Akizungumza jioni hii kupitia kipindi cha BBC kinachotathimini mwekekeo wa mambo katika mwaka tuanaouanza, mchambuzi huyo amesema kwa upande wa Tanzania wapinzani wanatakiwa wajifungie na kujivua gamba.
Amesema vyama vya upinzani vinapaswa kujitazama upya namna vinavyofanya siasa na hali ya...
Jamii nyingi za Kiafrika zinasumbuliwa na tatizo ugonjwa wa akili kwasabab nyingi moja ikiwemo.
1. Ukosefu wa lishe bora: Ambapo watoto wanakosa lishe wakina ndani na nje baada ya kuzaliwa ambapo inapelekea kuwepo na changamoto nyingi zinazosababishwa na matatizo ya kukosekana kwa Afya ya Akili...
Siku hizi kila nikiwa nahitaji huduma za kibenki hasa nikiwa Kkoo au posta nikienda Tawi lolote la Crdb lazima nipate maudhi.
Hadi najiuliza ni Mimi Tu nnaeona kuna shida mahal? Asubuhi moja nimejikuta kwenye foleni ya ATM posta Azikiwe street, imagine foleni ya ATM.
Nahisi hii bank imeelemewa...
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu kujiua kwa namna tofautitofauti kutokana na changamoto za kimaisha, ndoa, kiuchumi nk.
Wengi tumekuwa tukisema "Ongeeni na watu" kuhusu matatizo ili pengine yatatuliwe, wanaamini kwamba wahanga hawawashirikishi watu wakati sivyo.
Watu wengi wanafanya maamuzi...
ITIHADA ZILIZOFANYIKA ZA KUKABILIANA NA HALIYA UPUNGUFU WA UMEME
Mnamo siku ya Jumatano, tarehe 23 Novemba 2022. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lilitoa taarifa ya hali ya upungufu wa umeme pamoja na kueleza jitihada za muda mfupi, wa kati na mrefu zilizopangwa kuchukuliwa iii kukabiliana...
Shirika la Ndege la Air Tanzania linatathmini hali ya Ndege zake ili kuziba pengo linalojitokeza katika kutoa huduma lililosababishwa na kusimamishwa kwa Ndege zake za Airbus A220 kutokana na matatizo ya injini.
Kwa mujibu wa taarifa, Ndege moja ya A220 ya ATCL iliruka mara ya mwisho Januari 3...
Waziri Mkuu Mstaafu mzee Sinde Warioba ameunga mkono hoja ya matatizo ya Wakulima na ameitaka Serikali isikwepe wajibu wake wa kuwatimizia matakwa yao na isipumbazwe na kundi la wapiga masifu ya hovyo.
Vilevile mzee Warioba ameitaka Serikali kushughulikia tatizo la Wafugaji na Machinga kwa...
Ewe bwana mdogo nape, nimeiona kauli Yako juu ya malalamiko ya watu juu ya uonyeshwaji wa kombe la dunia
Sasa wakati tunalalamika na vifurushi Kwa Zaidi ya mwaka mzima hujatoka hadharani kukemea.
Msitufanye kama watoto wadogo, kutupa makopo tuchezee huku mnapiga madili. Acheni kabisa hizo...
Nadhani kila moja anajua kama dunia sasa imekuwa kijiji kwa kuunganishwa na simu . yani mitandao ya kijamii (social media).
Na sijui niseme uzuri au ubaya wa mambo humu kwenye mitandao ya kijamii kumekuwa na makundi ya watu wa aina mbalimbali . na makundi hayo yanazalishwa na kutoka na ulewa...
Tuna changamoto lukuki kama taifa ambazo zinatakiwa kupatiwa suluhu na serikali kupitia vyombo vya dola na wala sio porojo za kisiasa.
Tuna majambazi, panya road na vibaka. Wanasumbua kwa zaidi ya miaka ishirini. Hapa napo tusaidiwe na akina majaliwa?
Tuna wahamiaji haramu kibao wanaishi na...
Mimi kama mkristu kamili.
Amri ya pili inasema "usilitaje bure jina la mungu wako".
Viongozi wa dini mko wapi kukemea jambo hili ovu.
Nimesikia mara ya tatú mhimili wa serikali inamsingizia Mungu.
1. Mgao wa umeme last year makala alisema serikali haina namna tumwombe Mungu mvua inyeshe.
2...
Mwanzoni mtoto wa M7 alikuwa anapima kina cha maji kutesti reaction ya Ruto, Nahisi aliona Ruto ni Docile akaanza kumtesti kwa kumwambia ataiteka Nairobi ....ujumbe huu ulikuwa ni direct kwenda kwa Mkuu wa majeshi ya Kenya ambae ni Ruto.
aliweka ujumbe kwamba anaweza kuikamata Nairobi ndani ya...
Umempenda mtu fulani kwa sababu kupenda huwa ni kabla ya kukutana kimwili.
Sasa baada ya mahusiano ya muda mmekutana kimwili unakuja kugundua kuwa jamaa hawezi, je, unaweza kudumu nae kwa sababu ya kumpenda?
MATATIZO YA NCHI HII MENGI YANATOKANA KUTOKUHESHIMU AKILI KUBWA.
Na Thadei Ole Mushi.
Morogoro wametangaza Mgao wa Maji, Dar wameshatoa ratiba ya mgao wa maji, Huko mjini kila mahali Majenereta yananguruma kuashiria kuwa kuna tatizo la Umeme japokuwa waziri January hajatutangazia.
Tuliwapa...
China imeahidi kuiunga mkono Urusi inapokabiliana na nguvu ya pamoja ya nchi za Magharibi, Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi aliripotiwa kumwambia mwenzake wa Urusi Sergey Lavrov wakati wa mazungumzo ya simu siku ya Alhamisi, ambapo maafisa hao wawili waliapa kuunga mkono juhudi zao za kijiografia...
Matukio yanayonihuzunisha
1.Wanapiga makonda mpaka wanawapa vilema
2.Mwalimu akizingua wanamchapa kama mtoto mdogo
3.Yaani shule wanaingia saa 4
Kuhusu taaluma
1.Kufaulu 1 kati ya 120
2.Mwanafunzi mwaka mzima kasoma page 2
3.Muda wa masomo wanashinda vijiweni wakicheza kamari
4.Akienda...
Habari wanajamvi,
Nina hali ambayo sijui niiterm kama tatizo au ya kufurahisha.
Ninajikuta navionea huruma sana viumbe hivi visivyokuwa na hatia wanyama, ndege na wadudu wa aina zote (kufugwa na wasiofugwa), ninapokutana navyo vikiwa kwenye hali yoyote itakayohatarisha uhai wao.
Nikupe...
Idadi hiyo imeongezeka kutoka 99 ya awali chanzo kikitajwa ni matumizi ya dawa za kifua za Watoto, ambapo mamlaka zimesema uchunguzi unaendelea.
Kuna wagonjwa 241 wa majeraha ya figo katika majimbo 22, wengi wao ni watoto chini ya miaka mitano.
Dawa hizo ambazo zimepigwa marufuku ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.