Habari!
Nauza ubao wa kidijitali au screen ya matangazo inch 49, android OS, wa kusimamisha unacheza files zote kuanzia videos, GIFs, pictures etc.
Unafaa kwa matumizi ya dukani, supermaket, hotel, hospitali n.k.
Matumizi yake: unatengeneza maudhui mfano video fupi, au GIF zenye kutoa...