mateso

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Tusifanye shule sehemu ya mateso, chakula shuleni ni jambo la lazima na la muhimu ambalo limetelekezwa na Serikali

    Ili watoto wadogo wa shule za msingi na wenzao wa Sekondari waweze kusoma kwa ufanisi ni lazima wawe wameshiba vizuri. Mwanafunzi anayesoma akiwa na njaa hawezi kuelewa chochote na zaidi sana ataona shule ni sehemu ya mateso. Chakula bora kwa wakati katika hatua za awali za ukuaji wa mtoto ni...
  2. BAVICHA Taifa

    Mateso ya Mdude Nyagali ndani ya kuta za Gereza la Ruanda

    Na John Pambalu Mara milango ya gereza ikafunguliwa. Askari akasisitiza acheni simu zenu na Muingie watu 4 tu. Tukaambatana na viongozi wawili wa chama wilaya ya Mbeya mjini, mimi pamoja na Kamanda Mwaipaya tukaingia ndani ya lango la Gereza. Mwenyekiti umekuja?. Ilikuwa sauti ya Mdude...
  3. Expensive life

    Goli la mateso!!

    Kiungo msambuliaji wa Simba SC (fundi) Chama Jr, ameibuka mchezi bora wa CAF Champions League raundi ya tano kwa kishindo, baada ya kumpatia mateso ya hali ya juu golikipa wa as vita club ya kongo.
  4. NostradamusEstrademe

    Mateso wanayopata wastaafu

    Mtu aliyezaliwa mwaka 1959 kwa sasa ana miaka 62. Kama alianza kidato cha kwanza mwaka 1975 ina maana amemaliza kidato cha nne mwaka1978. Kama amesoma kozi mathalani ya uuguzi kwa miaka minne maana yake amemaliza1982. Ajira ameanza mwaka1983. Ukipiga hesabu hapo hadi mwaka 2019 atakuwa...
  5. S

    Rais Samia Suluhu tupunguzie mateso, tumecheleweshwa sana ajira mpya

    "SIKIA SAUTI YA WANYONGE': Tangu awamu ya mheshimiwa hayati Magufuli ilipoanza,mfumo wa ajira ulipinduliwa. Tulikuwa tunategemea kila mwaka ajira zipo hasa kwa idara ya afya,walimu, na kilimo na mifugo. Tangu mwaka 2015,tupo mtaani tunahangaika,Tena sisi wanufaika wa HESLB tunazalishiwa deni...
  6. Da Vinci XV

    George Stinney: Kijana mdogo mweusi kuhukumiwa kuuawa kwa mateso makali

    George Stinney Junior alikuwa na umri wa miaka 14 tu wakati korti ya South Carolina ilimhukumu kifo. Aliuawa siku tarehe, 16 Juni, mnamo 1944, kijana wa mweusi mmarekani alikuwa mtu mdogo kabisa kuuawa na serikali ya Marekani karne iliyopita. Mvulana mdogo mweusi alihukumiwa juu ya mauaji ya...
  7. Mu7

    Nateseka sana na complicated U.T.I. Naelekea kukata tamaa, nisaidieni niondokane na mateso haya

    Habari za leo wapendwa? Mwenzenu niko njia panda hata future yangu siioni! Kwa ujumla naelekea kukata tamaa kabisa. Mimi ni mgonjwa, nahitaji ufumbuzi wa tatizo langu lakini pamoja na juhudi zote mpaka sasa sijapata mwanga nalimalizaje mie! Ni mwaka sasa tangu nimeanza kuteseka na tatizo hili...
  8. S

    Tanzania raha sana ila mauaji na mateso wakati wa uchaguzi yanatuharibia aina ya maisha yetu

    Wacheni masihara Tanzania kama Tanzania ina maisha ya raha yaliyojaa undugu baina ya watu wa rika mbalimbali, matajiri na masikini alie na kazi na asie na kazi, kwa kweli tumeridhika na hali zetu kama nchi na raia wake. Tulizoea uchaguzi kama moja ya starehe za ndani ya nchi kwa miaka kumi au...
  9. M

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mikoa ya Kigoma na Kagera

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu Jana ameingia Kigoma kwa kishindo kikuu. Alilakiwa na Maelfu Elfu ya watu waliojipanga majiani huku wakitandika mikeka chini shujaa huyo wa karne hii apite juu yake. Akihutubia umati mkubwa unaokadiriwa kuwa na watu zaidi ya Elfu 30 katika...
  10. Sky Eclat

    Kitambulisho cha Mjasiriamali kilivyoleta mateso katika jamii

    Ndugu yangu ni mkulima wa jembe la mkono. Analima shamba lake na analimia watu ili kupata pesa ya sukari na sabuni. Kuna siku kazi za kulimia watu zinakosekana. Ikifika hali hii mke wake anadamka alfajiri kuwahi soko la matunda. Ananunua ndizi na machungwa anatembeza kwenye beseni lake...
  11. Fundi Madirisha

    Uchaguzi 2020 Kuichagua CCM ni kuchagua mateso makubwa

    Kuchagua CCM ni kuwafungia zigo la mateso makubwa Wananchi. Ni kuchagua maumivu makubwa kwa Watanzania ni lazima tuwe makini zaidi. 1. Kuchagua CCM ni kuchagua watu kuendelea kupotea bila kujua walipo, ni kuchagua watu kuendelea kupigwa risasi na wasiojulikana bila kuwajua ni kina nani. 2...
  12. Pascal Mayalla

    Uchaguzi 2020 Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

    Wanabodi, Mimi ni mkazi wa Kawe, kwa vile sasa tuko kwenye kampeni za uchaguzi, ili tumtendee haki Mbunge wetu aliyemaliza muda wake, Mhe. Halima Mdee, ambaye, baada ya kuwa Mbunge wa Kawe kwa vipindi viwili mfululizo, na sasa anaomba tena tumchague, hivyo nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza...
  13. S

    Hivi ndivyo baadhi ya wabunge wa upinzani wanavyochukuliwa na jamii baada ya miaka karibu mitano ya shida na mateso

    Chanzo:Tony Alfred on twitter. Maoni yangu: Kuna mtu/watu watakuwa wanajisikia vibaya sana kusoma tweet hizi(maneno haya) na wajue tu watakumbukwa kwa matendo yao na si kwa structures watazotuachia kwani wako wengine watakaoikuja kujenga structures zingine bora zaidi kama ambavyo wao sasa...
  14. mgt software

    Mwezi wa saba, mwezi wa mateso, karaha, mauji , chuki kila baada ya miaka mitano

    Wana jamvi, Kila baada ya miaka mitano, mwezi wa vituko unaanza, tunaanza na mipango ya bajeti mpya ambayo hatujui atayeitumia ni nani? Au atayeisimamia ni nani, tukiwa kwenye ombwe LA uchaguzi ni shuhuda nyingi tutazipata baada ya kura za maoni, itatokea chuki kubwa kati ya wapenda madaraka na...
  15. Heci

    Mfahamu Mateso, mtu mwema wa Msasani aliyeuawa kwenye tukio la ujambazi Mikocheni jirani na Coca-Cola

    Mateso au Meshach, mkazi wa Msasani mtaa wa Mikoroshoni, unashuka pale General Tyre, ulizia kwa John muuzà duka ambalo pia ni genge na bar. Kiji bar cha John kinakesha 24/7, Msasani ikilala, kwa John pako live. Kwenye kijiwe hiki ndio watendakazi wote wa Msasani hunywa wakikosa wateja...
  16. tzkwanza

    Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman

    Serikali kupitia balozi za Oman na Saudi Arabia, muwe na vikao vya mara kwa mara na Watanzania waishio huko, wengi wanateswa na kuuawa pasipo msaada wowote kutoka Balozi zetu. Muwe mnafanya vikao angalau mara mbili kwa mwaka, ili mjue changamoto mbalimbali wanazopitia watu wenu. Nina uhakika...
  17. Suprise

    Jinsi ya kumlea mtoto wa mme

    Morning. Naombeni ushauri jamani, mme wangu ana baby boy umri yapata miaka 3 kutoka kwa X wake. Naomba ushauri kwani nawaza mtoto aendelee kukaa kwa mama yake huku akiomba matunzo ya baba hapa naogopa mawasiliano ya moja kwa moja na mume wangu au tumchukue tuje kuishi nae nikiwa mama mlezi...
Back
Top Bottom