Mei ni Mwezi wa Ufahamu wa Afya ya Akili. Mental Health ni muhimu katika kila hatua ya maisha, yaani kuanzia Utoto, Ujana hadi Utu uzima. Afya ya Akili sehemu muhimu za Afya kwa ujumla kama ilivyo Afya ya Mwili
Matatizo ya Afya Ya Akili yanaweza kuwa na athari kubwa katika nyanja zote za maisha...
Watanzania hatujawahi kusikia huyu Waziri Makamba akija na mkakati wowote ule wa kulikwamua taifa letu na tatizo la gharama kubwa za nishati ya umeme.
Mradi wa JNHP ulikuwa ni moja ya njia ya kupunguza gharama za nishati ya umeme. Maana mradi huu ungekamilika kwa wakati June 2022 ungewezesha...
Hiki hapa ni kipande kifupi cha video kutoka kwenye filamu ya Royal tour ambapo Samia anaulizwa kama Magufuli aliambukizwa Corona na yeye kujibu ndiyo.
Anakiri hilo kwenye sekunde ya 18.
NANUKUU:
Peter: In all honest your predecessor (Magufuli) was not a big friend of Vaccines and of the...
Multiple sclerosis: ni ugonjwa wenye sifa ya kuharibu ushikamanifu wa mfumo wa fahamu haswa kile kiwambo cha mafuta kinachoilinda mishipa ya fahamu.
Mara nyingi ikitokea huwa inatokea bila sababu kubwa ya kueleweka japo kama ilivyo ada watu huamua kujiaminisha kwamba labda ni vikemikali/sumu...
Hakuna ubishi kuwa enzi ya utawala wa awamu ya tano wa hayati John Magufuli kulikuwa na vitendo lukuki vilivyokuwa na ukatili mkubwa dhidi ya binadamu. Kuanzia watu kuokotwa fukweni, kupotea, kupigwa risasi, kutishiwa wahame vyama, kunyamazisha vyombo vya habari, kutaifisha, kwenda kinyume na...
Kipute cha robo fainali kati ya Simba na Orlando kimekwisha na Orlando amesonga mbele kwa kutupa faraja wana Yanga kuzima kelele, tambo na kejerli za Simba.
Tuongee ukweli tu ni kwamba mashabiki wa Simba hamna cha kuidai timu yenu kwa kutolewa robo fainali ni hatua nzuri timu imefika...
Yawezekana badala ya kuwa tunawesema kila siku labda iangaliwe namna ya kusaidiwa au tunawashikia bango watu ambao akili zao haziko sawia. Hata hapa kwetu zipo hizi shida labda tu hawajazifanyia utafiti. Unakutana na polisi jambo la kawaida lakini mtu anakuwa mkali na kutumia nguvu kupitiliza...
Kikundi cha 20 cha madaktari wa China kilichotumwa nchini Burundi hivi karibuni, sasa kinaendelea kuwafanyia watoto upasuaji wa macho bila malipo katika mpango wa msaada wa matibabu Mkoa wa Giheta katikati mwa Burundi.
Katika utekelezaji wa mpango huo ulioanza mapema Aprili, wagonjwa 47 wenye...
Familia inatumia fedha zaidi kutatua changamoto itakayompata mwana familia kama vile kwenye ugonjwa, msiba, ada, kesi, kubomoka kwa nyumba, nk. Kwenye matukio kama haya kipato cha familia kitapungua kidogo ili kuhudumia mwanafamilia apate nafuu.
Kama baba anaendela kuvua samaki baharini kukuza...
Imekuwa kawaida Kwa Chama Tawala, kujikita ZAIDI kwenye Siasa za Uchaguzi kuliko kuangalia utatuzi wa chaangamotto na kuondoka umaskini! Sekta ya Nishati ni mojawapo ya Eneo ambalo Vita vya Wana CCM hupigwa vizuri sana, Kila unapoekea Uchaguzi!
Leo nimemsikiliza Karibu Mkuu wa CCM ,nimebaini...
Wakati wa Uhai wake, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kuishi katika nyumba hii ikiwa ni baada ya kurejea nchini akitokea masomoni nchin Uingereza.
Huko alihitimu masomo yake na kutunukiwa shahada ya uzamili katika masomo ya uchumi na historia kwenye Chuo Kikuu Cha Edinburgh, akiwa ni...
Mimi ni wale tuliozaliwa miaka ya mwishoni mwa awamu ya kwanza ya utawala wa mzee Mwinyi. Kwa maana hizo tumeingia miaka ya 30 ama third floor hivi karibuni.
Mojawapo ya changamoto nazokabiliana nazo ni kuchelewa kukojoa goli la pili, yaani sasa hivi goli la pili kulitafta ni kama ugomvi, yaani...
Huyu Mzee baada ya ccm kumkata kwenye kura za maoni , akaomba kujiunga na Chadema , Chadema ikamsaidia kupata Ubunge na ikampandisha hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama , baadaye mwaka 2015 akashirikiana na Askofu Gwajima kumshawishi Lowassa ajiunge na Chadema , Kamati kuu ikapewa Taarifa na Bwana...
Juzi wizara husika kwa kushirikiana na vyombo vengine vya kisanaa vilitangaza shortlist ya majina wanaogombea tuzo mbalimbali ikiwemo tuzo za wasanii bora wa muziki Tanzania.
Kinachoshangaza sana, wasanii wanaoiwakilisha nchi kimataifa i.e. diamond, alikiba, zuchu, rayvanny etc hawajajitokeza...
Baba zao walikua maswaiba, katika kulinda mali za familia zao walipanga kuwaoza watoto wao. Binti hakuwahi kumkubali jamaa lakini kwake pia aliona ile ndoa ni life opportunity. Familia ya mume ilikua matawi ya juu.
Baada ya harusi mke alileta house boy nyumbani. Ni kijana mdogo ndiyo...
Habari zenu
Nina mdogo wangu wakike umri ni early 20s, amemaliza chuo mwaka jana mpaka sasa yupo tu home
Ana tabia yakupenda sana kuandika (vitu mbalimbali kwenye notebook zake) na kusoma vitabu na articles mbalimbali pia anaangalia sana movies, kinacho nifanya niulize ni kwasababu amezidi...
Wakuu mimi ni mtumiaji mzuri wa azam tv max app kwenye simu yangu, kuna hii ya UTV chaneli kila ukifika muda wa mechi za simba unakuta imeondolewa HAIPO KABISA au ukiikuta na ukaifungua kwa ajili ya kungalia zako mpira unaambiwa CHANNEL IS NOT AVAILABLE IN YOUR AREA.
Ajabu ni kwamba baada ya...
Mtu anajikuta anatengua bajeti na kwenda kunyogoa mzigo.
Hii inasababisha watu kutungua mzigo ambao haukupangwa kutumika siku hiyo.
Watu wengine wana mauzi na dharau husababisha kulazimika mtu kwenda kutoa mzigo ili ule masanga kwa hasira.
Hii ni wizara nyeti na yenye matatizo makubwa ya utendaji wa maafisa wa ardhi wa wilaya na mikoa. Kidogo Lukuvi aliwafuatilia kwa karibu na kuchukua hatua ilipobidi.
Leo Waziri Mabula naona ni kama vile wizara haina Waziri.
Wanatamba kuwa tulisema ataondoka Lukuvi atatuacha, na huyu tena...
Hili jambo linasikitisha sana nakatiza mtaani hapa namkuta huyu dada mwendawazimu ni mjamzito kabisa tena inavyoonekana anakaribia kujifungua maana ujauzito wake ni mkubwa kabisa. Jamani tupunguze tamaa ya ngono huu ni unyanyasaji mkubwa kwa watu wa aina hii.
You can imagine akipata uchungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.