Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini
Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu.
Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani, mawazo, ya watu wengine
Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema watu wengi wamehama Zanzibar kwa sababu ya Dhiki, Mateso na Dhulma wanazofanyiwa na baadhi ya Watawala.
Soma:
==> Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo Othman Masoud kesho...
Nimetafakari sana hizi foleni za kuweka gas naona kama kuna hujuma za wauza mafuta, iweje mpaka sasa tuwe na vituo vitatu tu.
Sio kwamba upatikanaji wa gas kwa wingi unaathiri uuzwaji wa mafuta!?
Wakuu habarini!!! Kuna binti nipo nae ila nafsi inampenda ila akili haitaki cz sio mweupe. Yaan hisia hizi zinanipelekesha sana nashindwa nimuachaje na amenipenda pia ila ndoivo niliapaga ntaoa bint mweupe
Ni Mwendo wa takribani kilomita 16 nilipoianza safari mimi na abiria wenzangu kutoka mjini Mwanza kwenda Igombe, Kata ya Bugogwa, iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, mkoani Mwanza.
Tunasafiri kwa dakika kadhaa na kufika stendi ya Igombe, nashuka na kusogea katika maegesho ya pikipiki...
Prof. Suleiman Daudi alikuwa genius sana. Aliweza kugundua vitu vya deep sana.
Ukigundua alichokuwa anamaanisha Professor Solomon hapa utapunguza 50% -75% ya changamoto zako.
"Tunaomba mtusaidie kunusuru maisha ya watoto wetu hii shule ni kama imegeuzwa Kambi ya mateso kwa watoto wetu".
Hii ni kauli ya mmoja wa wazazi wenye watoto katika shule ya sekondari Wali iliyopo wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.
Shule hiyo inamilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha...
Mpaka sasa hivi namba za Wapelestina waliouawa zinakaribia 40,000 na bado wanauawa kila siku, ilhali wanaosababisha yote hayo bado wameshupaza shingo, wameshikilia mateka watoto wa Wayahudi huku wakiendelea kuongeza masharti na pia wenyewe kuuawa.
Gaza yote imefanywa shamba.....na bado...
Inasemekana, magereza ya Tanzania ni tofauti sana na ya Ulaya na nchi zingine "zilizostaarabika". Mfungwa wa Ulaya hukoseshwa uhuru tu wakati wa Tanzania hunyimwa karibia kila kitu: uhuru na mahitaji mengine muhimu ya kumwezesha kuishi kama binadamu wa kawaida.
Inasekana, magereza ya Tanzania...
Hasa ukiwa kwenye chama cha siasa ambacho ni dhaifu na kisicho na uelekeo, sera wala mipango itakayowavutia wananchi kukiamini, kukuunga mkono na kukichagua kuongoza.
Ni mateso kuishi na kufanya kazi ya siasa kwenye, Chama cha siasa cha upinzani ambacho hata viongozi wake waandamizi...
MAMBO AMBAYO WANAUME TUNAKOSEA NA KUJIKUTA KATIKA MAHUSIANO/ NDOA INAYOKUTESA
Na Comrade Ally Maftah
Leo nime wiwa kugusia mambo ambayo wanaume tunayakosea na kujikuta kwenye mahusiano ya mateso au ndoa zinazovunjika na kutuacha na majuto.
1. KUANZISHA MAHUSIANA NA MWANAMKE ALIYEKUWA KWENYE...
Tumepiga kelele, tukamuomba, aache kuwaumiza wamasai kuwatoa kwenye ardhi yao. Kuuza rasilimali zetu kwa waarabu.
CCM, watanganyika wenzetu kwa kutetea matumbo yao wamepitisha sheria za hovyo as long as wanashiba na familia zao. WANAMPA SAPOTI SAMIA AUZE TANGANYIKA WHILE ZANZIBAR REMAINS...
Kuna mtu aliwahi kunipa stori za maisha yake akiwa na pesa na akiwa hana.
Alinambia kua wakati yeye yuko fiti kiuchumi alikua anawashangaa wanaolalamika kwamba maisha magumu hawana chochote.
Baada ya miaka kadhaa nayeye akafulia, Sasa kwake ilikua ni hatari akawa anajiuliza kwamba hivi hata...
Baada ya maji kuwasomba watoto na kuwauwa kule Arusha nilijua serikali ingeona nini kitatokea, na sasa wanasema itachukua wiki mbili kunyesha kwa kiwango kikubwa namna hii na watoto wa kitanzania wanasota huku wale wa nchi za jirani wamesitisha ukatili huu kwa muda
Ukiwa njiani unawaona watoto...
Kuna wakati ukizoea sana shida huwa unaacha kuichukulia kama shida ila inageuka kuwa kama maisha ya kawaida.
Kwenye majiji makubwa hasa Dar, Dodoma Mwanza Mbeya na Arusha majira ya asubuhi na jioni wananchi hupata mateso makubwa sana wanapohitaji kusafiri Kwa kutumia daladala.
Licha ya kuwa...
Naomba ujumbe huu uwafikie Viongozi wetu wa huku kwetu Goba Matosa Uzaramuni kuna changamoto ya Barabara ya Kawawa (Kawawa Road) imeharibika kwa kiwango kikubwa.
Huu ni mwezi wa nne tangu hali iwe mbaya zaidi, kila kiongozi anayekuja kazi yake ni kupiga picha na kuondoka lakini utekelezaji ni...
Anonymous
Thread
barabara
goba
kawawa
makali
mateso
ubovu
ubovu wa barabara
wananchi
Makamo wa raisi wa Marekani Kamala Harris ameibuka kutoa kauli kauli kuilani Israel kwa jinsi inavyoua na kutesa watu wa Gaza bila sababu za msingi.
Katika karipio lake ametumia neno kusitisha vita moja kwa moja badala ya maneno mengine ya mzinguka kutaka matekan na vitu vyengine vidogo vidogo...
Wafanyabiashara wa Tanzania , hasa wale wanaouza sukari ni kama Watumwa wa serikali , ni watu ambao wamekubali pia kuwa Watumwa , haijulikani sababu hasa ya wao kukubali kuwa mbuzi wa Kafara (Binafsi nisingekubali hata kwa Bunduki)
Ikiwa kama uzalishaji wa sukari umeshindikana kwa sababu...
Hakuna mwanadamu asie kuwa na changamoto. Asilimia kubwa ya watu duniani tunapitia matatizo makubwa mbali mbali ila kuna wale watu ambao utafikiri furaha hata robo sio ridhiki kwao.
Unaweza mkuta mmama, mwenye hurka ya kuishi vyema na watu lakini anapitia mateso kutoka kwa mme wake, wifi zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.