Hili swala la DEE PEEE Weldi na Jamhuri limeleta fursa ya tafakuri jadidifu.
Iweje kila mkataba tunayoingia na makampuni makubwa haya, yote yana kipengele kinachosema kukiwa na mgogoro mahakama yatakayotumika ni ya kimataifa na sio ya Tanzania.
Tunakumbuka mhe Rais Mwenye alinukuliwa kusema...
Kwanza niipongeze serikali kwa kutoa vishikwambi kwa walimu, Kuna ufanisi na urahisi Fulani wa kazi umeongezeka katika shughuli za kujifunza na ufundishaji..
mpaka Sasa nimekutana na zaidi ya vishikwambi 10 vya walimu hususani "PRITOM 10 MAX"
Na nimeona matatizo karibu sawa kama ifuatavyo..
1...
Inaaminika kuwa mwanamke asiposhika ujauzito basi tatizo la ugmba analo yeye.
Lakini wataalamu wanasema wanaume wanaokabiliwa na matatizo ya kushindwa kutungisha mimba inaongezeka nchini, huku ikitajwa kuwa wagumu kukubali vipimo wakihofia aina ya upimaji na wenye mapokeo hasi ya majibu yao...
Baada ya kuiona habari hii nikaona acha nivae uhusika. Ya watuhumiwa wa ugaidi kuachiwa huru baada ya miaka tisa ( 2014-2023).
Katika hali ya kawaida tu mtu anapotoka kwenye matatizo basi roho yake na nafsi yake usawajika.
Tokea 2014- 2023 ni miaka 9 imekatika wale walioingia gerezani kwa...
Umesoma katika hizi shule za "saint Government" miaka yote na unaomba Mungu kwa lugha ya Kiingereza?? Ulianzaje na uliwezaje?
Nilisoma sehemu kwamba, ukiona Mswahili anaomba Mungu kwa lugha ya Kiingereza, basi jua mtu huyo ana SHIDA NDOGO au MATATIZO MACHACHE.
Kwa wanaojua namna Waswahili...
MUSOMA VIJIJINI WAENDELEA KUTATUA MATATIZO YANAYOWAKABILI WANAFUNZI WA SEKONDARI ZA KATA
* Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374
* Jimbo lina Sekondari za Kata 25 na 2 za Binafsi. Kwa sasa ujenzi wa sekondari mpya 4 unaendelea kwenye Vijiji vya Nyasaungu...
Mimi intelli Kama nijulikanavyo ni mzee wa kauli ya "I mean no malice to nobody" - ila nilijuta Baada ya kwenda kumtembelea Jamaa yangu wa mkoa fulani.
Aisee Kuna watu wanapenda Shari na ugomvi Kama vile ni chakula, nami nikaona SI mbaya nikishare nanyi niliyo yaona huko. Namnukuu
Kisa Cha...
Wilaya Uyui, ni wilaya pekee ambayo ni wilaya korofi sana na kuna upigaji wa aina nyingi, Kuna ujenzi wa halmashauri mpya ya Uyui kuna ufisadi mkubwa wa kutisha watu wamejilipa pesa za kufa mtu, majengo menyewe hajakamilika ila imebidi wafanyakazi wahamie kabla ujenzi haujakamilika kwa sababu...
Nimelazimika kuleta hii thread baada yakukutana na matatizo mawili yanayofanana ndani ya siku 5 katika magari mawili tofauti.
Tar 21 mwezi huu kuna jamaa alinicheck, nimeshamfanyia kazi kabla, ana toyota IST ina 1490Cc.
Alinicheck akaniambia gari yake akisimama kwenye foleni inamisi halafu...
Jana akiapisha Majaji aliowateua kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani, Rais Samia alisema "Kuna Tatizo Mahakama"
Jaji Prof Ibrahim Juma, kiukweli kazi ya u-CJ ni kubwa kuliko uwezo wake. Haya yalikuwa ndiyo mauteuzi ya Magufuli.
Huyu CJ ukimfuatilia siku zote ni mtu wa kulalamika kama mtuhumiwa...
Wakuu,
Moral philosophy ni tawi la falsafa linalohusu nadhalia za maadili (Ethics) na kanuni za maisha. Falsafa hii inamtaka mtu mtu kufanya maamuzi yake kwa kuangalia/kupima faida na hasara, uzuri na ubaya, Haki na dhuruma, na jinsi maamuzi yake yanaweza kuathiri wengine.
NB: mtu...
Na mimi nililelewa kwa staili hii lakini nilipokuja kuona tunaishi tofauti na jamii nilimkaidi mzee na ndio ponea yangu, (nilishaweka uzi huu).
Ipo hivi yani, Mzee ni mtu ambae alikuwa anatulea katika mtindo ambao ulitufanya tuwaone watu nje ya familia kama vile hawahitajiki.
Kufungiwa ndani...
Nimefuatilia kikao cha waziri mkuu leo na wafanyabishara kuhusu mgogoro wa kariakoo nimesikitika sana.
Licha ya kwenda na Mawaziri na Timu ya wataalamu wa Wizara mbalimbali ameshindwa kutatua matatizo ya wafanyabiashara wa Kariakoo.
Amepata fursa ya kuwasikiliza wafanyabiashara siku nzima ya...
Tatizo ni Bunge kutunga sheria mbovu za kodi.
Lkn lenyewe limekaa kimya kama halihusiki. Na wadau nao wamekaa kimya hata hawajadili.
Pale Naibu Speaker alipaswa kupopolewa mno lkn aaahhh wapi
Siamini sana katika siasa za nchi. Lakini, ikitokea naambiwa nimpigie Majaliwa kura awe kiongozi mkubwa, Yes nampigia.
Kuna namna kafanikiwa kunidanganya kwamba he is capable. Sasa sijui kaniingiza mkenge ama siku hizi nimekuwa mduanzi wanasiasa wana hack system yangu ya kuona reality in...
Nipeni mbinu ndugu yenu, maana kila nikijaribu kumkwepa kiaina beauty huyu inashindikana.
This girl she's very beautiful na pia ana sifa muhimu zote ambazo zinamfanya aonekane bora mbele ya bora wengine. Ndio maana mjeshi yupo tayari kumpa kila anachotaka ilimradi asimkose mrembo huyo.
Mimi...
Nina shida ya kiakili natumia dawa zinatwa resperidone.
Changamoto niliyonayo ni kuwa hata nifanye Nini nkipata kipato haichukui wiki laki Tano imeisha. Hata niweke mikakati ghani nitajikuta tu baada ya wiki nipo kwenye stress Sina pesa.
Nmefikia hatua Sasa hii hali imenichosha naomba...
Nimefuatilia kwa karibu wanasiasa wanaijitosa kugombea urais.
Wengi wamejikuta kuingia matatixo mazito ya kimaisha, hasa wanaotoka vyama vyenye ushawishi kama CCM na CHADEMA.
Na hata wakiupata, bado wanakuwa na maisga ya ndege, kurukia tawi hili na lile, kujinusuru kiusalama.
Heri upambe tu...
Habari zenu watanzania. Hivi karibuni nimeweza kugundua, baada ya kuchunguza kwa makini, kwamba kuna uwezekano mkubwa nina tatizo la kiakili(mental disorder). Kuna vitu nimekua nikivifanya, na kuna jinsi nimekua nikiishi na watu walionizunguka kwa miaka kadhaa sasa..... Hii imenipelekea kufanya...
Ni miaka inakaribia 20 toka Uwanja wa Taifa maarufu kama Benjamin Mkapa Stadium, au Kwa Mkapa au Lupaso uzinduliwe, tumeshuhudia mfululizo wa matatizo mengi hususan makubwa kama yafuatayo;
1. Kuvunjwa kwa viti vya kukalia kutoka kwenye majukwa ya moja ya timu kubwa
2. Kuvunjika kwa milango na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.