TCRA pia Dkt. Gwajima D waangalie namna ya kulinda watoto.
Matangazo ya pombe kuwekwa katikati wakati unatazama taarifa ya habari binafsi naona sio sawa.
Maana ni mazuri na unakuta watoto wanayafurahia kweli. Tafsiri yake inawachochea kutamani kutumia.
Hii iwe hata kwa matangazo mengine...
Wakuu habari.
Niko nasikilizia hapa radio Free!. Kuna kipindi Cha mganga anajinadi kuwa kama una tatizo lolote yeye atakusaidia kulitatua kwa kupiga namba ya sim Aliyoitoa.
Anasema kama unashida na Hela, cheo yeye anaweza kukusaidia.
Najiuliza hapa nikienda kwa huyo mganga na nisifanikiwe...
Kinachonisikitisha hivi kwa nini hivi sasa you tube haifai kuangalia na watoto, maana hakuna unachoweza kukiangalia kwa amani, najiuliza hata watoto wetu wanajifunza nini hasa.
Yaani unaweza kuwa unasearch kitu cha maana lakini utakayokutana nayo kama huna lengo maalumu unaweza usitimize au...
Zamani (kabla ya smartphone) nilikuwa nikitaka kudownload miziki naingia Waptrick. Simu kubwa zilipokuja nikaona process za kudownload kwenye browser ni ndefu kwanza vitu vyenyewe unakuta vimeongezewa au vimepunguzwa mfano ukidownload kupitia mdundo lazima ukiplay mwanzo yasikike maneno "...
Jamani tupeane uzoefu.
Mara nyingi natumia Instagram na YouTube kutangaza biashara yangu, lakini nataka kuongeza njia mpya za kufanya matangazo. Nimejaribu kuwasiliana na TikTokers kadhaa wa Bongo, lakini bei zao ni kubwa. Mfano, Kiredio aliomba milioni 6 kwa matangazo manne, na wengine wanadai...
Mimi nimejaribu kupita huku na huku Tz hii. Huu utataratibu wa kuweka speakers Asubuhi mpaka jioni ukitangaza kiwanja cha futi 40x50 nimeuona Dar peke yake.
Kwa nini nje ya Dar huu utaratibu haupo wakati huku mkoani watu wanapata maeneo makubwa zaidi tena kwa bei nafuu siyo hio 20x20 . Mili 6.
Habarini,
Kwakweli sasa imekuwa kero kwa jumbe za matangazo,promotion,taarifa,nk kutoka serikalini, makampuni, taasisi, wafanyabiashara,nk yaani kwa siku mmiliki wa simu/line anapokea zaidi ya jumbe 20.
Kulingana na sheria ya mitandao huu ni usumbufu na kuingilia uhuru wa mteja kwani makampuni...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifahamu hospitali na mawakili huwa hawaruhusiwi na taaluma zao kufanya matangazo ya kibiashara mpaka leo hii nilipokutana ni hii ya Yanga kuitangaza JKCI!
Sijajua lengo la huu mpango ni lipi hasa?
Kwamba JKCI wana uhaba wa wateja?
Au JKCI wanafanya ushindani na...
Jana nilimpelekea mtu moto mkaal eti baada ya mapuziko ananimbia kuwa mm natumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume," alisema mbna wee wa moto hv au umepaka mkongo nn" 🤣 😂 nikacheka akasema tena "utakuwa unatumia haya madawa ya kuongeza nguvu haiwezekani unikamatie hvyo dk 45 hukojowi tu akasme...
Mhadhara - 47:
Inakera!!
Siku hizi hakuna raha ya kutumia smartphone, ukifungua APP yoyote kwenye simu (kabla hukuendelea na mambo mengine) unaletewa matangazo ya biashara, na matangazo mengi ni MKOPO ONLINE. Unalazimishwa (bila ridhaa yako) utazame tangazo kisha ndo uendelee na mambo mengine...
Edgar Mwakabela maarufu kama Sativa ambaye ni muhanga wa matukio ya utekaji, leo hii amelipia matangazo ya Instagram ili kuanika uhalifu unaofanywa baadhi ya askari wa jeshi la polisi.
Haya ameyaeleza Sativa katika ukurasa wake wa Twitter (X) leo tarehe 06/10/2024, ambapo ametenga bajeti ya...
Japokuwa Mangwea hakuwa mfanyakazi wa Clouds lakini mwamba alipoondoka clouds walijitahidi sana kumuenzi. Ngoma za mwamba zilipigwa siku nzima.
Hapo hatujaongelea mtu kama Ruge, wakina Kibonde na Gardner.
Huku Wasafi chini ya meneja vipindi wao baba Levo wako wako tu. Kuanzia usiku, asbuhi...
Hatimae DStv wamepata haki za kuonyesha mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na zile za Shirikisho kwa msimu huu wa 2024/2025.
Hii itakuwa nafuu kwa wateja wa DStv waliokuwa wanakosa uhondo huo mpaka waende Vibanda umiza.
DStv anaungana na Azam Tv pamoja na SABC kuwa vituo vyenye haki ya kurusha...
Mara nyingi huwa nakutana na matangazo Mtandaoni yanatangaza bidhaa na kunadi ofa ...
Unakutana na Tangazo linasema OFA OFA OFA jipatie ......kwa bei ya ofa ,lakini ukiangalia sababu za yeye kutoa ofa hana . Hili ni kosa kubwa wanalofanya wafanya biashara wengi bila wao kujua .
Dunia ya sasa...
Bila Shaka Haujambo Na Unaendelea Vizuri! Kwa Majina Mi Ni Max Ernest Ni Mtaalamu Wa Graphics, Branding & Social Media Management.
Nimebarikiwa Zaidi Katika Uandaaji Wa Matangazo! Hapa Namaanisha Matangazo Mazuri Ya Video Na Sauti!
Kulingana Na Uzoefu Katika Industry Hii Sifa Nyingi Na Namna...
Kumekuwa na tabia ambayo imezidi kumea katika jamii yetu na nchi kwa ujumla kwa makampuni ya mikopo kutuma msg kwenye siku zetu wakitangaza huduma zao.
Idara za masoko za makampuni ya kukopesha yamekua yakituma msg kwa wananchi kujitangaza ili kuoata wateja.
Hofu yangu kubwa ni wapi wanapata...
Anonymous
Thread
biashara
faragha
makampuni
matangazo
mikopo
namba
simu
wapi
Unaweza kuingia sehemu za kupumzikia wageni mathalani hotelini, guest house au lodge usikute box au pakiti ya kondomu mezani, hata sabuni siku hizi mpaka uombe kwa muhudumu tofauti na kipindi cha nyuma vyote unavikuta chumbani.
Na wakati huo mtu anaweza kuwa na mchepuko mmoja tu Lakini anatumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.