Habari wadau. Nina swali kichwani bado sijalipatia jawabu, naombeni mchago wenu.
Zipi ni blog 10 safi Tanzania ambazo zipo updated sana kila siku na zinatoa matangazo ya ajira ya uhakika?
Habari ndugu zangu,
Mimi ni msanifu kwa lugha ya kiswahili lakini lugha ya mzungu ni Graphics Designer na kwakuwa nafanya aina zote za usanifu wa digital multimedia includes interactive, computer-based applications that allow people to communicate ideas and information with digital and print...
Mimi naanza na hawa Clouds Media Group
Clouds FM mnazingua sana kwa jinsi mnavyoi promo hiyo show ya fiesta mnakera sana tangazo kila baada ya dakika nne.
Hakuna cha maana mnazungumza ni fiesta tu. Yaani radio yenu haina maana yoyote ni issues za fiesta muda wote. Mnaboa sana.
Njia pekee ya...
Mna Mambo ya ajabu Sana. Yaani mtu akipiga simu atawekewa matangazo mpaka atajuta na kukimbia mwenyewe. Najiuliza lengo la mtu kiwapigia simu ninl kusikiliza matangazo au kuelezea hitaji lake.
Coz wakati mwingine mtu anahitaji huduma ya haraka, huemda amekosea namba or something. Sasa...
Tunatengeneza web applications (websites na web systems) na android applications kwa bei nafuu kabisa,kwa yeyote mwenye uhitaji awasiliane nasi kwa namba zifuatazo 0769729927 au 0652130344
Guest house inauzwa buguruni sokoni.
Zipo 2, zote zinauzwa million 120.
Zote zina vyumba zaidi ya 9 some self contained some not.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na simu namba, 0742930901 au 0754677838
Unaweza wasiliana na mwenye guest directly kwa simu namba 0767234545 KIGOMA GUEST HOUSE
Wapo watu wanaweka matangazo ya kazi.
Watu wanafanya application na wanapewa hadi sehem na tarehe ya interview.
Ila wakienda wanakutana na semina za Network Marketing.
Me naona hii sio fair cos watu wanajiandaa kwa interview na nguo wanapasi then unaenda kuambiwa utafute watu watatu cjui blaa...
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kupata wateja kupitia matangazo yako basi formula hii ya AIDA itakupa mafanikio makubwa katika matangazo yako kuliko formula nyengine yoyote.
Lakini kabla ya kuangalia fomula hiyo kwanza ningependa niongelee aina za matangazo.
Kuna aina mbili kubwa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.