matatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    Sera mpya ya Elimu, nahisi inatatua matatizo binafsi ya Waziri

    Nchi yetu imefikia hatua sera ya nchi inaweza kutungwa ili kutatua matatizo ya familia ya waziri. Inasadikiwa Mungai alikuwa na watoto walioshindwa Sayansi ya sekondari, akaamua kuyaunganisha masomo. Bodi ya mikopo ya elimu ya juu ilipigwa shinikizo kwa mwaka mmoja kuwapa mikopo wanafunzi...
  2. D

    Kijana huyu alikua akielekea kwenye mahojiano ya kazi, lakini alikumbana na matatizo kwenye tai yake

    Yule bibi mwenye koti jekundu aligundua kuwa kijana huyo anajaribu bila mafanikio kufunga tai yake, akamwambia mumewe amsaidie kisha akamkinga kijana huyo na watu wengine ili asione aibu.' SOMO: Usiruhusu tofauti za uongo za ulimwengu huu zikuzuie kuonyesha upendo na ubinadamu kwa kila mmoja.
  3. Roving Journalist

    Asilimia 4 ya Watanzania wana matatizo ya macho

    Asilimia 4 ya Watanzania wana matatizo ya macho huku zaidi ya asilimia 90 ya matatizo hayo ya macho yanatibika. Amesema Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel alipokuwa akizungumza na wananchi mara baada ya ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassm Majaliwa kuzindua jengo la...
  4. Replica

    Watanzania milioni 7 wanakabiliwa na matatizo ya akili, 10% pekee wametibiwa

    Takwimu zilizotolewa na wizara ya afya ambapo watanzania milioni 7 wanakabiliwa na matatizo ya akili huku matumizi ya teknolojia kama mitandao ikiwa moja ya sababu iliyotajwa na wadau. Msongo wa mawazo pia ni changamoto nyingine inayokumba watanzania. Wiki hii dunia inaadhimisha wiki ya afya ya...
  5. Mufti kuku The Infinity

    Kombe la Dunia 2022 Nchini Qatar: Ukifanya yafuatayo unaweza kujikuta kwenye matatizo makubwa

    Habarini za muda huu... Hii nimeikuta sehemu kwenye pita pita zangu nikaona nichangie na nyie... Zikiwa zimebaki siku chache kushuhudia mashindano haya makubwa ya kombe la dunia yatakayo fanyika nchini Qatar, ni vyema kwa watakao hudhuria mubashara huko nchini qatar kujiepusha na yafuatayo:-...
  6. Ali Nassor Px

    Matatizo ya wanawake chanzo ni wanaume na matatizo ya wanaume chanzo ni wanawake

    Waungwana habari za muda, naamini tu salama na wazima wa afya, kama una changamoto pole na Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi na itapita. Nimeandaa post hii kama sehemu ya kusaidia vijana wa kiume na hata wakike pia ili waweze kuishi na wenza wao kwa amani. Nadhani kila mtu anajua kama bila...
  7. BigTall

    WHO, ILO: Hatua mpya zahitajika kukabiliana na matatizo ya afya ya akili kazini

    Machapisho mawili ambayo yote yanalenga ujumbe mmoja wa kushughulikia changamoto ya afya ya akili kazini ambayo ni muongozo mpya wa kimataifa wa WHO kuhusu afya ya akili na uwajibikaji kazini na tamko la pamoja la kisera la WHO na ILO, yanakadiria kwamba takriban siku bilioni 12 za kazi hupotea...
  8. MALCOM LUMUMBA

    Hii mitandao ya simu ina matatizo gani?

    Leo nimejaribu kuweka kifurushi cha mtandao wa Vodacom cha shilingi elfu tano, kama GB 2 hivi. Baada ya matumizi ya dakika 45 ya kuperuzi mtandaoni tu, nimetumiwa ujumbe kwamba nimeshatumia asilimia 75% na nimebakiwa na MB 600 tu. Kiukweli haya ni mauzauza ambayo yamenifanya nibaki nacheka na...
  9. T

    SoC02 Namna ya kutatua matatizo yanayohusisha upatikanaji wa mazao ya chakula nchini

    SoC 2022 Kilimo kwa ukuaji wa uchumi na ustawi wa jamii. Kwa mda mrefu Sasa watanzania tunaendelea kukumbana na matatizo ya upungufu wa baadhi ya bidhaa Kama vile mafuta ya kupikia, Jambo ambalo hupelekea Bei kuwa kubwa na kuzua taharuki. Aidha baadhi ya jitihada za serikali kupitia wizara ya...
  10. M

    Niliposema kwa kujiamini kabisa kuwa ndani ya Simba SC kuna matatizo makubwa nilikuwa namaanisha

    CEO Barbara alituletea Kocha Pablo akituaminisha ni Kocha bora hakukaa akamtimua. CEO Barbara akatuletea Kocha Zoran na kusema ni Kocha bora hakukaa juzi wamemtimua Kidiplomasia. CEO Barbara Msimu mpya wa Ligi ulipoanza akaja na Slogan kuwa Simba SC haishikiki na haizuiliki na kwamba itabeba...
  11. Rick16

    Wenye matatizo ya kukoroma tukutane hapa, tupeane ushauri

    Nina miez takriban tisa kwenye ndoa yangu lakin changamoto kubwa inayonikabil ni tatzo la kukoroma usiku, hali inayomtesa sana mke wangu kipenzi. Tafadhali kama kuna mwenye dawa yoyote au njia yoyote ya kuzuia tatzo hli anijuze.
  12. M

    SoC02 Teknolojia inayoweza kutatua matatizo mbalimbali Tanzania

    1.0 UTANGULIZI Teknolojia ni suluhisho inayotokana na matumizi ya akili ya mwanadamu baada ya kufanya tafiti au hutokea kwa dharura. Teknolojia inalenga kurahisisha au kutatua changamoto fulani iliyopo katika jamii husika. Teknolojia fulani inaweza kuwa katika taifa moja au taifa moja na...
  13. maishakujipanga

    Matatizo ya nguvu za kiume yaliyofichika miaka 2000 iliyopita. Siri iliyogunduliwa na wanasayansi wa Misri

    Kila siku mfalme wa China Kang Xi Alitakiwa kulala na wanawake 9 kutoka katika Harem yake. Alitakiwa kumridhisha kila mmoja.. Hizi ni njia alizotumia …. Ugunduzi huu unaonesha Dawa na njia walizotumia kuongeza hamu ya tendo la ndoa Kusimamisha kwa muda mrefu sana ( wanawake 9 usiku mmoja)...
  14. MakinikiA

    Hivi Usalama wa Taifa wanajua matatizo ya Taifa la Tanzania?

    Ninavyofahamu mimi taasisi hii lazima kuwe na wachumi, wanasheria, madokta, engineer nk., ibaki kusema hii idara kama kuna uwezekano ilitakiwa kuifumua na kuisuka upya, kwa haya matatizo tulikuwa nayo utafikiri nchini hakuna Usalama wa Taifa. Nchi kuna matatizo mengi tu au mnafikiri matatizo...
  15. Benitho Richard

    SoC02 Matatizo hubadili tabia za watu

    Kuna watu ambao walipitia shida nyingi sana enzi za utotoni na ujanani mwao; kuanzia kula yao, kusoma kwao, kulala kwao, kuvaa kwao, nk kulikuwa ni kwa shida sana. Kiufupi tu ni kwamba walipitia maisha magumu sana. Watu hawa waliushinda umasikini kupitia elimu, biashara au shughuli nyingine na...
  16. Sildenafil Citrate

    Bashungwa: Tozo imekuwa mwarobaini wa matatizo sugu

    Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa amesema kuwa baadhi ya sekta muhimu nchini mfano ile ya afya isingeweza kupitia mabadiliko makubwa kama yaliyopo sasa kama tozo sizingekuwepo. Ametolea mfano wa ujenzi wa vituo vipya vya afya 234 ambayo vimekamilishwa kupitia tozo ya miamala ya simu...
  17. MK254

    Drones zilizopewa Urusi kama msaada kutoka Iran zapata matatizo, udhulumaji ni laana

    Mpaka sasa Putin anaendelea kusaka misaada kutoka kote ili adhulumu kainchi kadogo jirani yake, lakini kila msaada anaopewa unaangukia pua, drones alizopewa na taifa la kidini la Iran zimepata matatizo ya ghafla yasioweza kuelezeka, nawashangaa sana watu wenye dini yao wanavyopambana kumsaidia...
  18. D

    Matatizo sugu ya blogging

    Wakuu mambo vipi, Wataalamu wa blogging na website kuna matatizo haya ya indexing anaeweza kuyasolve yote au mojawapo atoe msaada please these pages are not indexed because of 1. Excluded by no index tag 2. Redirect error 3. Alternate page with proper canonical order.
  19. Lanlady

    Kwanini baadhi ya watu hata kwa mafanikio au matatizo yao binafsi huwapongeza au kuwalaumu viongozi?

    Nimesikia mara nyingi sana baadhi ya wananchi wakiipongeza serikali kwa wao kumiliki nyumba, gari, buashara, kuwa na kazi, elimu hata kama wamelipa ada. Nk Au wengine kuwalumu serikali kwa kukosa maisha bora! Je, ni sahihi kwa mtu kuipongeza au kuilaumi serikali kwa mafanikio/matatizo yake binafsi?
  20. Komeo Lachuma

    Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

    Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa na anafanya kazi. Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza...
Back
Top Bottom