mateka

Mateka is a settlement in Kenya's Bungoma County.

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    Hamas wasema hakuna kusitisha vita kwa kubadilishana mateka. Wanachotaka ni vita visimame kuwaachia mateka

    Hamas pamoja na kuendelea na vita kwa mwezi wa tatu bado wako makini vichwani mwao kuhusiana na hadaa zozote dhidi yao. Rais Isaac Hezrog wa Israel akizungumza na mabalozi wa nchi 85 jana aliwaahidi kwamba nchi yake inaendelea na mazungumzo ili kuongeza kiwango cha misaada inayoingia Gaza na...
  2. MK254

    Licha ya ushabiki wangu kwa Israel, ila hili la kuua kila kitu kunasababisha wanaua hadi mateka, hapana

    Yaani wanafyatua chochote kinachopumua, inaonekana jamaa hawana haja tena na hao mateka, wanaua tu chochote, dah! HAMAS popote walipo lazima imeshawaingia akilini hamna pakutokea ila kifo......kwamba hapa hata wakisema wako tayari kupokeza mateka hawatasklizwa. Israeli hostages killed...
  3. Ritz

    Maandamano makubwa Tel Aviv, baada ya Wanajeshi wa IDF kuwaua mateka watatu huko Gaza

    Wanaukumbi. Maandamano makubwa huko Tel Aviv Israel. Wananchi wa Israel wanapiga kwa nini jeshi la nchi yao limewaua mateka wao, Wananchi wanahoji kwa nini waliwapiga risasi wakati hawakuwa na silaha… Wananchi wa Israel wanaitaka mateka warudia wakiwa hai...
  4. Ritz

    IDF imewapiga risasi mateka 3 na kuwauwa huko Gaza, wanasema bahati mbaya.

    Wanaukumbi. Hagari anasema IDF inawajibika kwa "tukio hilo la kusikitisha." "Hili ni eneo ambalo wanajeshi walikumbana na magaidi wengi, wakiwemo washambuliaji wa kujitoa mhanga," anaongeza. Hagari anawataja mateka hao kuwa ni Yotam Haim, ambaye alitekwa nyara na Hamas kutoka Kfar Aza, na...
  5. Ritz

    HAMAS yasema hakuna mateka atakayeondoka Gaza akiwa hai hadi matakwa yake yatakapotimizwa

    Wanaukumbi. Hamas imeonya kuwa hakuna mateka atakayeondoka Gaza akiwa hai hadi pale matakwa yake yatakapotimizwa. "Hakuna adui wa kiyahudi na uongozi wake wa kiburi... wala wafuasi walio nyuma yao ... wanaweza kuwachukua wafungwa wao wakiwa hai bila kubadilishana, kujadiliana na kukubaliana na...
  6. MK254

    Baada ya Netanyahu kumkaripia Putin, Urusi yatoa amri HAMAS waachie mateka

    Jana Netanyahu aliongea na Putin kuhusu hali ya Gaza na akawa mkali kwa Putin kwa namna anavyotetereka kwenye hili suala. Leo naibu waziri wa masuala ya kigeni wa Urusi ameongea na wakuu wa HAMAS na kutoa amri waachie mateka ili Israel isitishe mapigo. Sasa sijui Waarabu watamlilia nani maana...
  7. MK254

    Hamas waomba ubadilishanaji wa mateka tena

    Kitu ambacho sielewi, hawa HAMAS wanapata faida gani kwa Gaza kufutwa kisa tu wapewe wafungwa wao huku hao HAMAS wakiachia mateka. Mpaka sasa vifo vya Wapalestina vinaelekea kugonga 20,000. Sasa hata hao wafungwa wakiachiwa, wanarudi nyumbani ipi maana pale pamekua shamba. Hata hivyo kuna...
  8. MK254

    Mnaoshabikia HAMAS mfahamu walikamata hadi Waarabu mateka

    Huyu Bilal, dogo muarabu ambaye alikua mateka wa HAMAS, anaeleza jinsi walikamatwa mateka na namna walijaribu kujitetea kuwa wao ni waarabu, ila HAMAS hawakujali, walimkamata yeye na dadake Aisha na familia yote. Kati ya familia yake, yeye tu na Aisha ndio wameachiwa, wengine wote bado...
  9. Webabu

    Hamas yasema hakuna mateka atakayeondoka akiwa hai bila matakwa yao kutimizwa

    Israel imechagua kupigana na kundi ambalo lina hamas za vita hawajapata kufikiria. Kundi la Hamas limetoa ahadhi kuwa katika juhudi za Israel kutaka kuwaokoa mateka waliobaki basi ijue kuwa hakuna mateka hata mmoja atakayeokolewa na kuondoka akiwa hai. Mfano halisi ni kijana Sahar Baruch, 25...
  10. B

    Waliokuwa mateka Gaza wamuumbua Netanyahu

    Ama kweli la kuvunda halina ubani. Yamesikika mengi kuhusu ugaidi na ufwedhuli wa wapalestina na HAMAS. Kwamba HAMAS ni wauaji, wabakaji, magaidi, wenye kutumia mahospitali kama vituo vya kijeshi, wanyama wasiostahili kuishi duniani na eti kuwa walaumiwe wao kwa vita hivi huko Gaza. Kwenye...
  11. Ritz

    Netanyahu, kawambia familia za Mateka wa Israeli: Sitaweza kuwarudisha Mateka baada ya Hamas kukataa mazungumzo

    Wanaukumbi. Netanyahu to the Israeli prisoners’ families: I will not be able to return them all, and the families left the meeting angry. Sources: Hebrew Channel 12, Al Jazeera. 🚨🇵🇸 Hamas RESPONDS to NETANYAHU: "There will be no negotiations or exchange of detainees until Israel’s...
  12. Webabu

    Israel yakiri Iron Dome zimeshindwa kuzuia maroketi kutoka Gaza kutua Tel Aviv. Hii ni baada ya ukimya wa siku 7 kubadilishana mateka

    Tangu vita vianze upya baada ya ukimya wa siku 7 wakati wa kubadilishana mateka Hamas imeendelea kurusha maroketi ya masafa marefu kutokea ndani ya Gaza ambayo yanaufikia mji mkuu wa Israel wa Tel Aviv. Kwa mujibu wa Allan Fisher ,mpashaji habari wa aljazeera makombora kadhaa yaliyorushwa hapo...
  13. Abtali mwerevu

    Dora Block: Mateka wa Israel Aliyesahaulika Entebbe

    Jina ni Dora Bloch na siyo Dora Block kama ilivyoandikwa katika kichwa cha habari hapo juu. Na: Mwalimu Makoba Mapema tarehe 28 mwezi Juni mwaka 1976, ndege ya Air France ilitekwa na kikundi cha Popular Front for the Liberation of Palestine na kuilazimisha ndege hiyo itue katika uwanja wa...
  14. MK254

    Netanyahu asema hamna chochote kitazuia mapigo, hata warejeshwe mateka wote

    Kwa kifupi, hili la kurejesha mateka ni namna tu ya kuwapa HAMAS fursa ya kupumua, ila mapumziko kamili ni akhera kule kwa mabikira, kipigo kiko pale pale. =================...
  15. M

    Mwanamama mateka wa Kiisrael mateka wa Hamas, aandika barua kuwashukuru Hamas kwa wema wao na asema anatarajia urafiki wao utaendelea

    Katika hali ya kustaajabisha, mateka wanaohojiwa wamekuwa wakiwashukuru Hamas kwa junsi walivyokuwa wakiwatreat vizuri. Hali hii imepelekea mamlaka za Israel kuwapiga biti mateka kuwa wakae kimya kuhusu jambo hilo la sivyo watanyamazishwa. Alianza bibi mmoja mzee wa Kiyahudi akielezea jinsi...
  16. Zanzibar-ASP

    Hamas waliobakia wanapaswa kutumia hii fursa ya kuachiliwa mateka na wao kujisalimisha, wasisubiri kuangamizwa!

    Ni fursa adimu sana jeshi la Israel limetoa la kusimamisha vita kwa siku chache ili kupisha zoezi la kubadilishana mateka na kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingiza Gaza kabla ya zoezi la mashambulizi mazito kuendelea mbele ili kuhakikisha hakuna punje inayoitwa Hamas inabakia Gaza. Kama Hamas...
  17. Ritz

    IDF, walituamisha Mateka Gaza wapo kwenye Mahandaki, mateka anasema walikuwa wanakaa kwenye nyumba

    Wanaukumbi. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilisema kuwa Hamas imewaficha mateka kwenye mahandaki kumbe ni uongo baada ya kushindwa kujua walipo mateka wakaamua kudanganya, kumbe mateka wote wanaishi kwenye nyumba za kawaida majigambo mengi wanaenda kuwaokoa mateka wameishia kuwauwa watoto...
  18. S

    Sikio la kufa halisikii dawa: Mtuhumiwa na watu wake wadaiwa kusambaza video ya Pauline akimuhoji kijana husika

    Kwa mshangao mkubwa, nimeoni picha ya kijana husika kwenye clip akihojiwa na mwanamke anaetajwa kuwa ni Pauline (haonekani katika video) na kwa maelezo ni kuwa clip hiyo yenye kuonyesha sura ya huyo kijana akihojiwa na Pauline imesambazwa na Pauline na watu wake. Sasa huku sio ndio kujimaliza...
  19. M

    Hamas yawakabidhi mateka Kaskazini mwa Gaza ambapo majeshi ya Isreal yadai yameuteka. Isreal washangaa yanayotokea

    Al Jazeera:Al-Qassam Brigades handed over prisoners in the northern Gaza Strip with the population, confirming Israeli statements that Israel has lost control of the northern Gaza Strip.(Israel had declared the northern area a dangerous war zone and banned the passage of civilians) Juzi na jana...
  20. Webabu

    Mateka wa Tanzania kutoachiwa mapema kuna kosa tumefanya

    Kama inavyojulikana kuwa mateka wa nchi za nje huwa wanaachiwa tu kwa kushtukiz kwani Hamas hawakuwaingiza kwenye mashari yao ya kusitishwa vita, Siku mbili za mwanzo wameachiwa waisrael wengi wao wakiwa ni akinamama na watoto.Pamoja nao walitolewa mateka kikundi kutoka Thailand.Katika orodha ya...
Back
Top Bottom