Hwl
Watu wengi wamekuwa wakipata Matatizo ya tumbo kujaa gas baada ya kula maharage na kujamba Sana.
Fanya hivi hakikisha katika maharage yako unayaunga na kuweka Sukari kidogo, unaweka tangawizi na limao kwa kufanya hivyo utakula maharage bila kukuletea shida Asante.
Ulishawahi kujiwekea vigezo vya huyo "ke" unayeenda kuanzisha mahusiano naye? Jiulize na jiridhishe anafanyakazi au shughuri gani ili aweze kuishi! Wengi wao hawana kipato chochote zaidi ya kudanga au kufanya ufuska wa chinichini.
Hana kazi! Hana biashara! Wengine wanaishi na jamaa mbali kabisa...
Wachezaji hawana morali kabisa. Hii Ni kutokana na timu kutumia fadha nyingi Sana kukamilisha sajili za kimadili dili. Wakati Caf wakitoa billion 5 za usajili Simba. Viongozi walitumia pesa hizo zote kusajili wachezaji wazuri na kuweka timu kambi uturuki. Baada ya Mo kuona kilakitu kimeenda sawa...
Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza.
Huo ndio ukweli lazima tuuseme. Ukiingalia mataifa yote yanayotumia kiingereza kama official language yanatuzidi sana kwenye maendeleo na kutekeleza mambo muhimu.
Watu wao wako very seriously...
Ukihitaji salamu subiri kwanza nifulie,tofauti na hapo utaambulia Chuya!.
Kuna Majitu ndiyo yanayofanya ndoa zionekane hazina maana kwasababu hayataki kubadilika.
Ndoa ina raha na ndoa ni tamu mnoooooo hasa ukioa au kuolewa na mtu!.
Ndoa itakuwa chungu na yenye karaha hasa ukiolewa au kuoa...
Vijana wengi hasa wakiume wamekuwa wakilalamika hasa suala ya kumtongoza mwanamke na siku hiyohiyo kijana anaanza kuliliwa matatizo. Mimi mwenyewe nimekuwa ni muhanga, yaani ile tu kumuambia mwanamke unahitaji kuwa katika mahusiano basi kitakachofuata ni kuliliwa shida na matatizo.
Moja ya...
Habari zenu wana jamvi.
Kwa muda sasa nimekuwa nakumbana na huu ujumbe/haya maneno ninapopiga simu. NAMBAYAKO IMESITSHIWA HUDUMA KWA SASA. Lakini baada ya muda simu inaunganishwa na mawasiliano yanaendelea kama kawaida. Pia kuna watu wanaponipigia wananiambia kuwa wanapata huo ujumbe.
Je kuna...
Siku hizi kumekuwa na teuzi nyingi ambazo hazionyeshi, kuwa zimetokana na uwezo au weledi wa aliyeteuliwa. Chanzo kikuu kikiwa ni katiba inamruhusu mteuzi kufanya huo uteuzi, na matokeo yake tunaona kwamba mifumo ya utendaji na kauli za baadhi au wengi ya viongozi hao kuwa ni za magomvi na...
Magonjwa ya Zinaa ikiwemo kaswende yanachangia mtu kupata ugonjwa wa Afya ya akili ikiwemo Kupoteza Kumbukumbu, Msongo wa Mawazo na Mania.
UKIMWI pia unatajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa matatizo ya Afya ya Akili kwa Wagonjwa.
Ni kweli kabisa sisi TANZANIA ndo wa kuhangaika kutafuta kituo kipi chenye mafuta, hapa Tanzania, kweli kabisa Rais?
Umeme, vibarua wote wanaofanya kazi kwenye viwanda, wanalaza njaa watoto wao, gereji, salon, wanaishi kwa tabu sana kwa sasa
Mungu akupe moyo wa kutovumilia haya mateso ya...
Kama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei...
Hili zimwi alilokuwa analilea Putin na ambalo lilimsababisha aikimbie Ikulu kwa siku chache, linazidi kuwa kero, maana ni kundi la wapiganaji ambao kwa sasa wameingiwa na matatizo ya hela na kwa muktadha huo wanaweza wakawa hatari zaidi kwake na kwingine.
The Wagner Private Military Company...
Unakimbuka shule ya Shauritanga ilipoungua na kuua wasichana 50 +, Waziri Mkuu Malecela aliwaita Scotland Yard. Kwa sababu ya ukubwa wa tatizo.
Juba tofauti gani na sasa ambapo Waziri Biteko anashutumiwa katika kifo cha msaidizi wake?
Lazima Scotland Yard waletwe. Wakati ule aliketwa Collin...
"Nitajibu ni nini msingi wa mabadiliko ya mamlaka nchini Niger. Msingi(tatizo) ni uchumi. Population ya watu wa Niger imekuwa katika umaskini kwa muda mrefu.
Kwa mfano, kampuni ya Ufaransa iliyochimba uranium iliiuza sokoni kwa $218, huku ikilipa Niger $11 pekee . Unaweza kufanya kazi na...
Maji
Umeme
Shule, Madarasa, Madawati
Hospitali
Barabara
n.k.
Hivi ni vitu ambavyo hadi leo hii vijiji vingi sana bado wanakwama.
Ajabu ni kwamba uchagani hivi vitu tangu 70, 80's huko walishafika stage nzuri, shule zipo nyingi sana, madarasa yanakarabatiwa, wanafunzi hawakai chini wala...
1. Sasa ni wazi na hakuna ubishi tena, kuwa Mama Samia Suluhu Hassan zinakuja kelele kubwa sana kukuzomea kuwa, umeshindwa kuongoza nchi hii...!
2. Ni dhahiri shahiri kuwa, wewe Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT unawaogopa kuwawajibisha wateule wako wanaoshindwa kutenda wajibu wao na ambao...
Matatizo ya Kisaikolojia Yanavyodumaza Utendaji na Kuathiri Uwajibikaji na Utawala Bora
Utangulizi
Matatizo ya kisaikolojia ni changamoto ambazo zinaweza kuathiri utendaji na maamuzi ya watu katika maeneo mbalimbali ya maisha yao. Katika mazingira ya kazi na utawala, matatizo haya yanaweza...
Maskini ni kama mchawi tu maana hupenda sana habari mbaya.
Tena ukitaka afurahi zaidi asikie kuwa tajiri kafilisika, Boss kashushwa cheo. Hata wenyewe maskini hawapendani hasa pale maskini mmoja akionekana kupata chochote kitu.
Magufuli aliijua hii kanuni, akaanza kuwasumbua matajiri. Mioyo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.