matapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Ni sahihi kuwaita TFF matapeli na walaghai

    Ikiwa wanaruhusu kughairishwa kwa match na kuchukua pesa za viingilio kwa wale waliokata ticket na kutoweka njia yeyote ya kufidia, basi ni sahihi kuwaita matapeli tu. Na kudhihirisha ulaghai wao, walitoa tangazo kabisa la kuhakikishia watu uwepo wa match na kuwa waendelee kukata ticket...
  2. K

    KUWA makini na Hawa matapeli wameishaumiza watu

    Kuna matapeli Wengi Sasa hivi Mfano. 1. LBL 2. TERRAOIL Wote lao ni moja
  3. HAKI Sawa 50/50 ililetwa baada ya Wanaume wengi kuwa Wakatili na matapeli. Watibeli tunaunga Mkono

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kama wanaume wangekuwa waadilifu, wenye Haki, upendo, Akili na kupenda UKWELI. Ni wazi Wala tusingekuwa na vuguvugu na harakati za kumkomboa Mwanamke, sijui Haki za Wanawake. Kusingekuwa na mambo ya women empowerment. Lakini baada ya wanaume wengi na Wala...
  4. Tasisi za dini za kiisalamu bado zimelala hapa tanzania zikizungukwa na matapeli wakichangisha au kujipigia miradi.

    Nipo mkoa X nilishangaa kuona mkoa ambao unaweza kuchukua kufikia masaa 14 kufikia kuwa wanaitaji uwezeshwaji wa nyumba ya ibada. Hivi hii tabia ilianza pole pole sana ila imekuwa kama muendelezo.
  5. Pre GE2025 Ushauri kwa Mkurugenzi Mkuu wa TISS Kuhusu Kero Sugu ya Uhalifu wa Kiuchaguzi Unaofanywa na Wanasiasa Matapeli Wakati wa Chaguzi tangu 2010 hadi 2024

    I. USULI Usanifu wa hoja makini hufanyika kwa ajili ya kufanikisha angalau lengo mojawapo kati ya malengo manne yafuatayo: kutafuta jawabu la swali linaloleta mahangaiko kwenye akili za watu (inquiry), kufanya ushawishi ili watu baki wakubali hitimisho lako la kiutafiti (convincing)...
  6. Nini chanzo cha raia wengi wa Nigeria kuwa matapeli wa kimataifa waliokubuhu duniani?

    Raia wengi wa Nigeria wamekuwa wakihusishwa na utapeli kila kona ya dunia kuanzia nchi za Africa, Uarabuni, Ulaya hadi Marekani. Kwa nini Nigeria imekuwa ikizalisha matapeli wengi hivi wa kimata8fa tofauti na nchi nyingine za Africa?! Utapeli ni kama kipaji huko Nigeria?!
  7. K

    Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

    Basi mimi nimeamua nibadilike tu hii Roho ya kuwa mwema kwa kila mahusiano niachane nayo Unaingia kwa mahusiano unampenda mtu kumbe yeye ana kutamani wala hana upendo na wewe Imagine unakuta kwenye simu ya mpenzi wako amekusave Annastazia Dodoma Na wewe umemsave majina mazuri Mimi huwa sina...
  8. TCRA matapeli wa tuma kwa namba hii dawa yao ni moja tu Ban NIDA iliyosajili hizo namba, pamoja na ku Ban namba zote zilizosajiliwa na hiyo NIDA

    TCRA matapeli wa tuma kwa namba hii dawa yao ni moja Ban NIDA iliyosajili hizo namba, pamoja na ku Ban namba zote zilizosajiliwa na hiyo NIDA TCRA chukueni ushauri wangu mtateketeza matapeli wote ndani ya miezi mitatu Swala la utapeli wa meseji za tuma kwenye namba hii ni kama limewazidi akili...
  9. Jihadharini na matapeli wanaotoa Internet Kitonga

    Habari zenu jamani! Mimi kuna rafiki yangu kanipigia leo akilia sana kwa sababu katapeliwa na hii account inaitwa @unlimited_bundlez instagram. Namba yake ya simu ni 0698128458. Mkiiona hio account na namba nawaombeni msijaribu kufanya mawasiliano na hio namba. Ili kujihadhari na watu kama hawa...
  10. Leo matapeli wa soka wanachuana

  11. R

    Wakristo tuache upumbavu wa kuuziwa maneno na wahubiri matapeli

    Kwa jina la Yesu × 100. Kwa damu ya Yesu× 100, Nakataa, navunja kila aina ya uonevu. × 100 raparakashaaaaaa, horooooshiba sakorabokoo shakantilal nakataa kuonewa rapa shakaraaaaraaata. kwa damu ya mwana kondoo nakataaa. Eperiiya shakatabaka, iperrerebiya , kwa jina la Yesu🙂🙂 Jina la Yesu...
  12. Hii kampuni nikweli au matapeli?

    Nimefika nyumbani muda huu namkuta dogo yupo busy kwenye simu yake anatrade kwenye hii kampuni ya mtandaoni Anadai nimsaidie ku withdraw na Mimi nikamwambia awatafute customer care wamsaidie lakini baada ya kuwatafuta wapo wanamzungusha tu Badae nimemwambia aachane nao Sasa najiuliza hii...
  13. S

    Oa au Olewa na MCHA MUNGU na siyo MCHA DINI. Epuka matapeli

    MCHA MUNGU na MCHA DINI NI watu wawili tofauti. MCHA MUNGU anaishi kwa kumtii Mungu moyoni mwake tena kwa hiyari bila shurti lakini MCHA DINI anaishi kwa kuwatii viongozi wa dini yake zikiwemo sheria walizozitunga kwa ajili yake! MCHA MUNGU anatambua fika kwamba kila alitendalo liwe la Siri au...
  14. Gautam Adani na kashfa ya rushwa Marekani: Je, ni nini hatma ya TANESCO na PPP ya David Kafulila, tenda apewe au atoswe?

    === Billionaire wa Kihindi na tajiri namba mbili barani Asia Mr Gautam Adani anayetajwa pia kuwa ni miongoni mwamatajiri kumi ( 10 ) duniani anakabiliwa na tuhuma za kuahidi kutoa rushwa ya kiasi cha US$ 250M zaidi ya TZS 650bn ili apate kazi na Mikopo toka kwa mabanki na Wawekezaji...
  15. Kuna tofauti gani kati ya waganga wa kienyeji na matapeli wa kidini waliotapakaa nchini na Afrika

    Waganga wa kienyeji hutumia miiko kuwaibia wateja wao. Kwa upande wa Pwani waganga wengi wa kienyeji ni mashehe au maustaadhi. Wachunaji au wachungaji matapeli hutumia miujiza. Vyote viwili havina mashiko kiuhalisia na kisayansi. Wote wanatafuta kupiga fedha. Wote ni wababaishaji. Je, hawa...
  16. Kwa Tanganyika kuweni makini Matapeli wa kisiasa na matapeli wa madhabahu wameungana

    Watanganyika amkeni, hao wanasiasa na matapeli wa kidini kama shoo na wenzake wanagawana maokoto. Bado na ninyi mnawaamini na kuwapa sadaka na michango kujaza matumbo yao.
  17. Yawezekana hizi Tozo Umiza za Kuwaona hawa Manabii Matapeli waliopo Tanzania ndizo zinawafanya Watu waendelee kwenda na kuwaamini Waganga wa Kienyeji

    Haiingii Akilini unaenda kupata Tiba ya Kiroho kwa Mtumishi wa Mungu halafu Yeye badala ya Kukuonea Huruma kama alivyokuwa Yesu Kristo anaanza Kukuambia kuwa ili Akuombee na Upone tatizo lako ulilonalo Kwanza utoe Shilingi Laki Tano au Milioni Mbili. Kwanini GENTAMYCINE nisiendelee kwenda kwa...
  18. M

    TCRA ishirikiane na Shirika la Mawasiliano la Kenya kuwasaka matapeli hawa wa mitandaoni

    Ni wito kwa TCRA ishirikiane na Shirika la Mawasiliano la Kenya kuwasaka matapeli hawa wa mitandaoni. Huu utapeli wa mtandaoni umevuka mpaka kutoka kuwa wa Kitaifa sasa ni utapeli kimataifa. Namba za simu zifuatavyo ni baadhi ya zinazotumiwa na matapeli, +254794812691 (Alex Kairi), +254102269805...
  19. R

    Makanisa ya kiroho yaanze mfumo wa kuhakiki sadaka na matumizi yake kudhibiti wahubiri matapeli

    Najua wako wahubiri watapinga pendekezo langu lakini nipo tayari kuwajibu. Imani ya kikristo imegeuka kuwa genge la wezi. Kila kukicha anaibuka mtume au nabii na aya zake za biblia ( mostly taken out of context or not existing!) kuhamasisha kumtolea Mungu ( of course ni kumtolea huyu mhubiri!)...
  20. Wanaouliza eti Benja mbona hafi kishujaa kama wengine. Kwanza: Ushahidi huu hapa alipokuwa jeshini. Pili: Mnaoita mashujaa ni magaidi na matapeli

    SOURCE BBC: Benjamin Netanyahu, Israel's defiant leader "Katika umri wa miaka 18, alirudi Israeli, ambapo alitumia miaka mitano mashuhuri katika jeshi, akihudumu kama nahodha katika kitengo cha makomandoo wasomi, Sayeret Matkal. Alijeruhiwa katika uvamizi wa ndege ya Ubelgiji iliyotekwa nyara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…