Habarini,
Kwakweli sasa imekuwa kero kwa jumbe za matangazo,promotion,taarifa,nk kutoka serikalini, makampuni, taasisi, wafanyabiashara,nk yaani kwa siku mmiliki wa simu/line anapokea zaidi ya jumbe 20.
Kulingana na sheria ya mitandao huu ni usumbufu na kuingilia uhuru wa mteja kwani makampuni...