matatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Wanawake wenye hizi tabia wana matatizo gani?

    1. Wanawake ambao unaweza kumtongoza leo, akakukataa, tena kwa mbwembwe, vijembe na kila aina ya kujidai hadi unaona wewe si loote kwake. Ukatulia zako ukaendelea na mambo yako. Ghafla baada ya miezi 6 au mwaka hivi anakuja kama mbwa aliyemwona chatu, mpole mnyenyekevu yaani yuko tayari kwa...
  2. Action and Reaction

    Pesa humaliza matatizo au matatizo humaliza pesa yako?

    Bandugu habari zenu, Umekuwa tukikimbisana kutafuta mapesa kila iitwapo leo... Sasa hapo msemo upi umekuwa ukikupekeka mchakamchaka Kati ya pesa zako kumalisa iyo matatiso unasopata AU tatiso ndosinasomalisiia pesa yako!
  3. FRANCIS DA DON

    Mwenge flyover ni mwisho wa matatizo. Ujenzi wake unaanza lini?

    Video kama hizi zilikuwa zinaleta hamasa kubwa sana na ikiketw fahari kuwa mTanzania , kwa sasa nchi imepoa sana. Anyway, ujenzi wa flyover ya Mwenge unaanza lini, maana hali ni mbaya sana, hapafai!
  4. OLS

    Matatizo ya Afya ya Akili sio Ukichaa

    Nimeona kuna hajanya watu kuelewa vizuri ili suala la afya ya akili ambalo watu wengi wamekuwa wakidhani matatizo ya afya ya akili ni ukichaa. Matatizo ya Afya ya Akili inaweza kuwa Phobias za Aina zote, Depressions, Stresses nk ambapo sio lazima uwe ukichaa Nimeshangazwa na mtu mzito kama...
  5. beth

    Siku ya Afya ya Akili Duniani: Serikali yasema Watanzania Milioni 7 wana matatizo yanayohusiana na Afya ya Akili

    Wakati Dunia ikiadhimisha Siku ya Afya ya Akili kesho Jumapili Oktoba 10,2021, imeelezwa kuwa Tanzania inakadiriwa kuwa na watu milioni saba wenye matatizo yanayohusiana na afya ya akili. Hata hivyo, sababu mbalimbali zimetajwa kusababisha matatizo ya afya ya akili huku Jiji la Dar es Salaam...
  6. Jidu La Mabambasi

    DR. Sengati, RC Shinyanga hivi ulikuwa na matatizo gani kuelewa?

    Kuna watu huwa wamesoma sana lakini ni wagumu kuelewa. Huyu Dr Sengati ana matatizo gani? Kaonywa lakini haelewi! Hawa ndio tunaita thick headed!
  7. demigod

    Uchambuzi: Ni Dhahiri Kuwa Ilikuwa ni lazima Haji Manara aondoke Simba SC Kumpisha Barbara

    Wanamazengo, Hivi mmegundua kuwa licha ya Simba SC kupata msemaji wa muda - Bw Ezekiel Kamwaga, nafasi na majukumu mengi anayopaswa na kutakiwa kuyafanya anayafanya CEO wa klabu? Je, tunaweza kukubaliana kuwa ni sawa kwa CEO kuingilia majukumu na wajibu wa nafasi ya mtu mwingine? Sote tunajua...
  8. Bayga

    SoC01 Kwanini mashabiki wa mpira wanakufa kwa matatizo ya moyo?

    Mashabiki wengi kipenzi wa mpira wapo hatarini kufa au kuathiri afya zao kutokana na magonjwa ya moyo, Kiharusi na matatizo ya kisaikolojia kwa mjibu wa utafiti uliochapishwa katika jarida la Current problem in cardiology na katika jarida la Stress and Health mwaka 2020.  #Picha | Mwanaspoti...
  9. G-Mdadisi

    Utafiti: Vyombo vya Habari vina upungufu wa habari za uchambuzi wa matatizo ya wananchi

    Na Gaspary Charles - TAMWA ZANZIBAR IMEBAINISHWA kuwa vyombo vya habari bado vinakabiliwa na ukosefu wa maudhui ya kutosha ya kiuandishi yatokanayo na uchambuzi wa masuala mbalimbali katika jamii jambo ambalo linapelekea matatizo na kero za wananchi kushindwa kutaftiwa ufumbuzi kwa wakati...
  10. L

    Wanaume wametutawala muda mrefu bila suluhisho la matatizo mengi, tumuunge mkono Rais Samia atatuvusha

    Tangu nchi yetu kupata uhuru tumekuwa chini ya utawala wa wanaume kama wakuu wa nchi, sasa mwanamke amechukuwa kwa mala ya kwanza. Kwakuwa tumekuwa na matumaini ya kuishi maisha bora bila mafanikio chini ya wanaume basi tumuunge mkono mwanamke tunaweza kuvuka vikwazo vilivyo dumaza maisha yetu...
  11. J

    #COVID19 Uvaaji Barakoa kwa watoto wenye matatizo ya ukuaji na akili na si wa lazima

    Shirika la Afya Duniani (WHO) linashauri kuwa matumizi ya barakoa kwa watoto wa umri wowote walio na shida ya ukuaji wa akili au mwili, upumuaji na matatizo mengine maalum ya kiafya hayapaswi kuwa ya lazima na kwamba tahmini ya hali ya mtoto ni muhimu kuelezwa na mzazi, mlezi au mtoa huduma wa...
  12. Ruyama

    Hivi inawezekana kutatua matatizo bila kumshirikisha mtu?

    Nina tatizo la kifamilia kila nikiwaza nimshirikishe rafiki yangu wa karibu nina sita wazazi wamesha solve lakini bado mwanamke anarudia rudia kutojirekebisha. Yaani nina mawazo mno sijui nifanyeje ili niwe poa watoto tunao nawaza kuachana lakini naumia nikikumbuka watoto WHAT CAN I DO yaani...
  13. Mzee Mwanakijiji

    SoC01 CHADEMA ina Matatizo 4 Makubwa na la 5 Ni Kubwa Zaidi: Nani ataiokoa?

    Na. M. M. Mwanakijiji Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinataka kukiondoa Chama cha Mapinduzi (CCM) madarakani na hivyo kishike hatamu za uongozi wa taifa letu. Katika kufikia lengo hilo CHADEMA kimetumia mbinu mbalimbali na kushiriki chaguzi mbalimbali kuanzia ngazi za chini kabisa...
  14. Kamanda Asiyechoka

    CHADEMA, Sakata la marehemu Hamza lisifanye tukasahau matatizo yetu ya kisiasa

    Tuna matatizo makubwa sana kama chama, hili lipo wazi kabisa. Mpaka sasa uongozi ni kama haupo kabisa maana kila kitu kimekwenda mrama. Mwenyekiti yupo jela kama mahabusu. Makamu mwenyekiti yupo Ubelgiji na inaonekana hana mpango wa kurudi bongo. Sasa ni kama kuna ombwe la uongozi maana kama...
  15. MKILINDI

    Watanzania kwenye matatizo yetu "Serious"

    Watanzania kwenye matatizo yetu serious si tunafanya hiviiiii 1) Huwa hatuwazi matatizo tuliyonayo tunawaza namna ya kuishi nayo. 2) Tunakumbuka maneno ya viongozi wetu nini walituambia. Tunafarijika na maneno yao hata kama kwenye shida ngumu. 3) Tunasubiria maafa ili kila mmoja aokoe nafsi...
  16. A

    SoC01 Matatizo makubwa yanazaliwa kwa utatuzi mbaya wa tatizo dogo

    Kilichonifanya niandike ujumbe huu ni baada ya kukutana na kisa kimoja kilichonitoa machozi. Ilikuwa kama mida ya saa saba mchana rafiki yangu (jina nalihifadhi) alinifata nyumbani kwangu napoishi, nilimkaribisha ndani bahati nzuri alifika mda ambao nilikuwa napata chakula cha mchana na familia...
  17. fasiliteta

    Mwigulu, it's enough. You MUST resign!

    Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa Tozo ya Mafuta juu Tozo ya Fedha mitandaoni juu Tozo ya kiwanja kwa luku Makato ya kwenye vocha juu. Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha) Mnataka tuishije sasaa? Najiuliza inamaana...
  18. S

    Matatizo ya Tanzania na namna ya kuyatatua

    Mapungufu yanayopatikana Tanzania na jinsi ya kuyasuluhisha ni kama ifuatavyo:- Sekta ya Afya Kwenye sekta ya afya kina baadhi ya sehemu serikali imefanikiwa ila kwa asilimia kubwa kina mapungufu mfano hospitali nyingi na zahanati zina upungugu wa madaktari, manesi, sawa na upungufu wa vitanda...
  19. S

    Matatizo na njia za utatuzi

    Mfumo wa sheria, matumizi ya sheria mazuri ya sheria, sheria inapotumika vibaya hupelekea kutokuwepo na haki za binadamu kwani kwa watu ambao wanatamani kutoa mawazo yao au kukosoa selikali hubambikiwa makosa ya jinai. Mfano kesi mbalimbali za wanachama wa chama pinzani kwa kugunguliwa kesi za...
  20. Richard

    Yanayoendelea sasa CHADEMA ni mpango toka nje kuingiza nchi matatizoni. Serikali ina kazi ngumu huko mbele

    Chadema ni chama cha siasa chenye wanasiasa ambao si makini. Ni chama kilichokusanya watu wanojiita wanasiasa lakini hawana mbinu za kuishi kwenye siasa. Miaka mitano ilopita Chadema walipata shida na hawakuweza kujinafasi na serikali ambayo iliongozwa na raisi ambae hakuwa tayari kuvumilia...
Back
Top Bottom