Haiwezekani nalipia kifurushi cha unlimited halafu mtandao wao siku nzima napata nusu ya Mbps nilizolipia. Yaani, katika masaa 24 hayazidi 7 ndiyo masaa pekee ninayopata kasi kamili niliyolipia, kwenye download & upload.
Wana-JF mnaotumia huduma hii ya Vodacom: Je, mnapata changamoto hii pia?