mateka

Mateka is a settlement in Kenya's Bungoma County.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    Hamas kuwaachia mateka iwapo Israel watasitisha vita

    Kiongozi wa Hamas, Mousa Abu Marzouk amesema amesema kuwa ilikuwa ni vigumu kuachiliwa mateka wanaowashikiria wakati Israel ikiishambulia Gaza kwa mabomu. Kiongozi huyo wa Hamas ameyasema hayo wakati wa mahojiano maalumu na Shirika la Habari la Uingereza (BBC), huku akiahidi kwamba kundi lake...
  2. Ritz

    Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wasaidie kupatikana kwa Mateka

    Wanaukumbi. Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka. “I say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the...
  3. JanguKamaJangu

    Serikali ya Israel yawataja majina ya Watanzania waliotekwa na Kundi la Hamas

    Hatimaye Watanzania wawili waliotekwa na wapiganaji wa kundi la Hamas mjini Gaza wametambuliwa kuwa ni Joshua Loitu Mollel na Clemence Felix Mtenga. Uthibitisho huo umetolewa na serikali ya Israel baada ya Watanzania hao na raia wengine takribani 200 kushikiliwa na Hamas tangu Oktoba 7 mwaka...
  4. Ritz

    Hamas wamesema lazima tubadilishane mateka na wafungwa wa Kipalestina

    Wanaukumbi Mkuu wa Hamas anasema mkataba wa kubadilishana lazima uhusishe wafungwa wote wa Palestina katika magereza ya Israeli. Inasema inawashikilia mateka zaidi ya 200 wa Israeli Gaza wakiwemo askari na raia CHANZO; ALJAZERA
  5. Ritz

    Watanzania wawili ni miongoni mwa mateka wa Hamas, yasema Israel

    Wanaukumbi. Watanzania wawili na raia mmoja wa Africa Kusini ni miongoni mwa mateka 224 wanaoshikiliwa na Hamas baada ya mashambulizi ya Oktoba 7 nchini Israel, serikali ya Israel inasema. Hakuna hata mmoja kati ya hao watatu aliyetajwa. Mamlaka ya Tanzania hapo awali ilikuwa imethibitisha...
  6. M

    Mateka aisifu Hamas

    Mwanamke mzee Muisrael aliyeachiliwa huru na wapiganaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema alikirimiwa na kutendewa wema katika muda wa wiki mbili alipokuwa ameshikiliwa mateka na kundi hilo la wanamapambano wa Palestina. Akizungumza na waandishi wa habari mapema...
  7. Webabu

    Biden aruhusu malori 20 ya misaada kwa mateka 2 wa Marekani

    Hii leo muda mfupi kuanzia sasa malori 20 ya misaada yataanza kuvuka mpaka wa Misri na Gaza kupeleka misaada kwa Wapalestina waliozingirwa Gaza. Misaada hiyo itakuwa ni ya mwanzo na aliyoitaja raisi Biden juzi kama ni makubaliano yake na Rais Elsisi wa Misri. Jana viongozi wa Hamas waliachia...
  8. B

    Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Nakumbuka, ilikuwa katikati ya miaka ya 90 nikiwa nasoma katika moja ya shule za sekondari katika moja ya wilaya zilizopakana na nchi za Rwanda na Burundi. Ikumbukwe ni katika miaka hiyo yalikuwa yameanza mapigano ya kikabila yaliyokuwa yamezuka nchini Rwanda Kati ya Watutsi na Wahutu nchini...
  9. MK254

    Iran yasema kama Israel hawatavamia, basi HAMAS wataachia mateka, wanaweweseka sana hawa

    Hawa hawa Iran ndio wamekua wakibwatuka maneno mengi na mikwara, leo wanabadilisha gia eti israel ikiacha mipango ya kuvamia basi mateka wataachiwa huru, kitu ambacho HAMAS wamekana na kupishana kauli na mfadhili wao Iran. Ukweli Iran wanajua Israel itavamia na hamna chochote wanachoweza...
  10. MK254

    Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa

    Mkiambiwa makomando wa Israel ni moto wa kuotea mbali, yaani hapa kama movie, jamaa wameicheza kiaina aki ya nani nimefurahi hadi naumwa, hii itaandikwa kwenye vitabu na movie zitakua shot nyingi, makamu wa magaidi pia amekamatwa hai Abu A'ali the Deputy Commander of the Hamas. The Flotilla 13...
  11. William Mshumbusi

    Huenda kiongozi wa Wagner wa Urusi kashikiliwa mateka

    Kwa mtu mtu mwenye msimamo Kama yeye na uelewa mpana asingeweza kukubali kirahisi hivyo kufikia makubaliano tata. Ilichokifanya Urusi ni kuongea na watu wa karibu wamdhibiti kisha wampeleke Belarus na kuandaa propaganda zisizowezekana. Hawezi kuamini kirahisi kinachosemwa na Urusi na kukubali...
  12. MK254

    Wagner wamkamata mateka mojawapo wa wakuu wa jeshi la Urusi, yanafurahisha

    Vita vyaanza baina ya wanajeshi wa Urusi na wapiganaji wa Wagner, mbwa kala mbwa, yajayo yanafurahisha... The head of the Wagner Group, Yevgeny Prigozhin, has indicated the Russian army has killed some of his mercenaries. In what the British Ministry of Defence (MoD) called a feud of "an...
  13. jerrytz

    Operesheni ThunderBolt: Mkakati wa Kuokoa Mateka wa Israel Entebe - Uganda

    Ni Juni 27, mwaka 1976 majira ya saa 12.30 jioni; ndege ya Airbus A300 inayomilikiwa na shirika la ndege la Ufaransa (Air France) ndege namba AF139 ilipaa kutoka uwanja ndege wa Athens. Ndege hii ilitua katika uwanja Athens ikiwa safarini kutoka Tel Aviv Israel kuelekea Paris Ufaransa. Mpaka...
  14. L

    Uchaguzi Wa Viongozi Wa CCM Wateka Anga la Siasa za Tanzania, CHADEMA yashikwa Mateka

    Ndugu zangu CCM imeonesha umwamba wake wa siasa za hapa Tanzania,imeonesha kuwa ndio chama kikubwa na chenye ushawishi hapa Tanzania, imeonesha namna CCM ilivyo na nguvu hapa nchini, Imeonesha misuli yake ya kisiasa, imeonesha namna kinavyokubalika na kupendwa na watanzania,imeonesha namna...
  15. JanguKamaJangu

    Nigeria: Wasichana waliotekwa miezi mitano iliyopita waachiwa huru baada ya familia kulipa pesa

    Wasichana hao katika Jimbo la Zamfara wamesema waliruhusiwa kuoga mara 5 tu ndani ya miezi mitano waliyokuwa mateka na tena hawakutakiwa kutumia sabuni. Watekaji walitishia kuwabadili wasichana hao kuwa sehemu ya kikosi chao kama hawatapata malipo. Mamlaka zimetangaza kuwa mateka hao...
  16. MK254

    Raia wa Urusi wakerwa na kitendo cha kubadilishana mateka wa Ukraine 215 kwa Warusi 50

    Urusi wameachia makomando wakiwemo wale wa Marioupol 215 ili kubadilisha na Warusi 50, raia wa Urusi wamekerwa sana yaani nchi yao imefika mpaka kwenye kudhalilika kiasi hiki..... Aprisoner exchange between Russia and Ukraine that included senior Ukrainian commanders was hailed as a victory by...
  17. BARD AI

    Mwanafunzi wa Kenya aliyewekwa mateka Saudi Arabia aachiwa

    Mbunge wa Kimilili Didmus Barasa amesema Diana Chepkemoi, ambaye alikuwa amezuiliwa ndani kinyume na matakwa yake huko Riyadh, ameachiwa baada ya juhudi za viongozi na baadhi ya raia wa Kenya Aida ameongeza kuwa mwanafunzi huyo wa Chuo Kikuu ambaye alikuwa akifanya kazi za ndani amepelekwa...
Back
Top Bottom