Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH"
watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya...
Wakati ambao Israel wako tayari kugharimika ili kupata watu wake kwa hali na mali kuna jamaa fulani wa itikadi ya kitapeli wanaruhusu watu kuoa watoto hadi wa miaka 9.
===
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema malipo ya dola milioni 5 (TSh. 13,232,176,000) yatatolewa kwa mtu...
Wadau hamjamboni nyote?
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel:
November 1, 2024
Germany urges citizens to leave Iran due to risk of hostage taking
By Reuters
Today, 1:10 pm
BERLIN, Germany — Germany has long had a travel warning for Iran and asked nationals to leave...
Benjamin Netanyahu alidhani kuwa kuendelea kuuaua watu, umwaga damu za watoto basi itakuwa Kinga kwake ya kuwaconvince waisrael kuwa ni waziri mkuu mzuri.
Lakini maelfu ya waisraeli wameendelea kuandamana kumtaka ang'oke. Hawako impressed na muenendo wake wa kiuongozi.
Baada ya Kuona raia...
Wadau hamjamboni nyote?
Hamas nyoosheni mikono mjisalimishe!
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
---
Gallant calls on Hamas fighters to surrender, release hostages following Sinwar killing
Defense Minister Yoav Gallant calls on Hamas fighters to release the hostages and surrender following...
Habari za jioni!
Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi.
Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki kuwakomboa.
Yaani wajue Viongozi wa Hezbollah na Hammas lakini Mateka anhaa!
Hiyo vita hapo...
Riasi huyo amesema Israel sio iliyotaka vita hivi na kwamba dunia ni lazima iwe pamoja nao kusaidia kuwashinda Hamas na kuwarudisha mateka wao nyumbani wakiwa salama.
Salamu hizo kwa dunia nzima kutoka kwa raisi huyo zimetolewa wakati ambapo vita hivyo vinakaribia kutiimima mwaka mmoja na huku...
Wanaukumbi.
Video hii ilitolewa mwezi Aprili na Hamas ikiwa na ujumbe ufuatao, kutoka mwa mateka wa Israel kwa kwa serikali ya Israel
"Fanya kile kinachotarajiwa kwako na uturudishe nyumbani mara moja, au hii imekuwa kubwa sana kwako?"
Baada ya muda huyo mateka na wenzake 5 waliuliwa na IDF...
Mateka wa Israel aliyetajwa kwa mbwembwe nyingi kwamba aliokolewa hapo juzi amekuwa kama yule bibi wa kifaransa aliyeachiliwa huru na wanamgambo wa Mali miaka miwili iliyopita.Bibi huyo alimfanya Macron afupishe muda wa kumpokea uwanjani pale alipowasifia wanamgambo wa Mali na kuahidi kurudi...
Jamaa walipitia mateso sana, ila ingekua vizuri Israel ikawakagua kwa karibu na kuwafuatilia isijetokea walisilimishwa na kuwa misukule ya dini ile ambapo wanaweza wakajilipua humo humo Israel.
Mtu akishajiunga ule ushetani akili humhama, uzalendo unamtoka, atasahau hata wazazi na taifa lake...
Hivi kama shida yenu huwa Marekani na Israel, hawa Warusi mumewashikilia kwanini, ukizingatia Urusi huwashobokea hususan kwa kubwa la magaid yenu Iran.
==============
June 11 (Reuters) - Russia's Human Rights Commissioner said on Tuesday she had issued a fresh appeal to senior U.N. and other...
Taarifa zaidi za operesheni ya kuokoa mateka 4 wa Israel zimezidi kutoka na kuonesha ilikuwa ni shughuli mbaya ya uokoaji iliyosababisha vifo vya watu 274. Wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto na hata kama kulikuwa na Hamas kadhaa tukio hilo limelaaniwa na mataifa kadhaa na kuliona...
Israel inaposhangilia kuokolewa kwa mateka 4 huku 4 wengine wakishindikana na kufa pamoja na raia 274 ni tangazo la kusema vita dhidi ya Hamas ni vigumu mno.
Mateka hao wamepatikana kwa msaada wa askari wa Marekani waliopo Gaza na wenzao wa kiyahudi waliojifanya kama wahamiaji kutoka Rafah...
Masharti ya HAMAS yalikua kwamba kwa kila mateka waliyemshikilia, watamuachia iwapo watapewa magaidi wao 50 walio kwenye magereza ya Israel, sasa hapo wamepoteza wafungwa wanne, hiyo ina maana magaidi 200 wataendelea kuozea Israel.
Mpaka leo sijakaa nielewe faida gani HAMAS walikusudia kwenye...
Bodies of 3 hostages recovered from Gaza
IDF, Shin Bet, locate and recover bodies of Michel Nisenbaum, Hanan Yablonka, and Orion Hernandez Radoux, who were murdered on October 7.
The bodies of three, hostages Hanan Yablonka, Michel Nisenbaum, and Orion Hernandez Radoux, were rescued overnight...
Jeshi la IDF linaendelea na Kazi ya kutafuta Mateka kila kona ya mji wa Rafah.. mwendo ni kata funua hadi kieleweke.
Masikitiko sana kupata Mateka wakiwa hai.. South Africa na Uturuki wanaona aibu tu na watakuja kujutia upumbavu wao. Aljazeera wagoma kuandika Habari. hahaha
Msemaji wa IDF...
Wanakumbi.
🚨🇮🇱🇵🇸HAMAS: TUNAWASHIKILIA MAAFISA 30 WA ISRAELI "MAHALI SALAMA"
Madai yao yameibua wasiwasi kwamba baadhi ya mateka huenda walisafirishwa kutoka Gaza hadi Sinai nchini Misri ili kuzuia kuachiliwa kwao wakati wa mashambulizi ya ardhini ya Israel huko Rafah.
Hamas pia walisema...
Kisa cha vikosi vilivyokwenda Entebe nchini Ugana kuokoa mateka wa Israel ni maarufu sana katika historia za kishujaa ulimwenguni na kusimulia ubora wa kivita wa Israel.
Vikosi kama hivyo vimesambazwa kote Gaza lakini havijaweza kufanya lolote na imeripotiwa makamanda wake kadhaa wameuliwa na...
Katika mazungumzo yanayoendelea nchini Misri ili vita visitishwe,Hamas imeweka wazi kuwa hawana mateka 40 kwa vigezo vya Israel inaotakiwa iwasalimishe.
Mateka hao wa mwanzo kati ya mia na kitu iliobaki nao, katika mazungumzo hayo ilitakiwa wawe ni akina mama na watoto,wazee na wagonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.