matapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Money Penny

    Kwanini wanaume waliotalaka wake zao, hutumia watoto wao kutongoza wanawake wapya? Je wanakuwa wanapenda au ni matapeli tu?

    Dada: money penny nisaidie Money penny: ndio boss Dada: nimekutana na kaka mmoja, juzi ijumaa, tukaanza kuchat akasema anatafuta mke wa kuoa Money penny: ndio boss Dada: tumeongea kwa simu for hours siku ya kwanza, jioni yake akampa simu mwanae anisalimie tukaongea na mwanae muda wa dk 15...
  2. Forgotten

    Vodacom wanaanza kuwa matapeli!!!

    Haiwezekani nalipia kifurushi cha unlimited halafu mtandao wao siku nzima napata nusu ya Mbps nilizolipia. Yaani, katika masaa 24 hayazidi 7 ndiyo masaa pekee ninayopata kasi kamili niliyolipia, kwenye download & upload. Wana-JF mnaotumia huduma hii ya Vodacom: Je, mnapata changamoto hii pia?
  3. KikulachoChako

    Ndugu zangu wenye mioyo ya kutoa kuweni makini na wanaoonekana ombaomba mitaani, wengi wao matapeli na vibaka

    Hii haina haja ya kusalimiana, Jana nikiwa kwenye harakati zangu za kutafuta mkate wangu wa kila siku kama ilivyo Ada kwa watu tuliombiwa tutakula kwa jasho. Niliibahatika kuingia kwenye jengo moja mitaa ya Masaki. Wakati natoka kwenye hilo jengo nje nikakutana na kundi watu wanaoonekana ni...
  4. Ngengemkenilomolomo

    Polisi mbona mnatoa maswali magumu sana mnapokuwa active suala linalohusu CHADEMA

    Wakuu, Najiuliza mbona polisi wapo active sana linapokuja suala la CHADEMA au suala linalohusu CHADEMA, ila kuhusu utekaji unaoendelea na watu kupotea na mbaya zaidi kuchafuliwa jina lao na taasisi kwa ujumla maana watekaji wanajitambulisha kama polisi hapo wameweka flight mode kabsa. Kwamba...
  5. Kikwava

    CHADEMA: Hamtafanikiwa kwa MAANDAMANO zaidi zaidi mnaonekana matapeli tu wakisiasa

    Husika na mada tajwa hapo juu; Chadema Ni chama kinachofanya siasa mfano wa kamali. Niwaase CHADEMA hii nchi yetu si PAHALA pa kufanya VURUGU. Tunajua viongozi wa chadema familia zao zote zipo ughaibun, tunaomba Msiwaponze watoto wa wenzenu wakaumizana kwenye maandamano. Ndugu Watanzania...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Nimeongea na matapeli kadhaa politely majibu waliyonipa nimehitimisha kuwa kadri elimu inavyokua upumbavu nao unakua kwa kasi

    Mitandao yote ya kijamii matapeli wamejaa ila Facebook kwasababu ina watumiaji wengi kuliko mitandao mingine huko ndiko kuna matapeli concord. Shemeji yangu mhitimu wa chuo cha kilimo kaliwa na mjemba mmoja aliyejifanya mwajiri. Kampanga wakutane Iringa amwajiri akamzungusha kuwa yuko mbali...
  7. Pdidy

    Siku ya matapeli duniani ni lini??

    Nasikia tu kupinga rushwa. Mara siku ya kusukari duniani mara TB. Anayejua siku ya matapeli duniani ni lini tuanze kampeni kupinga matapeli ....
  8. Eli Cohen

    Leo ndio siku ya matapeli wa soccer kujibu tuhuma 115

    Leo ni mwanzo wa hearing ya man shitty kutokana tuhuma zao za kitapeli tapeli katika soka. Unaweza kununua makombe lakini hauwezi kununua historia na class. Ndio maana nabaki kusema man utd, liverpool na Arsenal ndio sura ya Epl.
  9. D

    Simba Sports Club inaongoza kuwa na makocha matapeli

    I will be short list yangu ya matapeli since 2014 - 1. Vítor Salvador (Jul 2014 - Jun 2015) 2. Goran Kopunovic (Jan 2015 - Jun 2015) 3. Dylan Kerr (Jul 2015 - Jun 2016) 4. Pierre Lechantre (Nov 2017 - Jun 2018) 5. Patrick Aussems (Jul 2018 - Nov 2019) 6. Sven Vandenbroeck (Dec...
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Serikali isiishie kwa Kiboko ya Wachawi, kuna matapeli wengi sana kwenye uwanja wa dini Tanzania

    Zipo ishara nyingi za kumjua mtumishi tapeli. Leo nitaitoa ishara moja tu. 1.Kupenda pesa kuliko Mungu anayemhubiri. Mtumishi tapeli ni mtu anayepanda sana pesa kuliko kitu chochote. Utajuaje kuwa mtumishi huyu anapenda sana pesa? Jibu: Accounts zote za benki zinasoma jina lake, accounts za...
  11. kante mp2025

    Baadhi ya Motivational Speakers ni matapeli

    Mwanzo nilikuwa muumini mkubwa wa hawa wa kuitwa motivational speakers ilikuwa haipiti siku sijasikiliza mausia yao kuhusu maisha hasa hasa mbinu za kupata utajiri na kufikia malengo maishani. Sikuishia kuwasikiliza tu nilienda mbali zaidi na kuyaishi maneno yao maana hawa jamaa wana principle...
  12. GENTAMYCINE

    Vipi tayari Mzee Magoma ameshapewa Yanga SC yake au bado Wezi na Matapeli wanaing'ang'ania tu?

    Sakata la Juma Ally Magoma na Klabu ya Yanga linaendelea, ambapo leo saa 9 ( tarehe 7 August, 2024 ) Alasiri, hukumu ya kesi ya mapitio ya Bodi ya wadhamini wa Yanga dhidi ya Juma Ally Magoma na Geofrey Mwaipopo itatolewa katika Mahakama ya kisutu jijini Dar es Salaam. Mwanamichezo wetu...
  13. A

    KERO Matapeli wa Dar es salaam wachukuliwe hatua

    Habari wanajamvi, Kwa muda sasa Kuna mambo ya kitapeli hufanyika waziwazi bila matapeli hao kuchukuliwa hatua Kwenye Kona mbalimbali ya jiji hili hususan karibu na maeneo ya stand kuu, Kuna watu huwa wanaofanya utapeli wa kitapeli watu Kwa kutumia michezo ya bahati nasibu kama kinga For...
  14. muafi

    Je, ABC bank wanatoa mikopo Kausha damu? Nimestaajabu sana

    Nimewasiliana na wakala wa Bank ABC juu ya mkopo Tazameni wenyewe, naomba ABC bank mtolee ufafanuzi huu ni mkopo au kausha damu? Hivi mtu ukope milionin14 urushe 39 huu si wizi kabisa? Ndugu watumishi wa umma pamoja na walimu epukeni mikopo Najuta sitarudia tena!
  15. GENTAMYCINE

    Serikali kama hii Taarifa ya Kufungiwa kwa Tapeli Kiboko ya Wachawi ni kweli kwanini na Matapeli wengine Wakomavu wa Kawe na Kimara Temboni wameachwa?

    Acheni Double Standards tena nadhani huyu wa Buza ( Kiboko ya Wachawi ) hana Madhara sana japo ni Tapeli kama hawa Wawili wa Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni. Halafu Serikali mkiona tu jambo fulani GENTAMYCINE nalijadili au nalizungumza mno hapa JamiiForums kwa 100% jueni si zuri na...
  16. W

    Fixed matches zipo ila huwa ni siri ya circle ya watu wachche huzikuti kiholela, tuache kudanganyana kuna fixed matches za elfu na laki, ni utapeli,

    kubeti kumeingiliwa na matapeli wengi sana wanaojinadi kutoa fixed match Fixed matches ni mechi ambayo imepangwa timu flani ipate matokeo flani, njia rahisi huwa ni kufungwa au kutoa sare. mfano Simba anajifungisha kwa Mtibwa, wachezaji kadhaa na watu ndani ya timu na wachache sana wa nje...
  17. Uhuru24

    Mtandao wa airtel ndio unaongoza kwa kutumiwa na matapeli wa mtandaoni

    Pasipo kupepesa macho, airtel ni moja ya mtandao ambao matapeli kila itwayo leo huutumia kutuma sms za kila aina, mpaka muda huu sijajua tatizo ni nini?? Natumia mtandao wa tigo pia, kwakweli nisiwe mnafiki nakaa mpaka miezi 6 yaan huwezi kuona sms yeyote ya kitapeli, sijui tuma kule, mimi...
  18. Nyanda Banka

    Aiseee!!!! Dar kuna matapeli

    Siku moja nipo kwenye mizunguko yangu ya hapa na pale maeneo ya Ubungo nikakutana na jamaa mmoja baada ya kuzungumza nae kwa muda akaniambia nimelogwa na kuanza kuniambia mambo ya nyumbani kwetu, akaniambia kama huamini tafuna hili karatasi nikatafuna nikatema nywele Daah si nikaanza kumuamini...
  19. nyamadoke75

    Mfanyabiashara alizwa na matapeli wa mtandaoni Zanzibar

    https://youtu.be/lzqi1c0ZS1M?si=FK6R2UCMqI0h-oSz Mfanya biashara maarufu nchini amelilia waziri Mwinyi kushughulika na genge la matapeli wa mtandaoni wanao tapeli watanzania wa bara na visiwani ambapo hivi karibu aliagiza baiskeli ya mtoto kwa kutoa shilingi laki nne na tisini lakini hajapata...
  20. Allen Kilewella

    Pre GE2025 Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

    Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA. Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti...
Back
Top Bottom