Kwenye Matangazo ya pombe mwishoni kuna sauti nzito ya njemba moja sijui ni nani anasemaga ...."Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako"....
Anazingua sana anawapa cha kusema wake zetu, siku ukiamua kitulia home bahati mbaya tangazo likatoke basi ikifika hiyo sehemu kama ni TV au...
Kampuni ya Google imepigwa faini ya Euro milioni 220, sawa na zaidi ya Tsh. bilioni 621 na kutakiwa kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wake wa matangazo ya mtandaoni nchini Ufaransa.
Mamlaka za Ushindani wa Kibiashara nchini Ufaransa zimesema faini ya Google inatokana na kutumia nafasi...
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Antony Mavunde amempongeza Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa za kuharakisha utiaji saini wa Mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta la Hoima - Tanga. Maana Mradi huo utatoa ajira zaidi ya elfu kumi na tano (15,000) kwa Watanzania.
Hivyo...
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi na Azam TV Limited kwa pamoja wameingia makubaliano ya kuonesha matangazo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa muda wa miaka 10 wenye thamani ya Shilingi bilioni 225.6.
Kiasi hicho ni kikubwa zaidi kuwahi kutokea Afrika Mashariki na kuifanya...
Habari wakuu, Natumai kila mmoja wetu yuko vizuri na tunaendelea kupambana katika ulimwengu wa biashara na ujasiriamali. Mada ya Leo inahusu kitu ambacho kina mchango mkubwa sana katika kuikuza biashara yako mwaka huu 2021. Haijalishi wewe ni mfanyabiashara mdogo, unauzia Insta tu au ni...
Na wewe huwa unajiuliza swali hili au huwa unaogopa kujiuliza kwasababu unahofia kuona makosa yako?
Ukweli ni kwamba wengi swali hili kulifanyia kazi huwa hatutaki kwasababu tunaona tutajiumiza kwa ukweli ambao tutaujua kupitia matangazo ambayo huwa tunayafanya.
Kuna njia nyingi sana za kujua...
Akiwa anaongelea kuhusu MSD, sauti imekatwa ghafla na baadae kumtoa hewani kabisa kisha kuweka matangazo. Hii haikubaliki. Bajeti ya MSD imetekelezwa kwa chini ya asilimia moja.
Baada ya uchambuzi, wamerudisha LIVE. Wanaouliza maswali hawaoneshwi lakini u-tube wanaonesha
Baada ya mchangiaji...
Habari za wakati huu wakuu, naomba tenda za kutengeneza matangazo madogo madogo kwa ajili ya kukuza biashara yako kupitia mitandao ya kijamii, pia napiga picha za kupromote biashara yoyote ile. Naomba kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kwa namba 0656 249 607.
Nina ujuzi na uzoefu katika kazi hii...
Katika hali ambayo isiyo ya kawaida kwa sisi wasikilizaji wa BBC kipindi cha jioni. Radio Free wamekata ghafla matangazo ya BBC wakati Padre akielezea juu ya tahadhari ya Corona. Katika mahojiano hayo, Padre alisema kuwa kipindi cha nyuma wao kama viongozi wa dini walikuwa wakiitwa mara chache...
Niende moja kwa moja kwa mada.
Inasikitisha na ni fedheha kwa taasisi kubwa ambayo iko chini ya ofisi ya Raisi kuwaongopea/ kuwahadaa watanzania katika kutenda haki katika kutoa ajira kwa Watoto wa maskini pasipo kuwa na ukiritimba wa namna yoyote.
Leo nilikuwa nikipitia tovoti ya Sekretarieti...
Jambo hili nimeliona kwenye uwanja wa Aman nimeona ni la kushangaza kidogo kwa mtazamo wangu naona mgongano wa kimaslahi kwa taasisi hizi mbili Namaanisha CRDB Bank na NMB Bank mabango yao wote yanaonekana uwanjani kwa pamoja kama wadhamini wa Mapinduzi Cup.
Kibiashara hili halipo sawa ila...
Mambo 10 ya kuzingatia unapoandaa chapisho la tangazo la kibiashara mtandaoni
Mitandao ya kijamii imebadilika kutoka kuwa majukwaa ambayo watu hukutana kufahamiana na kujadili masuala mbalimbali ya kijamii, hadi kuwa majukwaa ya kibiashara ambayo unaweza kukutana na wateja wako, kuwafahamisha...
Leo asubuhi nikiwa nazurura zurura mtaani kama kawaida yangu.
Nimekutana na gari la matangazo ya mnada wa hadhara likitangaza uwepo wa mnada kwa mali za watu walioshindwa kufanya marejesho ya fedha walizochukua toka taasisi za kifedha kama mikopo.
Mali zinazouzwa ni majumba na magari.
Jambo...
Kama kuna habari mnataka isiwafikie Watanzania ni bora kipindi kizima mkaachana nacho badala ya kuonyesha zile mnazozipenda na kuzima tusione zile msizozipenda.
Ni hayo tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama!
Niaje.
Noamben kujua kuna tatizo gani kwa hawa wanaorusha habari za bbc Swahili na Sauti ya Ujerumani siwapat kabisa redion wamefungiwa au?
Halafu pia naomba kujuzwa hawa BBC Swahili na vituo vingine vya habari vyanzo vyao vya mapato ni vipi maana nimezoe kuona huku kwetu radio station...
Hili suala si la kulifumbia macho ama kulidharau, ukipita kwenye kona mbali mbali za jiji la Dar utakuta ni picha tu za wagombea wa CCM ndio zimetawala mji mzima lakini Vyama Pinzani hakuna kabisa mabango yao ya kampeni mitaani.
Hali hii inawafanya wananchi wengi kuona kama vile vyama pinzani...
Katika pitapita zangu katika maeneo mbalimbali ya viunga vya Jiji la Dar es Salaam, nimeshuhudia hivi karibuni mfumuko wa mabango na makaratasi mbalimbali ya kumnadi mgombea wa Urais wa CCM, John Magufuli pamoja na baadhi ya wagombea wa CCM wa Ubunge na hata Udiwani.
Makaratasi hayo inaonyesha...
Nimeona kama vile makampuni ya kutengeza matangazo ya TV bado hayajapata wataalamu wazuri. Matangazo mengi ya biashara kwenye TV huwa ya kupayuka sana tena kwa sauti za juu sana inabidi mtu upunguze volume.
Je, wenzangu mnayaonaje; je yanafikisha ujumbe kweli au yanahitajui kuboreshiwa ziaidi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.