Mwaka mmoja baada ya kuimaliza kidato cha sita, nilirudi nyumbani kuona hali inaendaje. Ups and downs zilipita za kutosha, hatimaye Mwananchi Communication Limited wakatangaza kuwa kampuni ya ATY kutoka Mafinga ina ajira. Maelezo kiasi na malipo ni mazuri, niende na chakula tu na chakula changu...
Kwanini redio hizi nazo zinahusika kwenye Matangazo haya ambayo mengi ni ya uongo-uongo?
Mfano:"Aaa! jirani unahangaika bure, dawa ni moja tu!(anaitaja) zingine zote fake!
Kwenye picha ni mfano tu, nashawishikaga kuapply nasema au bas...
Nisaidien jamani haya matangazo ya kazi nje ya tz si mara Moja au mbili nakutana nayo yanaukweli gani
Jamani wataalam. Nina shida katika ukurasa wangu wa biashara wa facebook. Inaandika BOOST UNAVAILABLE katika post zote. Kiujumla upande wa matangazo AD haufanyi kazi kabisa. Naomba msaada wenu maana mimi naishi kutokana na matangazo baada ya ku-boost katika akaunti yangu ya biashara.
Mtu...
Fuatilia Matangazo ya Moja kwa Moja ya Iftar Maalum ya Mayatima na Wajane kupitia Mitandao ya Kijamii ya CCM
IFTARI MAALUM YA MAYATIMA NA WAJANE ILIYOANDALIWA NA MA-SHEKH WA MKOA WA DODOMA KUADHIMISHA MWAKA MMOJA WA UONGOZI MHE.RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
YouTube
Twitter
Facebook.
Pamoja...
Habari wanaJF.
Siku hizi matangazo ya biashara kwenye kurasa nyingi za mitandaoni yamezidi - hadi kufunika ulichofungua kurasa kusoma. Matangazo mengine yanafunguka katikati ya shughuli. Iko njia ya kusoma hizi kurasa bila bugudha kwa kutumia mfumo wa browser READER'S MODE. Browser ni...
Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya..
Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai.
Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo...
Wakati TFF inaanzisha ndoa na GSM tuliambiwa na kuonya kuwa hatuhusiki. Lakini baada ya muda tukahusishwa kinyemela. Tunataka sasa kujua hiyo ndoa imevunjika!? Na vipi kuhusu talaka na kugawana mali kwa wanandoa!?
Naona kwenye mitandao hamjaweka bango la GSM ndio kusema mnatuona sisi hutujui...
1. Vyombo vya Habari ni Mali ya serikali au Mali ya wananchi na Umma Kwa ujumla?
2. Bunge kurusha matangazo live linategemea kibali cha Serikali au Bunge linapaswa kujiamulia lenyewe?
3. Mahakama kuruhusu vyombo vya habari kurusha mwendo wa kesi live inahitaji kuomba kibali cha Serikali au...
Azam Media Limited (AML) inautaarifu umma kuwa wafanyakazi wake 12 waliokuwa wanakwenda mkoani Mbeya kwa ajili ya kazi ya kurusha matangazo ya mechi za Ligi Kuu ya NBC wamepata ajali baada ya gari lao kusukumwa na lori lililokuwa likirudi nyuma kwa dharula katika Mlima Kitonga.
Ajali hiyo...
Karibu nikuzie laptop na computer aina zote kama:
-HP
-DELL
-LENOVO
-APPLE
-FUJITSU
-ALIENWARE
-SAMSUNG n.k
Accessories aina zote zinapatikana kama:
-RAM (1gb 2gb 4gb 8g)
-Hard disk (180gb, 320gb, 500gb, 1000gb, 2000gb)
-Adapter charge aina zote
-Keyboard na Mouse wired na wireless
-VGA...
Tarehe 6 Februari ni siku muhimu kwa shabiki mkubwa wa soka Jackson Ndongo. Yeye na wanakijiji wenzake walitazama fainali ya Kombe la Afrika 2022 iliyofanyika Yaounde, mji mkuu wa Cameroon mbele ya televisheni kijijini, wakinywa mvinyo wa mawese. Katika mwezi uliopita, kutazama mechi ulikuwa...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussen Mwinyi ametoa maagizo kwa taasisi za Serikali kutotoa matangazo kwa vyombo vya habari kama hawatoweza kulipia matangazo hayo.
Dk Mwinyi amesema hayo leo Jumatatu Januari 31, 2022 akizungumza na wandishi wa habari Zanzibar.
Wakuu nahitaji website au blog yenye matangazo ya Google Adsense yakiwa hayana shida yeyote, kwa aliyenayo naomba tuwasiliane
Njoo WhatsApp http://wa.link/c951p8
Matangazo mengi ya beer za TBL wanapewa watu wa Arusha. Hii kitu imekua inaendelea kwa muda sasa. Castle Lite wanawapo deals Weusi (wasanii kutoka Arusha). G-nako alifanya nyimbo kufanya promotion ya beer ya Kilimanjaro na pia alipewa ubalozi wa beer ya Kilimanjaro. Castle Lite Unlocks ya South...
Mambo vipi wanajamii.
Kwa wale vijana wenzangu tuliozaliwa enzi za Nyerere na mwinyi kuna matangazo haya utakuwa unayakumbuka. Tangazo la kwanza ni lile linaloanza hivii "Tueleze siri ya Mafanikio yako", kisha yule mrembo anajibu "Sio siri ni Levora" nakumbuka kipindi kile watu walisema kuwa...
Ukifuatilia urushaji matangazo unajiuliza vyombo vyetu vya habari vilipata muda kufuatilia mchakato mzima wa paredi na ratiba ya matukio au vimepeleka timu zao Leo? Je, hawa Watangazaji ambao wanashangazwa na idadi ya vikosi vilivyopo uwanjani walipata muda wakuhoji uandaaji? Hawa Watangazaji...
Tarehe 3/12/2021 siku ya Ijumaa, lile gwiji la siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka 20 litakuwa linafanya mahojiano katika televisheni ya taifa TBC chii ya gwiji lingine la habari yaani Khalidi Gangana.
Pamoja na mambo mengine atakuwa akitambulisha kitabu chake.
Itakumbukwa vizuri kuwa toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.