matatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamanda Asiyechoka

    Waafrika wenzetu wakishangilia kutinga fainali za Afcon sisi tunashangilia Samatta kufunga goli ulaya. Watanzaniza tuna matatizo

    Kama kufunga goli ulaya ni mafanikio kwa taifa letu kisoka basi watanzania tumerogwa
  2. Lord OSAGYEFO

    Rais Samia, Katiba Mpya ndio suluhu ya matatizo ya Watanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan kwanza nakupongeza sana kwa hatua mbalimbali unazochukua baada ya kuondokewa na Magufuli Mhe. Rais kama lilivyo jina lako wewe ndio Suluhu ya suala la Katiba mpya. Haya yote unayohangaika nayo kuyaweka sawa ni kutokana na Mwendazake kuona mapungufu yaliyopo kwenye...
  3. MakinikiA

    Mashirika mbona hayatoi gawio kama tulivyozoea wakati wa awamu ya tano?

    Nashangaa kwa Sasa hakuna shirika la umma linalotoa gawio kwa serikali ni Upuuzi na Ujinga kuamini kwamba tanesco Haina fedha za nguzo Sasa wanafanya biashara au wanatoa huduma???
  4. THE FIRST BORN

    Kwa hili la Ndugai na Rais, linaonesha watanzania ndio tuna matatizo makubwa

    Habarini! Hii vita inayoendelea inaonyesha Jinsi gani watanzania ndio tuna shida kubwa na ndio sababu hatuendelei. Ndugai kasemea Juu ya jambo ambalo lina maslahi kwa Nchi lakini anakuja Mtu ana mjibu kwa kuangalia Maslahi yake tena kwa kejeli watu Wooooteee wanashangilia Kweli Mpo serious...
  5. DaveSave

    MSAADA KWA NDUGU/JAMAA WENYE MATATIZO YA ULEVI (URAIBU).

    Stay Clean Foundation Tanzania (STCF) ni asasi ya kiraia iliyoanzishwa mwaka 2015 yenye makao yake makuu Arusha, ambayo inajihusisha na kuwasaidia vijana walioathirika na matumizi ya dawa za kulevya (Substance Abuse) kwa kutoa Elimu katika Shule, Vyuo na Taasisi za Umma na binafsi ya namna ya...
  6. Keynez

    Kwa nchi yenye matatizo makubwa ya maji, tunaruhusu vipi swimming pools?

    Kuna hili suala nimeliwaza kwa muda mrefu sana. Inakuwaje katika nchi ambayo hata maeneo ya mijini tu kuna changamoto kubwa za maji tunaruhusu ujenzi wa swimming pools? Najua wengine mtanishambulia kwa kuleta usukuma wangu hapa ila kuna mambo inabidi utafakari kwa maslahi ya taifa. Kama ni...
  7. Mwamuzi wa Tanzania

    Fahamu kwanini ukizikamata pesa za kutosha tu matatizo yanakujia.

    Habari! Hii mada nimeileta kutokana na uzi aliouandika bwana mmoja hapa jf akilalamika jinsi simu za ndugu na marafiki zinavyomiminika kuomba msaada pindi tu anapopata fedha. Kuna watu mpaka kanisani wanashuhudia jinsi Mungu alivyowavusha walipopata tatizo, wakisema kuwa tatizo lilipokuja...
  8. Mufti kuku The Infinity

    Sinza na Mwenge kuna matatizo makubwa sana

    Thread was deleted
  9. Z

    TCRA tuambieni nani alimshitaki Polep[ole? Kuna matatizo makubwa ya maamuzi.

    TCRA imemshitaki Polepole, Polepole akajitetea kwa TCRA, halafu TCRA ikamhukumu! That is no right! Kuna tatizo kubwa sana. Muhusika amesoma kwa maringo sana juu ya mwenendo mzima wa maamuzi ya TCRA lakini mwishoni mtu unaona ni kama upuuzi wa aina fulani vile. Haijulikani makosa yameanzia kwa...
  10. Lager

    Hivi matatizo yanaonaga pesa?!

    Wakati huna pesa yametulia tuli,pata pesa Sasa utasikia Bibi kameza chemli huko kijijini😥 Hii sayari yetu yatatu hii imekaa kimichongo Sana😬
  11. kwisha

    Hivi nina matatizo ya akili au vipi?

    Hivi kweli mtu anaweza kuwa ana ishi bila kujua kama ana matatizo ya akili? Mimi mwenzenu na shangaa saana watu wengi wananiambia kuwa awanihelewi kabisa yaani kuanzia maneno yangu mpaka vitendo vyangu na wengine Wana sema nimepungukiwa akili kabisa Hata mimi mwenyewe kuna mda uwaga si helewi...
  12. M

    Simkubali Haji Manara na ana Matatizo yake, ila kwa hili la Clatous Chama namuamini 100% na wana Simba SC tusidanganywe na Uongozi wetu

    Nakumbuka KEROZENE nilipochangia Uzi wakati Chama alipouzwa nilisema hapa hapa kuwa ile ilikuwa ni Gia tu, ila muda mchache atarudi Tanzania na Kutua Yanga SC. Kuna sababu Kuu Nne ambazo niliziona wakati nachangia huo Uzi kuwa Chama atatua Yanga SC moja ikiwa ni ukaribu wake na Ridhiwani...
  13. Richard

    Serikali ya Rais Samia isijisumbue Hayati Magufuli alieleza kila kitu na aliweka wazi matatizo ya nchi hii

    Pamoja na mapungufu ya hayati John Magufuli lakini hakupepesa macho wala kumung'unya maneno pale penye ukweli. Bado Serikali yahangaika kujimwambafwai lakini ukweli wa matatizo yoote yaliyopo nchini kwa sasa uliwekwa wazi na Hayati Magufuli. Alieleza matatizo ya baadhi ya wahujumu uchumi wa...
  14. sky soldier

    Rafiki yangu nahisi ana matatizo ya akili, haachi tabia ya kucheza cheza hovyo

    N i aina ya wale watu ambao kitendo ha masikio yao kusikia mziki unakita basi mwili utashawishika kucheza. ni age mate, ana miaka 31, tunafanyia kazi shirika moja la kiserikali ila yeye alihamishiwa kituo kingine, kwa hio sikua nae karibu kwa mwaka hivi zaidi ya kuwasiliana kwenye simu...
  15. jitombashisho

    Rais Samia ameshindwa kutolea tamko matatizo ya Umeme na Maji yanalolikumba Taifa?

    Ukimya sawa na pengine ana kazi nyingi ambazo kwalo huenda wasaidizi wake wanamjazia mafaili ili kumzubaisha na ili asitambue changamoto za hapa na pale ziwahusuzo Watanzania. Lakini kwa changamoto ya umeme na maji inaloikumba Taifa kwa sasa si kitu kilichojificha na ni ukweli kwamba Samia...
  16. Miss Zomboko

    Changamoto za Demokrasia kwenye Nchi nyingi

    (i) Kuongezeka kwa tofauti (Gap) za Kiuchumi na Kijamii miongoni mwa Wananchi: Sehemu nyingi Wananchi wote wana haki ya kushiriki Uchaguzi lakini Matajiri ndio wana nafasi ya kushinda. Watu wasiojiweza hulazimika kuuza kura zao ili kutimiza mahitaji yao ya Msingi (ii) Ufisadi na Uzembe: Katika...
  17. Ms Billionaire

    Matatizo ya Traffic Barabarani wanapanga njama na madereva bodaboda na raia wengine kukamatisha watu

    Hivi matraffic mnaokaa barabarani kuvizia makosa huwa mnawaza nini kupanga watu wa kuwasaidia kuwakamatisha madereva, yaani scenario ziko hivi: unaweza ukawa unatembea kwenye kimteremko barabarani, alafu mbele unaona kuna dereva bodaboda kama anasua sua kwenda ili mradi tu umkwepe alafu mbele...
  18. Q

    James Mbatia: Kwa sasa Rais Samia hawazi matatizo ya wananchi anawaza uchaguzi wa 2025 tu

    “@ChademaTz , @ACTwazalendo , #CUF na sisi @nccrmageuzihq hebu tuondoe viburi vyetu tukae pamoja tuzungumze kuhusu nchi yetu, kwann tukose furaha kwenye nchi yetu? Tuoneshe mshikamano wetu katika kupigania haki katika nchi yetu”. - M/kiti Taifa Ndugu #JamesMbatia #KongamanoLaCUF “Samia Suluhu...
  19. Vien

    Relationship is a team work, wanawake msiyachukulie mahusiano kama sehemu ya kutatua matatizo yenu ya kiuchumi

    I hope everyone is fine, Mahusiano yeyote ili yaweze kufanikiwa inabidi pande zote mbili ziwe na ushirikiano, ila hali ni tofauti kabisa kwa asilimia kubwa ya wanawake tulio nao, wamegeuza mahusiano kama ndo kitega uchumi kikuu kwao. Kwa dunia ya sasa sio swala la ajabu kukuta mwanamke akiwa...
  20. Mshuza2

    Dalili mojawapo ya umasikini ni kufurahia tajiri anapopata matatizo

    Ni kwanini masikini huwa wanafurahi sana wakiona tajiri kapata matatizo?Nafsi zao zinasuuzika sana wakiona tajiri kapata majanga! Yaani roho fulani hivi za kichawi. Yaani badala wajifunze kwa waliofanikiwa wao kwao ni furaha eti "tumefanana". Si ajabu kuwakuta sehemu wamekaa wakiteta kwa...
Back
Top Bottom