matapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Matapeli wanavyotumia jina la Rais Samia, Ikulu kufanya utapeli wa kupiga hela

    Hivi ndivyo, matapeli wanavyotumia jina la Ikulu pamoja na Rais Samia Suluhu kufanya utapeli wa kupiga hela kwa watu mbalimbali. Watangazaji wa East Africa Radio wamesimulia moja ya tukio lililotokea. Source: East Africa Radio
  2. P

    Hawa wanatutumia sms tujikinge na matapeli mbona wao pia ni kama matapeli?

    Nimelipia malipo ya zuku kupitia airtel money 79,000/= na service charge wamechukua, malipo hayakufika palipokusudiwa, huduma ya zuku nimezimiwa, nimewasiliana na mhudumu wa airtel amenijibu short cut kuwa hela yapo iko hewani subiri masaa 36,sasa nakaaje muda wote huo bila huduma? Na je hela...
  3. libeva

    Kwanini matapeli wengi wanatumia line za TTCL?

    Wale matapeli wengi siku za hivi karibuni wanatumia sana line za TTCL kuhadaa wananchi kama kujiunga na Freemason au ile fedha tuma kwenye namba hii. Kama ujumbe hapa chini unavyo jieleza. 666)POLE NA KAZI JIUNGE NA MTANDAO MKUBWA WA FREE~MASON UMILIKI UTAJILI WA PESA NYUMBA MAGALI...
  4. LegalGentleman

    Benki zingatieni ili kutuepusha na matapeli

    Tunaziomba Benki kuweka utaratibu uliokuwa bora na sahihi kwenye ATM asa kwa watu ambao watasaidia kuwaelekeza watu ambao hawana uelewa mpana wa matumizi ya ATM. Nayasema haya kwa maana juzi juzi tu hapa kuna mzee aliingia ATM kutoa ela ila baada ya kuchelewa kutoka kuna kijana alijitokeza...
  5. P

    Kwani zuku nao matapeli?

    Hawa jamaa naona wameanza na wao kuzingua sasa. Ninazo akaunti mbili na wao zilikua zinaenda vizuri tu, Ila tangu juzi nimelipia huduma na bado sijafungiwa walisema ndani ya saa 24. Ila leo ni 96 hours, Nikiwapigia simu wanasema fundi tayari ana vifaa vyako atafika sasa hivi sasa sijui kapotea...
  6. Alex Fredrick

    Tujihadhari na aina hii ya 'Matapeli'

    Tahadhari tumepewa [emoji116] Habari zenu mabibi na mabwana. Polen na majukumu. Napenda niwashirikishe jambo lililonikuta ili kukuokoa Wewe au mwingine. Kuna wizi wa ajabu wa aina fulani ya madawa ya kupoteza ufahamu. Jana nikiwa natoka kazini Muda wa jioni nikapita Mlimani City. Baada ya...
  7. F35-Bomber

    Je Kampuni ya Kash Poa ni matapeli?

    Hivi hii kampuni ya KASH KOPA inakuaje unapata usajili kabisa wa namba ya lipa kwa simu alafu wanafanya uhuni. Yaani kampuni imesajiliwa na Ina namba ya simu ya lipa kwa simu halafu unafanya utapeli wa elfu mbilimbili unalipa halafu wanaadanganya wananchi kuwa wanatoa mikopo lakini Kila ukilipa...
  8. Mateso chakubanga

    TCRA fuatilieni matapeli wa mtandao wanaojiita" Digital Master"

    Kumeibuka kikundi cha watu wanaojiita Digital Master kikiongozwa na mtu anaejiita Saidi Mbondela jijini Daresalaam ambao kazi yao ni kutangaza wana uwezo wa kutengeneza programme katika simu kwaajili ya kufuatilia message, na simu za watu,aidha mtu huyo mwenye namba 0757039596 anakuhitaji...
  9. D

    Kwanini Matapeli Wanatumia TTCL zaidi kwenye mawasiliano?

    Inawezekana usajili wa wateja TTCL una tatizo na imesababisha matapeli wengi kukimbilia huko. Msg za simu au upigaji simu wa kitapeli ambao ulishaachwa au umepungua sana kutumiwa kwenye mitandao mingine, kwa TTCL ndio kwanza imeshamiri. Kuna kitu hakijakaa sawa.
  10. LegalGentleman

    Kwa kinachoendelea TFF kesho wanaweza kukosa mapato

    Unaikumbuka tarehe 25.6.2021 Kilichotokea katika sekta ya michezo Tanzania?! Hahaha acha nicheke kwanza na nishushie maji ya AFYA kidogo uku nikisubiri spare zangu nilizoagizwa pale kariakoo mtaa wa Lumumba kwa bwana GSM nikiendelea kusubiri MO TAMBI anazoandaa shemeji yenu. Anyways Mechi ya...
  11. K

    Kwanini TCRA wanawaachia hawa matapeli wanatumia majina ya watu vibaya?

    Nimepokea huu ujumbe kwa mtu anaejifanya mganga anajifanya eti kakosea number na mimi mambo hayo sio muumini wake kabisa.
  12. Elias K

    Je, dairy queen/ Canada jobs ni kweli au matapeli?

    Kuna tangazo la ajira nimeliona Facebook, wanadai ni wakala wa kuwapeleka vijana Canada na Dubai kufanya kazi. Na kwa maelezo zaidi wamedema tutembelee www.immigroup.com. Sasa Wakuu Kuna anayewafahamu vizuri hawa watu? Naambatanisha na tangazo lao hapa chini.
  13. U

    Rais Samia Akutana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Blair

    Mazungumzo ya Viongozi hao yamefanyika leo September 29,2021 Ikulu ya Chamwino Dodoma
  14. zink

    Hawa Voda ni matapeli au?

    Habari wakuu wa JF Katika harakati za kujiunga nikawa napitia menu yao ya vifurushi, na kulingana na vocha nilionunua ya elfu moja a.k.a buku, nikawa nimependa kifurushi ambacho kwa elfu moja kulingana na menu yao ya vifurushi napewa MB 550, dakika 60 na sms 30. Baada ya kujiunga kifurushi...
  15. nyboma

    Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar

    Nimekaa nikajiuliza sana kwanini watumishi wengi wa idara nyeti (wengi mtakuwa mmenisoma na maanisha nini), watu hawa ukiangalia kazi wanayofanya na maisha yao mtaani ni vitu viwili tofouti kabisa maana vijana hawa wamejawa na tamaa hadi kufikia kutapeli watu hovyo mtaani kwa kigezo cha kufanya...
  16. FRANCIS DA DON

    Je, hawa wanaouza akaunti za instagram ni matapeli? Kuna mtu ameshawahi kununua? Tunaomba uzoefu juu ya hili

    Kuna sehemu nimekuta mtu anauza akaunti ya instagram yenye followers 151K kwa shillingi 85,000/=, hii mbona haiingii akilini kabisa, ni kweli au ni utapeli akaunti kubwa hivyo ikauzwa kwa bei ya kutupa kabisa
  17. Mtini

    Watendaji wa TCRA na makampuni ya simu yanashirikiana na matapeli kutuibia wananchi?

    TCRA walituambia baada ya usajiri wa alama za vidole utapeli wa tuma fedha kwenye namba hii utaisha kwani watu hao itakuwa rahisi kuwatambua. Kitu za kushangaza hili suala bado linaendelea, TCRA na makampuni ya simu yanashindwa nini kuzifunga hizi line ikiwa ni pamoja na kuwakamata hawa jamaa...
  18. Hismastersvoice

    TCRA imewashindwa matapeli wa mitandao imewageukia raia wema!

    Tarehe 06/11/2019 nilisajiri laini yangu ya AIRTEL na kupewa namba ya usajiri, tarehe 19/07/2021 laini yangu ya AIRTEL ikafungwa kwa madai ya kutosajiriwa! Nikalazimika kwenda kwenye ofisi za AIRTEL na nilichoambiwa huko ni maluweluwe eti siku mbili zilizopita nilisajiri laini kwa alama za...
  19. Tomaa Mireni

    ZINDUKA: Hatua za kuchukua Wakala na mteja ili kukabiliana na Utapeli mpya

    Ni siku nyingine tena nakuja kivingine, Natumai mko powa wasomaji. Leo nataka kuwapa mbinu za kukabiliana na matapeli sababu hawaishi na kila siku wana mbinu mpya. Kwa sasa mawakala ndio wanaongoza kwa kutapeliwa kupitia wateja wao kivipi? Twende pamoja kwenye makala hii. Kwanza kabisa kuna...
  20. Miss Natafuta

    Mbinu za matapeli update 2021

    Kwa wamiliki wa saluni, Unapigiwa simu kuna deal la kusuka watoto yatima wa kituo cha Mama Mkapa kila Jmosi toa hela upewe tender. Mama ntilie na wapika chips. Kuna tender ya chips kuku na mayai kila week mara tatu kwa watoto yatima 100. Toa hela upate kazi. NB: Wanangu tu hawali chips kuku...
Back
Top Bottom