Nilitamani sana nione miujiza ya Mafuta ya upako na udongo wa upako miujiza ya uokoaji na uponyaji pale Kkoo. Kadhalika na wale masharifu feki na wazee wanaodai wanamvuta mpenzi alioko mbali wakawavute na ndugu zetu kutoka katika janga lililowakuta.
Tangu uhuru, Tanzania imekua na Viongozi wengi ambao si wajenzi wa taifa, ni wasuluhishaji wa MATATIZO ma mambo kisiasa na kuacha mianya kesho mwingine aje ale.
Barabara zinajengwa hazimalizi hata decades zinabomolewa, masoko, airport mbali mbali, mahospital, mifumo ya maji na umeme, maswala ya...
Wakati mwingine usiogope kuwa peke yako katika baadhi ya mambo,kwani inakufanya uwe na nguvu na kufahamu uwezo wako
Kadri unavyojifahamu wewe binafsi ndio utagundua hauhitaji mchango wa watu wengine
Tunapata hofu pale tunapokaa tu lakini tunaishinda hofu kwa vitendo
Simama na pambana na hofu...
Hii ni picha iliyobeba maana kubwa kwenye jinsia zetu na matatizo mengi yaliyokosa maelewano.
Mwanaume hajui kuwa chini kuna nyoka. Na mwanamke haelewi kuwa juu kuna jiwe kubwa limemkandamiza Mwanaume wake.
Mwanamke anafikiri, naenda kuanguka na siwezi kupanda, kwasababu nyoka atanin'gata...
habari wadau.
natamani sana watoto wetu wa kizazi cha sasa wafundishwe huu ukweli mapema.. wasije kuwa kama sisi baba zao na babu zao.
mfano ghorofa limedondoka watu wamefukiwa.. watu wengi wanaamini sala na Mungu ndio atawanusuru. jiulize kama Mungu ana nia njema nao mbona Mungu hajazuia...
Unadhani ni nani kati ya viongozi waandamizi wa Chadema ndiyo hasa chimbuko la ombwe la uongozi lililopo na matatizo mengine makubwa ya kinidhamu na ubinafsi, yanaoonekana bayana kabisa hivi sasa na yanayochochea migawanyiko na kutoheshimiana miongoni mwao?
Je, ujuaji mwingi, ujeuri na ubinafsi...
Trump amesema anafikiria wagombea wote wa urais wanapaswa kupewa mtihani wa uelewa, huku akisisitiza kwamba yuko sawa kiafya ya akili na muafaka kuingia madarakani.
Akimzungumzia Kamala Harris huko Pennsylvania, alisema: "Sina tatizo la uelewa – lakini yeye anaweza kuwa na tatizo hilo."
Trump...
Naandika kwa masikitiko makubwa Leo nimelipia kingamuzi changu cha 28,000 kwa ajili ya Derby na kibanda umiza changu cha kuunga unga ila ghafla wamekata umeme.
Na Leo ndio ilikuwa siku ya kutusua mana watu walijaa si haba
Wameondoka wote na kwenda kwenye banda lense jeneeta.
Imeniuma sana...
Asee Wana JF hali gani huko? kazi iendelee na pia people's powers,
Tuingie kwenye mada!
Unajipambania zako na kuweka malengo Kila siku, Kila mwezi, Aidha miezi, mwaka au miaka kwamba utakua unatunza kiasi kadhaa aidha bank, aidha kwenye lani n. K na unajicommit Ata kujiapiza kabsa sometimes...
Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake.
Mojawapo ya tukio la ajabu ni...
I wll be short
1. KALIA NDO ANA SUPPORT KUPANGA MATOKEO, HOW? officials wa mechi zote wanapangwa na genge lake. KUPANGA BAADHI ya mechi. nani ashinde nani asishinde. every thing is planned.
ie : yanga watapewa Azam fc wakitaka tu kwenda nusu fainali. au robo fainali. kama last season. kama...
Wale vijana wa kataa ndoa wana haki ya kusema ndoa sio lazima kwa sababu hata Biblia Takatifu inasema kama hujaoa ama kuolewa ama mjane, basi usijaribu kabisa kuingia kwenye ndoa.
Wakorintho 1, Sura ya 7: 8-9 Mtume Paulo anasema ndoa iwe ni last option baada ya kua umeshindwa kabisa na huna...
Wanawake wengi hupata kichefuchefu na kutapika katika trimesta ya kwanza (miezi 3) ya ujauzito ambayo mara nyingi huitwa kigegezi cha asubuhi.
Hutokea sana asubuhi mwanamke anapotoka kitandani.
Utoaji mate kupindukia ni tatizo lisilotokea sana bali linalokera mno na linalohusiana na hali...
Hii nchi ya Lebanon kila siku naisikia iko vitani na Waisraeli au migogoro ya siasa za ndani kwa ndani kati yao wenyewe ila nimeshangaa masoko yao yana tiles!
Sisi tunashindwaje kuweka hata zege tu bila tiles kwa soko muhimu kama la Mabibo??
Masoko yote yalitakiwa yawekwe pavement blocks.
Kila ninapokuwa nikiingia hapa Jukwaani ni lazima nitakutana na Uzi wa huyu jamaa Anayejiita Chief Godlove
Nimekuwa nikilazimika kufungua nyuzi zake kwasababu nimekuwa nikiona mada zake zimekaa Kishambenga hasa kushambulia wanaume ambao yeye Kwa tafsiri yake amekuwa akiwaita "MASIKINI"
Huyu...
Kwa nini mtu anaweka sukari kwenye maharage, tambi na chapati?
Sijawahi kuweza kuelewa watu wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula huwa na matatizo gani.
Ndugu zangu Watanzania,
Mimi Lucas Mwashambwa nikiri kwa moyo wa dhati kabisa pasipo unafiki wa aina yoyote ile ya kuwa ni mtu ambaye hufurahia mafanikio ya mtu,kupanda kwa mtu kiuchumi,kupata mafanikio katika maeneo mbalimbali.mimi nikiona mtu wa karibu yangu au niliyekuwa namfahamu au kusoma...
Salaamu wanajamvi,
Imekuwa ada kuanzisha hata kusajili vikundi vya kusaidiana mambo ya kijamii kama vile msiba na sherehe. Sio jambo baya kwa vile linakuza ushirikiano na ustawi wa jamii.
Ila huwa najiuliza kwanini huwa tunatumia nguvu kubwa mno kuanzisha vikundi vya kuzikana na shughuli za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.