Facebook ya miaka ya 2015 rudi nyuma ilikua tofauti sana na ya sasa. Kwa sasa watumiaji wengi wa facebook ni
1. Matapeli wa mtandao (crypto & investments)
2. Waganga wa kienyeji wapo wengi lakini (west Afrika sana)
3. Wadangaji fake (Wabongo sana)
4. Watu wenye uelewa mdogo (hasa Wabongo)
Sioni...
Kwako OCD NYAMAGANA,
C.C. RPC MWANZA;
Bila kupoteza muda napenda nieleze juu ya uovu unaofanyika hapa eneo la SAHARA, mkabala na Posta Pamba Road.
Katika eneo hili kuna pilika nyingi za kibiashara, ambapo watu wengi kutoka sehemu mbalimbali hufika hapa ili kujipatia mahitaji yao mbalimbali...
Wadau leo nimezidiwa ujanja nimebaki nacheka kweli mjini shule nimemkuta mtu ana maembe dodo mazuri Mbagala stand nikayapenda, nikauliza bei akasema ni sh. 800 na yapo 4 Mimi nilitaka mawili tu.
Nikampa 10,000 akawa chenji hana ikabidi aniache na maembe yale manne na kiroba chake anaenda...
Nimepokea ujumbe unaonitahadharisha kufungwa kwa line yangu.
Na nikatumiwa namba ili nitume vitambulisho vyangu, jamani kuweni makini.
Details zako ndizo zitatumika kama njia ya kukutapeli.
Cha kuzingatia chunguza logo ya masage kutoka airtel, huwa inaanzia herufi kubwa na kufuatilia na...
Wakuu,
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:
Mnapoamua kufanya biashara yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF.
Tunafahamu kuna ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.