matapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Narumu kwetu

    Kuwa makini na hizi kampuni zifuatazo za kubeti maana ni matapeli

    Kuna makampuni matatu ambayo kiukweli usijaribu kuweka dau refu au usiwategemee sana pindi unapobashiri michezo mbalilili. 1.Gal spot Betting; hawa jamaa siku wakiliwa sana wanazima mtandao,au wakiona kuna mechi zimekaa mkao wanahofu watapigwa lazma wazime mtandao.Ukiweka dau kubwa kuanzia...
  2. zink

    Hawa AIRTEL ni matapeli kabisa hasa kwenye kifurushi chao cha MB 850 cha shilingi 1500

    Habari wakuu wa jf, Huwezi amini nimejiunga kifurushi cha MB 850 kwa elfu 1500 hata nusu saa haijapita naambiwa umetumia asilimia 75% ya kifurushi chako. Kama hali ndio hii basi tumekwisha na sikuwahi kuzani kama airtel nao ni matapeli tu ila fine waache wachukue hivo vi MB vyao PUMBAFU SANA...
  3. The unpaid Seller

    Vikoba vimewafanya wanawake wengi kua wadangaji, wahuni na matapeli.

    Peace be upon you all, Nadhani lengo la vikoba (sijui kama napatia spelling) ilikua kuwasaidia wanawake kiuchumi ila sote tunachoshuhudia ni tofauti kabisa. Vikoba vimekua kitanzi cha miiba mwitu kwa wanawake. Jambo moja lililonikutanisha na marafiki wa kike wengi kabisa wa zamani ni...
  4. westandtogether

    Microfinance matapeli

    Habari wanajf? Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, Kuna kikampuni fulan jina ***** microfinance kinajihusisha na kutoa mikopo midogo mtaani Tena kwa dhamana ya vitu vya ndani kama vifaa vya electronics simu, Tv, Pc nk. Hivi karibuni nilienda kuazima pesa kama laki 2 wakasema wanatoa riba ya...
  5. S

    SoC02 Ukosefu wa ajira unavyotoa fursa kwa wapigaji (matapeli)

    UKOSEFU WA AJIRA UNAVYOTOA FURSA KWA WAPIGAJI (MATAPELI) Kila mwaka vijana maelfu kwa maelfu wanahitimu vyuo vya kati pamaoja na vile vya elimu ya juu. Kundi hili ni wale wahitimu wa fani mbalimbali kama vile mafundi, walimu, madaktari, wahasibu, mahakimu, nakadharika. Wahitimu hawa, wanahitimu...
  6. Mshana Jr

    Makinikeni na hawa matapeli

    BEI 420,000/= TUNAJUA MAFUTA YAMEPANDA BEI PIGA CHINI GHARAMA HIZO TUKUPATIE BASKELI YA KISASA YA UMEME YENYE BATTERY [emoji367] YENYE NGUVU KUBWA ZAIDI , UTAWEZA KUTEMBELEA HADI KILOMETER 120-150 BILA KUSUMBUKA / UNAWEZA KUTUMIA MIFUMO YOTE KWA KUKANYAGA PEDAL AU KUENDESHA KWA UMEME TUPIGIE...
  7. Abu Haarith

    Je, Seebait ni matapeli au wamefilisika!?

    katika pitapita na mahangaiko kutoka maeneo tofauti tofauti huko mitandandaoni nimepokea malalamiko kadhaa kutoka kw wasomaji wetu kuhusu seebait je ni matapeli au wamefilisika, naam ili inatubidi tuliangalie kwa undani kidogo kama tulivyoandika makala ya kuhusu kujiunga na kampuni ya matangazo...
  8. Abu Haarith

    Je' Seebait ni matapeli au wamefilisika!?

    katika pitapita na mahangaiko kutoka maeneo tofauti tofauti huko mitandandaoni nimepokea malalamiko kadhaa kutoka kw wasomaji wetu kuhusu seebait je ni matapeli au wamefilisika, naam ili inatubidi tuliangalie kwa undani kidogo kama tulivyoandika makala ya kuhusu kujiunga na kampuni ya matangazo...
  9. Kinengunengu

    TCRA tusaidieni na haya matusi tunayotukanwa na matapeli

    Leo nimepigiwa simu na namba 0653608556 akijifanya Mfanyakazi wa Tigo pesa na akasema akaunti yangu ya tigo pesa imefungiwa. Jamaa akaanza nisomesha na akauliza simu yako ni smartphone au kiswaswadu. Nikasema kiswaswadu, akaniambia nibonyeze namba *37# sikubonyeza na yeye akajua kwamba...
  10. luangalila

    Nimepigiwa simu na matapeli leo

    Matapeli ya mtandao wamerejea. Mapuuzi yamekutana na mtu mwerevu. Basi naomba ni share namba zao na ujumbe wao incase wakikutafuteni nanyi msiwape nafasi.
  11. GENTAMYCINE

    Tulishawaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hawa 'QNET' ni 'Matapeli' hamkusikia sasa ngojeni 'Wawanyoosheni' ili mkome

    WAATHIRIKA WA AJIRA ZA QNET WAANZA KUREJESHWA MAKWAO: Waathirika wa utapeli unaofanywa kupitia Kampuni ya Biashara ya Mtandao Q Net katika eneo la Mbezi Dar es Salaam wameanza kurejeshwa makwao kupitia operesheni maalumu inayofanywa na ofisi za wenyeviti a serikali za mitaa ikihusisha kuondolewa...
  12. J

    Matapeli Kazini - Barter

    Ni mara ya pili natumiwa ujumbe huu: - Hello, you have been selected for a part-time / full-time job. Daily salary of 50000+ to accept work: t.me/martina669 Mara ya kwanza nilipuuzia ujumbe huu ambao ulitumwa kwenye simu yangu kwa kuwa nina hakika ni wa kitapeli. Nifahamuvyo hukuna kazi...
  13. Binadamu Mtakatifu

    Mbona matapeli na waganga wa jadi wamejaa Voda?

    Mimi ni mtumiaji mzuri wa airtel ila baada ya kupoteza simu nikaibuka na voda wapo vizuri ila shidaaa ni hii message za matapeli haziishi yani hujakaa vizuri mara mganga wa nguvu za kiume na utajiri. Wanadili gani hawa maana si kwa tigo na mtandao mingine ni kubaatisha ila voda message hizi...
  14. The Sheriff

    KERO TCRA, hawa matapeli wa “TUMA KWA NAMBA HII” tutaishi nao milele?

    Ni kipindi kirefu sasa kumekuwepo aina hii ya utapeli tulioubatiza jina la “TUMA KWA NAMBA HII”. Wapo waliofanikiwa kukwepa na wapo waliolizwa, na bado kuna wahanga watarajiwa. Haya yanatokea hata baada ya zoezi la usajili wa laini za simu ambao uliaminisha wengi ungekuwa suluhu ya jambo hili...
  15. hamis77

    Hawa matapeli wanaojifanya wanachezesha bahati nasibu mtaani wamerudi kwa kasi

    Kuna hawa MATAPELI kipindi Cha JPM walikimbia mji kabisa, walibanwa kende wakapotea Hawa MATAPELI wanapewa vibali kabisa kutoka Serikalini vya kujifanya wanachezesha bahati nasibu Hawa MATAPELI walijaa sana Dar, miaka ya 2005-2016, alipoingia JPM walipotezwa kimya kimya wakaacha kabisa...
  16. and 300

    Ajira za Sensa: Matapeli kazini

    Hizi Ajira za Sensa ambazo sifa Ni nyepesi Sana. Hivyo waombaji watakua wengi itakayopelekea kuongeza ushindani. Tutarajie matapeli kuiltambaa na beat ili kuwapiga hao "makarani tarajali" 1. Tapeli anatumia Gmail. 2. Mchango @35,000 (malazi na chakula). 3. Picha je?
  17. M

    Wananchi walishawapuuza. Mnatwanga maji kwenye kinu kufanya usanii wa kiaiasa. Ninyi ni matapeli wa kisiasa mlishashutukiwa

    Mbowe ni kibaraka wa CCM na watu walishampuuza kabisa. Wananchi sasa wapo serious kupambana na maisha magumu hivyo hawataki usanii wa kipuuzi juu ya hatima maisha yao. Kujifanya wajanja ili muchezee akili za wananchi wao walishashutuka ipo siku mtapigwa mawe hadharani. Huu sio wakati wa Mbowe...
  18. Mwamuzi wa Tanzania

    Upendo uliotukuka wa wanaume juu ya watoto, mke wazazi na ndugu zao ndio huwafanya wawe wezi, mafisadi, matapeli na hata majambazi

    Habari! Lengo la Uzi huu si kuhamasisha matendo maovu ya kijambazi, wizi, uporaji, utapeli au ufisadi. Lengo langu ni kuonyesha sababu kuu kwanini matendo haya maovu hufanywa hasa na wanaume zaidi kuliko wanawake. Ni upendo tu uliotukuka kwa ndugu zao na familia zao ndiyo hupelekea wanaume...
  19. Nafaka

    Matapeli wa kimapenzi mtandaoni kutoka west Afrika

    Kuna kipindi kiko NatGeo channel 181 DSTV na pia Azam wanayo siko surr ni channel namba ngapi. Hiki kipindi ni mwanadada anakuwa anafuatilia biashara flani haramu to the source anazungumza na clients na wauzaji au wale victims, na watendaji wa uharamia. Ashahoji wauzaji madawa wa mexico, wezi...
  20. Pensador

    Hoja kuhusu matapeli wa mtandaoni ambao wakishagundulika hutoa matusi makali

    Habari wanajamvi, Mnamo majira ya saa tatu asubuhi ya leo nimepokea simu namba ngeni ya mtu ambaye alijitambulisha kama mhudumu wa wateja kutoka Vodacom. Basi nikamsikilizaa na alikua akiuliza kama kuna muamala umeingia kimakosa katika simu yangu, kwa haraka haraka nikashtuka na kumwambia kama...
Back
Top Bottom