matatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Msaada kuhusu kipimo hiki cha matatizo yote ya mwilini

    Wanajf ninaomba anayekifahamu kipimo hiki anieleweshe!Ni kipimo nimeambiwa unalipia sh.30000,wewe ni kukaa na kusubiria majibu ndani ya dakika chache!Utaambiwa shida zako zote!Kwa kuwa ni suala la kiafya ninaomba wataalamu njooni mnielimishe kwani kama mnavyojua sasa hivi "afya" imegeuzwa ni...
  2. Papaa Mobimba

    Pre GE2025 Diwani Arusha: Mbunge Mrisho Gambo ni matatizo tunayotembea nayo, hafai

    Diwani wa kata ya Themi Labora Mkoani Arusha kwa tiketi ya CCM Ampiga Spana Mbunge Mrisho Gambo, amuomba msamaha Rc Paul Makonda
  3. Chanazi

    Pre GE2025 Matatizo ya Morogoro Mjini hayataisha kama Mbunge ni Abood na Madiwani hawa wa kila kitu NDIO

    Kwa utafiti hafifu Mji wa Morogoro una shindwa kupiga hatua kwasababu za KIUONGOZI WA JIMBO! Matatizo makubwa ya Mii huu haya semewi na kusimamiwa ipasavyo na Mbunge na Madiwani sababu hawana Uchungu na wanaoneana Aibu kuambiana Ukweli! Ukimsema kwa nia ya Kumkosoa Mbunge kwa wema kabisa...
  4. Mr-Njombe

    Kuna walioanza mwaka 2025 kwa kupata magonjwa baada ya kufanya mapenzi kizembe

    Poleni sana, ni muhimu kujifunza kujali afya kwanza kabala ya starehe. Tazama sasa maumivu unayopitia, gharama na muda unaotumia kujitibu kwasababu tu ya starehe ya muda mfupi. Jifunze kutumia kinga na kuepuka kufanya ngono zembe kiholela. Baki njia kuu. Kunywa pombe kupita kiasi ni hatatari...
  5. mjasiriamali mdogo

    Mjadala: Matatizo ya Makocha WA mpira wa miguu Tanzania

    Wanamichezo naomba tujadili Kwa kina Matatizo ya Makocha wetu WA mpira miguu hapa nchini. Kwanini Makocha wetu hawaendi kufundisha nje ya Tanzania. Wana udhaifu gani na ni changamoto zipi wanazokumbuna ambazo huwafanya washindwe kutekeleza majukumu yao Kwa ufasaha.
  6. chiembe

    Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

    Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la...
  7. Poppy Hatonn

    Kwa wale ambao ndoa zao zina matatizo yupo Mchungaji Daniel Mgogo.

    Huyu Mchungaji kwa kweli ndiye atayeweza kuleta amani katika familia zote kwa ajili amelivalia njuga swala la ndoa. Lakini siku za karibuni amekuwa na hasira sana na wote wanaoyakosoa mahubiri yake. Huyu Mchungaji anamtishia maisha ya Wachungaji wengine na anaondoa Umoja wa Kanisa. Sasa hivi...
  8. The patriot man

    Inawezekana punyeto (kujichua) ndiyo imenithiri au mimi nina matatizo?

    Wakuu kwema aisee nina tatizo tatizo kubwa mimi nimeanza punyeto 2014 nilifundishwa na ndugu yangu aisee kuanzia pale nikawa nafurahia huu mchezo mpaka leo Sasa kuna tatizo limenikuta aisee nikifanyq mapenzi huwa natumia mda mrefu saana na sikojoi kabisa yaani mpaka mpenzi wangu anachoka ila...
  9. Ben Zen Tarot

    Jifunze kukaa kimya hakuna matatizo ya kudumu

    Pablo Escobar aliwahi kushauri kwamba, si vyema sana kuwaambia watu matatizo yako. Alipoulizwa kwanini alisema ivi, "Asilimia 80 ya watu unaowaambia matatizo yako, hawajali na wala hawazingatii, asilimia 20 iliyobaki wanashukuru au wanafurahia wewe kuwa na hayo matatizo uliyonayo". Rafiki yangu...
  10. G

    Kutahiriwa ukubwani ni matatizo tupu

    Asubuhi inauma, Usiku inauma Ukipata ashki inauma. Ushauri fanya tohara ukiwa bado mdogo.
  11. Nikola24

    Baadhi ya wanyama kukasirika na kupigana wanapojiona wenyewe kwenye kioo. Je, ni kutojitambua au matatizo ya akili?

    Habari zenu wana jamifourm! Leo nimeona niwaulize kuhusu hili. Nimeshuhudia baadhi ya wanyama kama Kuku ,mbwa nk, wakipigana na twasira yao wenyewe kwenye kioo. Je, ni kwa sababu gani Hawajitambui au wana matatizo ya akili?
  12. G

    Watanzania wenye depression hawawezi kushirikisha watu wengine kwa sababu matatizo yao hufika mpaka vijiweni, hakuna usiri !!

    Baada ya mlolongo wa vifo vya Depression ikiwemo cha jana usiku mwanafunzi kujirusha ghorofani niseme tu kwamba watu wanapitia mengi sana, huwa inashauriwa kufunguka matatizo yako kwa watu wa karibu kundoa machungu lakini kwa hapa bongo hali watu wengi huyatunza rohoni. Shida ni kwamba watu...
  13. A

    DOKEZO Chuo cha SAUT-Mwanza hakitatui matatizo ya wanafunzi kwa wakati

    Nina kero ya kutotatuliwa changamoto ya kimatokeo zaidi ya mwaka mzima, kutoka katika chuo Kikukuu cha mtakatifu Augustino Mwanza, amabapo kero hii imekuwa ikawakumbuka wanafunzi wengi hususani katika somo la kifaransa ambalo lilikuwa somo la lazima na baadae kulifanya somo la hiari kwa baadhi...
  14. K

    Ni jambo gani unalotakiwa kulifanya pindi unapopitia wakati mgumu sana. Fedha na matatizo ya mara kwa mara kama vile kuuguza kwa muda mrefu

    Duniani Kuna Changamoto sana, kuna wakati unapitia Changamoto kubwa unatamani hata Kuitelekeza Familia. Kuna wakati nilikuwa Nikiona watu hasa wanaume wametelekeza familia nilikuwa sielewi kabisa ila Ukubwa Huu una mafundisho mengi sana. Nimekaa nimewaza sana, nimepitia Changamoto nyingi sana...
  15. Kipangaspecial

    Familia zetu za Kiafrika zina matatizo gani, kwanini zina ubinafsi sana?

    Familia zetu, kila mmoja anatakiwa aanzie mwanzo. Yaani hakuna mwendelezo wa maisha ya uchumi na biashara. Eti wanakwambia kila mmoja ajipambanie... Kama kuna mali wazee waliacha basi watu watataka ziuzwe kila mtu afe na chake, ili wajukuu nao wakianza maisha waanze kuteseka upyaaaa😃😃😃 ukoo...
  16. Yoda

    Kwanini Ujerumani iko underrated (inachukuliwa poa) sana kwa matatizo iliyosababishia dunia?

    Watu wengi huwa wanawalaumu Wayahudi na kuwazushia conspiracies nyingi sana kwamba wamesababisha matatizo makubwa kwa dunia, mimi nafikiri hii ni tabia ya ukasuku wa watu kukariri tu mambo yanayosemwa bila kuyatafakari. Kama kuna taifa ambalo limechangia madhila makubwa duniani ni Ujerumani...
  17. Waufukweni

    LGE2024 Freddie: CCM haiwezi tena kutatua matatizo ya wananchi

    CHADEMA Jimbo la Same Mashariki wakiongozwa na Freddie wameendelea na kampeni za kuwanadi wagombea wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji huku wakizidi kuwasisitiza wananchi kuwa CCM haiwezi tena kutatua matatizo ya wananchi badala yake wachaguwe viongozi wa kutoka CHADEMA Pia wamesisitiza...
  18. dem boy

    Israeli-Gaza war: Zaidi ya wanajeshi 6 wa Israeli wajiua huku maelfu wakumbwa na matatizo ya afya ya akili

    Katika hali ya kushangaza,jamaa wakiwa full-combated huku wakiwa wamejibebesha kila aina ya vifaa vya kisasa juu ya miili yao kuwasaidia kwenye battle ground dhidi ya Hamas,hapo ni baada ya jets na tanks za kisasa kusasfisha njia ili kuweka mteremko zaidi lakini mambo yamekuwa si mambo kwa...
  19. L

    LGE2024 Tundu Lissu nakushauri wewe ndio ukamzuie Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na sio kuwatafutia matatizo wananchi

    Unawatangazia wananchi kuwa wakimuona Mkuu wa Mkoa wamzuie, ebo.Mkuu wa Mkoa ambaye ametajwa kikatiba, ametajwa kwenye sheria ya Tawala za Mikoa Na.19 ya mwaka 1997, ametajwa kwenye kanuni za kudumu za utumishi wa umma, mwenyekiti wa kamati ya usalama mkoa, wananchi wazingire gari lake...
  20. Magical power

    Kukimbia matatizo yako ndio hukuongezea matatizo zaidi😢

    KUKIMBIA MATATIZO YAKO NDIO HUKUONGEZEA MATATIZO ZAIDI😢 Huyo mwanaume katika picha aliamua kujiua kwa lengo la kukwepa madeni anayodaiwa, pindi alipoamua kujirusha kutoka jengo refu la ghorofa mwisho wa siku akafikia katika hiyo gari aina ya BMW ya mtu na kunusurika kifo, hivyo kuongeza deni...
Back
Top Bottom