matatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    SI KWELI Sekretarieti ya ajira wametoa taarifa kwamba walimu walio kosa maksi tano kufikia ufaulu kupangiwa vituo vya kazi kwa utaratibu maalumu

  2. GENTAMYCINE

    Wakatoliki wenzangu hivi ni kwanini Mapapa wengi huwa tunawachagua wakiwa ni Wazee na huja Kugundulika na matatizo ya Kiafya baadae

    Hakuna uwezekano wa kufanyika Mabadiliko wawe Wanachaguliwa Vijana au Wazee wa Makamu kuwa Mapapa? Na huko Vatican wakati wanachagua hawa Mapapa huwa wanakuwa Makini sana pia kuangalia na Hali zao za Kiafya kwani Wakatoliki (GENTAMYCINE nikiwemo) tumechoka na Vifo vyao vitokanavyo hasa na Afya...
  3. R

    Uliwahi kuunguziwa kitu gani na matatizo ya umeme ya Tanesco (Kata washa, Umeme kufifia, n.k)

    Tv imepiga shoti, Radio imeungua, Simu imeasti, n.k. Kata washa - unaweza kuhisi kuna mtoto kaachwa anachezea swichi, umeme unarudi na kuwaka mara kwa mara Umeme kufifia - umeme unakuwa mdogo na hufanya vifaa visipate umeme wa kutosha,mfano taa zinafifia
  4. Stuxnet

    Pamoja na utajiri wake; matatizo ya Elon Musk na familia yake ni makubwa kuliko maskini

    Kweli kuwa Bilionea siyo mwisho wa matatizo. Angalia mahusiano mabaya ya Elon Musk dhidi ya wanafamilia wake:- 1. Wake wa Zamani Elon Musk amewahi kuoa mara mbili kwa wanawake wawili tofauti: Justine Musk (2000–2008): Justine alikuwa mke wa kwanza wa Musk, na walizaa watoto watano pamoja...
  5. Rorscharch

    Kataa ndoa ni zao la mfumuko wa gharama za maisha na wahanga ya wanawake wasiojielewa

    Si mara kwa mara huwa napitia Jamii Forums, lakini mara nilipokuja kuvutiwa na mijadala kwenye jukwaa hili, nilikutana na kundi la vijana wanaojiita “Kataa Ndoa.” Vijana hawa wanazua mjadala mkubwa, na maoni juu yao yanatofautiana sana – kuna wale wanaowaona kama wanaokwepa majukumu, wengine...
  6. S

    Pre GE2025 Wasira aionya CCM kutosikiliza matatizo ya wananchi "Hata muimbe vipi kama hamsikilizi matatizo ya watu haitasaidia"

    MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Stephen Masato Wasira amewaonya viongozi wa Chama cha Mapinduzi kuwa kama matatizo yanayowakabili wananchi hayazungumzwi na kutafutiwa ufumbuzi wananchi wakatosa imani na CCM kuendelea kuwaongoza. Mzee Wassira ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na...
  7. The Watchman

    Dereva bodaboda auawa akidaiwa kuiba mayai matatu

    Dereva bodaboda anayefahamika kwa jina la Dickson Chacha(24), aliyekuwa mkazi wa Mtaa wa Machimbo kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam, amefariki dunia kwa kupigwa akidaiwa kuiba mayai matatu kwenye moja ya nyumba inayofuga kuku wa mayai kwenye mtaa huo. Mama wa kijana huyo ameomba vyombo vya...
  8. THE FIRST BORN

    We shabiki wa Simba unaemtukana Chasambi unakumbuka issue ya Gerrad 2014?

    Wanajukwaa la Sport habar, Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika? Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious? Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
  9. THE FIRST BORN

    We shabiki wa Simba unaemtukana Chasambi unakumbuka issue ya Gerrad 2014?

    Wanajukwaa la Sport habar, Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika? Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious? Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
  10. Manyanza

    Sababu zenye kufanya mwenza wako anakutafuta akiwa na matatizo tu kisha anakuacha ghafla baada ya kumsaidia

    SABABU ZENYE KUFANYA MWENZA WAKO ANAKUTAFUTA AKIWA NA MATATIZO TU KISHA ANAKUACHA GHAFLA BAADA YA KUMSAIDIA Kwanini unapata mwenza ambaye anakukumbuka akiwa na matatizo tu yaani labda anahitaji msaada wa kifedha,anahitaji faraja baada ya kupitia huzuni, majonzi, upweke uliopitiliza ni kwamba...
  11. A

    Mkuu wa Ujasusi wa Rwanda, Lt. Gen Kayumba Nyanwasa, asema Kagame ni chanzo cha matatizo yote Congo na maziwa makuu

    Aliyewahi kuwa mkuu wa ujasusi Rwanda na Balozi wa Rwanda nchini India, Lt. Gen Kayumba Nyamwasa anasema matatizo yote yanayotokea mashariki ya Congo yanasababishwa na kagame. Anasema Congo hamna tena tatizo la Banyamulenge ,lilishakwisha zamani na wana haki sawa na wanahudumu hata sasa katika...
  12. D

    Chanzo cha shida na matatizo mengi ya sasa yamesababishwa na huruma zetu wanaume kutaka sifa kwa wanawake walioshindikana

    Zamani mwanamke aliyeachika au kutalikiana na mmewe alikuwa hatakiwi kabisa kupewa nafasi yoyote ya uongozi katika jamii. Jamii ilifanya hivyo ili kupeleka meseji kwa wengine kuepuka kuishi maisha ya kisingle maza pasipo sababu ya msingi. Wanaume ambao hawakutimiza majukumu yao ya kulisha...
  13. amshapopo

    Pata matatizo ujue marafiki wa kweli

    Wiki mbili zilizopita nimepata msiba wa kuondokewa na mzazi wangu wa kiume yaani Baba. Kupitia issue hii nimejifunza mambo Mengi sana. : Rafiki wa kweli siye unayeishi naye sasa. : Sio kila unayemtehemea atakusaidia ( wengi wanajali issue za kuuingiza pesa sio utu) : Uliye mdharau anaweza kuwa...
  14. N

    Wanaume mnajua mna matatizo

    Ati mwanaume anakwambia honey sasa ivi mimi najitafuta kwa mda wa miaka mitatu naomba unisubirie! Hapo tayari ana kazi ambayo inamueka mjini alaf anakwambia bado anajitafuta umsubirie! You don't even put a ring on it alaf unataka mwanamke akusubiri? Akija mwanaume mwingine amkatae kisa...
  15. Mama Mwana

    Channel Ten plus mna matatizo gani?

    Hello guys!! Yani naomba niweke wazi mimi sichukii dini ya mwengine lakini kwa hili la channel ten plus you guys sjui mlifikiria nini. Kunaye huyo mchungaji ni anaoga tope anagara gara, anaoga vumbi, anaoga maji ya kwenye pipa na suti yake, mnaomiliki hii channel mlifikiria kama kuna sisi...
  16. K

    Mkombozi kwa wenye matatizo ya shimo la choo kuja baada ya muda mfupi.

    Mashine unayoiona hapo itakupa suluhisho lakudumu nautasahau kabisa kuhusu tatizo hilo. Kwa maelezo njoo inbox. 0743815045
  17. Melancholic

    Matatizo ya miguu

    Wakuu habari Kuna binti wa miaka 23 anasumbuliwa na tatzo la magoti kuvimba na visigino vya chini je hili linaweza kuwa tatzo gani?? Na achukue hatua gani kukabiliana na hili tatzo
  18. M

    Mimi mtu akinifanyia ubaya lazima apate matatizo makubwa ikiwemo kifo na magonjwa je hii imekaaje ?

    Wakuu Mimi sio mtu wa dini Sana wala ndumba. Mimi huwa naabudu mizimu na Mungu. Ila kitu ambacho huwa sikielewi Mimi mtu akinitapeli , kuniibia basi lazima apate matatizo ikiwemo kifo. Hivyo watu wamekuwa wakiniogopa Sana.
  19. Tlaatlaah

    Kwanini wanaume wenye matatizo ya nguvu za kijinsia huwa wakali mno na wakati mwingine wanakua wanyonge na wenye mfadhaiko sana?

    Kwa mfano pakiwekwa mada au pakianzishwa mjadala unaohusu matatizo ya nguvu za kijinsia, udhaifu katika tendo la ndoa, matatizo ya afya ya uzazi, magonjwa ya zinaa, athari za punyeto na mambo mengine yanayofanana na haya, Mtu huyo anakua mkali sana au anajifanya mtakatifu mno na kwamba...
Back
Top Bottom