Takribani wiki karibia 5 Clouds fm, wiki 2 RFA na Star tv siku ya 2 hawarushi matangazo baadhi ya mikoa.
Tatizo nini hali hii, wahusika kupitia mitandao yao ya kijamii hawatoi taarifa yoyote kutopatikana matangazo baadhi ya mikoa nchini!
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekutana na Wawakilishi wa Umoja wa Watoa Huduma za Matangazo kwa njia ya Waya (Cable Operators - TACOL), Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA), Tume ya Ushindani Tanzania (FCC) na Baraza la Mashauriano la Watumiaji la TCRA (TCRA -CCC) katika kikao cha...
Kwa kweli na miss sana Ufm kwenye kutangaza hizi mechi, bahati mbaya haya majamaa ya tbccm yameshinda tenda ya kutangaza ligi redioni.
Yaani kwanza mechi zote lazima dakika 5 zinapotea kwenye matangazo sijui wanashindwaje ku balance muda, ikifika half time uchambuzi ni hovyo kabisa ukitoa Jesse...
Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi.
Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na italeta hamasa kwa wale ambao hawapendi kwenda kulitumikia Taifa huko JKT.
Mimi nimetoa pendekezo tu,
Hivi hawa watu walikuwa wana bandika mabango muda gani na matangazo yao?
Wataalam wa matangazo na masoko mnawazungumziaje hawa jamaa waliofanikisha kutandaza vipeperushi dar nzima?
Hawa watu wanafananaje? ni kampuni iliyopewa tenda
Kila unayemuuliza kuhusu haya mabango na watu walio bandika...
Matangazo yametapakaa Dar kuanzia kwenye nguzo za umeme, madaraja..mitaro n.k
Anapaswa kushughulikiwa na kuamriwa kusafisha miundombinu aliyoichafua.
=========
Uzio wa Yapi Merkez, eneo la Raha Leo-Dar
Baadhi ya mabango yakiwa yameondolewa eneo la ujezi wa flyover-Chang'ombe
Mataifa yanayofanya vizuri na kuongoza katika utalii duniani ni pamoja na; Ufaransa, Hispania, Marekani, China, Italia, Uturuki, Mexico, Ujerumani, Uingereza. Kwa Africa ni South Africa, Misri, Morocco, Algeria, Zimbabwe, Mozambique, Ivory Coast, Kenya na Botswana.
Ukiyatazama mataifa haya kwa...
Wakuu GBWhatsapp baada ya kuiupdate kwenda current version imekuja na matangazo yasiyoeleweka. Msaada wenu wenu njinsi ya kuondoa hivi vimatangazo maana nimejaribu kuondoa kamoja ila kakahamia juu ya icon ya kustart new message.
Ndugu zangu wafanyabiashara na wajasiriamali ngoja niwape fursa kidogo ya kutangaza biashara zetu. Kwa wale wa matangazo ya ya kwenye spika yaani unakua unaplay eneo lako la biashara huku likitaja baadhi ya bidhaa zako kwa bashasha na mbwembwe lukuki ni 30000/=.
Na pia kuna matangazo ya video...
Hoja ya Manara inajionyesha kabisa azam wa mission maana kama hawana huwezi kurusha matangazo bure 1hr na dk26 hivi hivi. Azam wanatamani sana wapate pia mkataba wa Simba na Azam. Sasa wanamtumia Manara kufanikisha deal
Tuwe machoooo. MO asimjibu Manara kama anataka kuendelea na Simba kwa...
Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako kwa wateja wako? Kama jibu ni sawa basi tupo kwa ajili ya hilo na utafurahia huduma yetu...
TBC na TFF wameingia makubaliano yenye thamani ya Tshs 3.5bilioni ambapo TBC watakuwa na haki xa kutangaza mpira wa ligi kuu kwa upande wa Redio.
Makubaliano hayo yatakuwa no kwa miaaka 10 ambapo hakuna radio yoyote itakayo ruhusiwa kurusha matangazo hayo mpaka wapate kibali toka TBC.
Una...
Hivi majuzi nilisikiliza interview ya Sallam SK kupitia kipindi cha The Switch cha Wasafi FM nikajifunza jambo -- kuwa kumbe si kila msanii yupo tayari kunyakua kila dili linalowekwa mezani, no matter how much mulla it brings.
Kumbe si ughaibuni tu ambapo watu wana uthubutu wa kukataa michongo...
Tangu jana mpaka muda huu nimepokea meseji 69 za matangazo ya cha asubuhi, huu ni usumbufu kwetu watumiani wa mtandao wenu, Itoshe kuwaambia hali hii ikiendelea baadhi yetu tuna suspend line zenu zinakuwa za kupokelea tu simu.
Tutajaza salio kwenye line za mitandao ya kiistarabu kwakuwa mmekuwa...
Tumaini langu mko salama, kunachangamoto kubwa sana kwa vijana wanaoishi kijiji kupoteza fursa za kazi ambazo Halmashauri huwa wanazitangaza, matangazo haya mara nyingi huwa hayawafikii vijana hawa mara nyingi fursa hizi ufaidika vijana waoshio makao makuu ya Halmashauri.
Hii kutoka na miundo...
Mimi ni kijana mtanzania ambaye nimemaliza elimu ya chuo kikuu kada ya ualimu wa sayansi na nimehudhuria usaili mara kadhaa na leo nataka nizungumzie swala la matangazo ya ajira kwa taasisi zinazotoa ajira.
Ajira ni changamoto ambayo inatukabili vijana wengi sana na inapotokea tangazo la ajira...
Ofisi zao hawa Facebook kwa hapa Dar ziko wapi? Na kwa mabilioni yote haya wanayochuma kama faida toka nchi Tanzania, wanalipa kodi ya mapato (income tax)? Na wanailipaje?
Maana itakuwa sio fair makampuni mengine kama Wasafi Media, Clouds Media, IPP media na wengine walipe kodi ya mapato na...
Habari wandugu,
Siku hizi matangazo ya biashara ili yawe na usikivu unaovutia yanatengenezwa kwa mfumo wa komedi. Nitatoa mfano wa tangazo la soda ya 7 Up ambalo linasikika redioni.
Kama kuna watu wenye kipaji cha kutengeneza matangazo kwa namna hiyo na hawajapata nafasi ya kupata kipato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.