Vilio vya wananchi vimekuwa vingi sana mpaka wabunge wa CCM naona kama pale dodoma ni kujaza vyoo vya dodoma.
wananchi ndio viongozi wao ila leo mpaka mawaziri wakiongea kwa kejeli kuwa wanajitka,hakuna kosa kwenye serikali kukosea,TRA siyo tatizo.
ili litafikia mwisho kwa nchi zilizochoka...
Naunga mkono Simba kumsajili mshambuliaji wa Burundi Elvis Kamsoba, amemzidi vitu vingi sana yule striker wa USMA Alger Leonel Ateba Mbida.
Kamsoba ana nguvu, namfananisha na marehemu Damian Kimti, mshambuliaji ambaye alileta changamoto kubwa enzi zile hasa kuhusu uraia wake hadi akafanikiwa...
Ni kweli kabisa tunakumbana na matatizo makubwa sana ambayo kwa namna moja ama nyingine likikufika unaweza ukaona kuwa sasa umekwisha.
Yani unaona kabisa hapa sitoboi hata iweje.
Ngoja nikuambie kitu.
Tatizo linapotokea wakati huo huwa linakuwa la moto sana kulingana na tatizo lenyewe.
Sasa...
Kwa muda mrefu sasa huyu mwanamuziki kila nikikutana na nyimbo yake analalamikia mapenzi tu, sana hasa yanayohusu upande mmoja tu wa mke au mwanamke.
Sina uhakika kuna nyimbo nyingine alizoimba ambazo sio ulalamishi wa kupigwa na mwanamke katika mapenzi na mimi ndiye sijakutana nazo ila huyu...
🔹Kuwa kijana huja na Matukio ya kusisimua ambayo yana Changamoto maradufu.
🔹Akili ya kijana hukua Kulingana na namna anavyoshughulikia maisha yake ya kila siku.
🔹 Tafiti Zinaeleza kuwa 75% ya Matatizo ya akili huanzia katika umri wa ujana. Kijana mmoja Kati ya vijana watano huripoti kuwa na...
Upuuzi na ujinga ni chanzo cha matatizo
Habari wakuu,
Tuende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi kwamba ujinga ni chanzo cha matatizo. Watu wengi katika jamii zetu tumekua ni watu wa kupuuzia mambo madogo madogo ambayo mwishowe yanakuja kutugharimu katika maisha yetu binafsi pia familia na...
Habari wakuu,
Tuende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi kwamba ujinga ni chanzo cha matatizo. Watu wengi katika jamii zetu tumekua ni watu wa kupuuzia mambo madogo madogo ambayo mwishowe yanakuja kutugharimu katika maisha yetu binafsi pia familia na jamii kwa ujumla na wengi wetu tukafanya...
Matatizo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu,,kwa maana kwamba kama kusingekuwa na matatizo basi huyu mwanadamu asingekuwa na umuhimu wowote hapa duniani
Kwahiyo shida na matatizo ndio yanatufanya tutafakari kwa kina,tuwaze na kuwazua na mwisho wa siku tunapata ufumbuzi
Kuna njia nne kuu za...
Eng. Japhet Matarra ni kada kindakindaki wa CHADEMA ambaye kwa sasa yuko gerezani Karanga Moshi kwa zaidi ya mwaka mmoja baada ya kuhukumiwa kwa kufanya makosa ya mtandaoni. Ilikuwa aende jela au alipe faini ya Tsh 7m ila kwa bahati mbaya huyu kijana hakuwa na hizo pesa ikambidi aende jela...
Wakenya walianza kulalamika mda sana kuhusu Zakayo kusafiri sana kutafuta mikopo lakini maisha yao bado ni magumu.
Vijana wako mtaani mambo yao ni magumu ajira hamna, mazingira ya biashara ni magumu, hawasikilizwi, wakilalamika viongozi wanajifanya viziwi.
Viongozi kutwa kucha kupitisha...
USIFANYE WATOTO WAKO WACHUKIE WAJOMBA NA BABA ZAO WADOGO KWA MATATIZO YAKO 😊
1.Ukishindwa kuwasomesha wakulaumiwa ni wewe sio wajomba.
2 Wakikuta milo yako ni ya kubahatisha wa kulaumiwa ni wewe kwa 100%
3 Wakikuta una chumba kimoja mnabanana humo wa kulaumiwa ni wewe na sio mjomba...
Ukihitaji salamu kutoka kwangu nenda kwanza kwa CAG ukasome ripoti ya Mwaka uliyopita,Tofauti na hapo utaambulia chuya!
Huwa nashangazwa sana na namna ambavyo Familia nyingi zimekuwa zikihaha,kukabana na kushikana mashati wakati wa Msiba eti kisa tu ipatikane pesa ambayo inatakiwa iende kwenye...
Binadamu hukumbana na matatizo mengi kila siku, lakini hapa kuna baadhi ya matatizo matatu ambayo mara nyingi hutokea:
1. Msongo wa mawazo (Stress): Binadamu mara nyingi hukumbana na hali ya msongo wa mawazo kutokana na sababu mbalimbali kama vile shinikizo la kazi, mahusiano, maswala ya...
Wiki hii nimekua nafatilia sana pages za madalali wa magari, Kuna gari ya ofisi nataka kununua kutokana na bajeti nimeamua nianze na used kwanza, sasa hao madalali yaani ni vichekesho tu
"Gari ya muhindi, dukani na nyumbani tu"
"Gari ya mdada"
"Gari ya baba mchugaji hii"
"Gari ya mrembo wa...
Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa.
Niliona namnyima uhuru wa maisha yake ya kimapenzi maana chuoni ndiko wengi tuli experience mapenzi kwa uhuru, nikamruhusu aende kupanga awe na gheto lake, uzuri ni...
Binafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini. Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya!
Huyu mwanamke anaijua nyumba yangu hapa Dar es salaam pamoja na mali kadhaa zinazoonekana hapa nyumbani zikiwemo gari...
Kero ni ile hali ya maudhi madogo madogo na mara nyingi kwa mtu binafsi au kikundi kidogo tu cha watu. Mfano wa kero inaweza kuwa jirani yako anayefungulia mziki mkubwa unaoleta usambufu kwa majirani wengine, mlevi anayetukana hovyo mtaani, kuachwa na mume bila kupewa mali stahiki, mwenyekiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.