Ndoa ni muunganiko wa mtu jinsia ya kiume na mtu mwingine jinsia ya kike na kwa muunganiko wao husababisha pia familia zao kuungana na kuwa na mahusiano baina yao.Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la ukatili katika ndoa nyingi kwenye jamii zetu za kitanzania ambao husababishwa...
nina kaka yangu alienizidi miaka 8, kiukweli hatujazoeana sana nadhani hii imesababishwa sana kwa yeye kunionea utotoni maana nimekula sana vipigo vyake, hii hali ilinifanya nimchukie na ikapelekea mpaka mawasiliano yetu kuharibika hadi sasa maisha ya ukubwani... nipo karibu na dada yangu.
Yani...
Jina langu nililopewa na walimwengu najulikana kama KITABU MFUMBUZI WA MATATIZO.Nimezaliwa DUNIANI kote kwa mwaka usiokuwa na jina toka Enzi katika kila Pembe ya Dunia, Ninaishi TANZANIA, Nchi TAJIRI yenye watu MASIKINI ndani yake.Nimevumilia nimeshindwa nimeona Bora niseme TANZANIA ina watu...
Ndugu zangu,
Kuna taasisi na mataifa mengi ya nje ya nchi ambayo hutoa udhamini wa masomo ya juu katika kada mbalimbali ambazo nyingi hupatikana huko njee. Na kwakua udhamini huu wakat mwingine ni mzuri na unatuvutia wengi kutokana na kiwango cha fedha wanachotoa na huduma ambazo hupewa...
Prana ni neno la Kihindi,maana yake 'pumzi'. Raila amefanya kampeni kwa bidii na anechoka sana. Hatujawahi kumuona Raila anechoka namna Ile. Lakini sasa kampeni imekwisha nadhani he will get his breath back. Siyo rahisi kutabiri nani atashinda. Hata Wainjilisti wanaopenda kutabiri wameshindwa...
Hakuna kitu kilimuuma sope takadini kama uongozi wa simba ulipotoa statement ya kumkana na kauli yake ya kupiga marufuku mashabiki wa yanga kuingia mechi za kimataifa za simba
ushajiuliza angetoa kauli hiyo akiwa yanga ingekuwaje? kwa uongozi huu wa Hersi na manara ni kama PWAGU NA PWAGUZI...
Gari nyingi za kuanzia late 1990's na kuendelea kuja huku mbele. Zina mifumo mingi ya umeme.
Tuache mifumo mingine kwenye gari tuongelee engine tu...
Mfano kwenye engine tu peke yake,
Mfumo wa hewa una umeme [MAF sensor na IAT sensor/IAT sensor na MAP sensor]
Mfumo wa mafuta una umeme...
Heshima sana wanajamvi,
Mamlaka ya mapato Tanzania ilibadili mfumo wake wa ku fill kodi mbali mbali kupitia mfumo mpya ambao badala ya kurahisisha kazi umeongeza ugumu wa kazi.
Unaweza kuchukua siku nzima ukihangaika kuufungua tu .Bado utasumbuka masaa mengi kurudia rudia kila mara na...
Sina uhakika kama nitaweza kuielezea mada hii vizuri ila nianze kwa kusema kuwa nimefuatilia muundo wa jamii ya kitanzania, nimegundua unaweza kutugawanya katika makundi mawili kulingana na mitazamo yetu.
Upande mmoja ni wale watu ambao wanapenda kutafuta ukweli wa mambo, hawaogopi kukosolewa...
Habari wana JF,
Naandika uzi huu ili kuelezea kero zangu na wengine wengi kuhusu RITA kama kuna wahusika humu walifanyie kazi.
Natoa kero hizi leo Tarehe 26-Julai-2022
1. Kero ya Kwanza: Namba ya Huduma kwa wateja ni BUTU.
Namba ya Huduma kwa wateja ya RITA haifanyi kazi, yaani ukipiga...
Kwako waziri wa Ajira Yah: Matatizo katika mfumo wa Sekretarieti ya Ajira.
Kwako Waziri wa Ajira,
Natumai unaendelea vyema na shughuli zako za kila siku.
Mh. waziri Lengo la kukuandikia barua hii ya wazi ni kukueleza changamoto zinazowakumba Watanzania wanaojaribu kufanya maombi ya kazi...
Habari zenu wakuu [emoji17][emoji17]
Ukiingia kwenye uzi wa kula kimasihara unaweza sema hufai kuwa mwanaume kabisaa, maake kule wanaume wanachakata mbususu kibahati mbaya, iwe alfajiri, mchana, jioni au usiku, wengine wakati wakiwa wanachakata, kwenye mikono yao wanakuwa wanatype mrejesho...
Ama kwa hakika matatizo ni mtaji. Finland nchi ambayo imepakana na urusi na ambayo imekuwa ikipata nishati hasa ya gas kutoka Urusi na mabayo Urusi imeikatia huduma hiyo imegundua aina mpya ya nishati ambayo inaweza kuzalishwa na kuhifadhiwa kwa mda mrefu. Nishati hiyo ni betri maaluma ambazo...
Kumekuwa na matatizo mengi sana yanayohusu Bandari zetu na hasa ya Dar es Salaam. Awamu ya Tano ilimteua Injinia Kakoko kuongoza Bandari na matokeo yake kila mmoja wetu aliona.
Injinia Kakoko aliongeza mapato ya Bandari zaidi ya mara kumi. Ni vema Injinia Kakoko akarudishwa tena pale na kwa...
“Ndipo Herode, alipoona ya kuwa amedhihakiwa na wale mamajusi, alighadhabika sana, akatuma watu akawaua watoto wote wanaume waliokuwako huko Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wenye miaka miwili na waliopungua, kwa muda ule aliouhakikisha kwa wale mamajusi”, Mt 2:16 SUV.
Jaribio la...
Ahmed Ally: Suala la Morrison tunasubiri kocha mpya akija ndio atoe maamuzi kama anatakiwa kubaki au aondoke.
Babra: Morrison hakuwa kwenye mipango yetu ndio maana tumempa ruhusa akatafute timu nyingine
Kauli za viongozi wa Simba kuhusu mchezaji Bernard Morrison.
Chanzo: Darmpya Blog
Leo...
Imeeleza kuwa matatizo ya magonjwa ya figo ni tatizo la Kidunia kwa kuwa takwimu za magonjw aya figo ni 10% wakati ndani ya Tanzania takwimu za nchi ni 6%
Serikali inajipanga katika mambo mengi, kwanza ni kutoa elimu ya afya mfano kula na mazoezi, pili kuna usalama wa chakula na usalama wa...
Fikra/Akili ni muhimu sana huhusishwa katika kujinasua kwenye minyororo ya kitumwa.
Tanzania na Afrika kwa ujumla tunapenda kutuliza matatizo na sio kuyatatua Yaani tunameza 'pain killers' tu na sio dawa za kutibu. Tumefungwa kwenye minyororo ya Utumwa wa Fikra na Utumwa wa Kiuchumi.
Tatizo...
Nimegundua watu wengi Wana matatizo ya akili, hasa wanaume na hawakubaliani na hiyo Hali. Mwisho wa siku inakuja kuleta madhara makubwa.
Ushauri wangu nendeni mkajitibu hayo matatizo msije kuua watoto wa watu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.