini ya Asubuhi Wana Moshi Kila asubuhi, jiji la Moshi linapokea wingu la matumaini na changamoto. Hii ni kutokana na tangazo la hivi karibuni la madaktari bingwa lililotolewa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Wengi walidhani kwamba tangazo hilo lilikuwa ni hatua ya kuleta afueni kwa...
  19. Waufukweni

    DOKEZO Wanaotangaza kuuza Viwanja kwenye Vituo vya Daladala na spika zao walipie kodi ili iboreshe vituo vya hivyo

    Wakuu Haya Matangazo ya viwanja "Vinauzwa na Hati" yanayosikika karibu kila kituo cha daladala hapa mjini Dar kupitia sauti kubwa kutoka kwenye spika zilizowekwa, ni kero kubwa kwa abiria na wananchi kwa ujumla. Kila ukigeuka, unaskia matangazo yanayohusiana na viwanja vinavyouzwa, na hivyo...
  20. A

    KERO Magari ya Matangazo Mbeya Jiji hayazingatii Usiku wala Mchana, imekuwa kero sasa

    Leo Jumatatu tarehe 2 Dec 2024, muda huu ni saa tatu na dakika 45 usiku Mitaa ya Forest Mpya kwa Mwamnyange kuna gari la matangazo linatoa tangazo kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kuhusu mauzo ya Viwanja maeneo ya Nsalaga. Jamani tumekuwa tukilalamikia hizi kero za haya magari ya matangazo...
Back
Top Bottom