Siku hizi zile foleni za kungojea mafiga kwenye nyumba za kupanga zimepungua sana. Siku hizi wengi wana majiko ya gas chumbani. Kwa kweli yanasaidia sana kuokoa misitu, kurahisisha maisha. Hata hivyo joto unalopambana nalo kwenye chumba wakati unapika ni kadhia nyingine.
Unaishi kwenye chumba...
Baadhi ya viongozi wenye maamuzi wanadhani hii nchi ni mali ya CCM.
Hii nchi ni mali ya Watanzania wote bila kujali itikadi za vyama ndiyo maana wakati wa kulipa kodi tunalipa wote bila kujali itikadi.
Mojawapo ya matukio yaliyosikitisha ni jinsi Mh Lema alivyofanyiwa ukatili akiwa kwenye...
Adamoo na wenzake ni makomandoo waliohitimu. Kwa taarifa zilizopo mafunzo ya ukomandoo siyo mchezo.
Ilikuwaje wakanyong'onyezwa na mateso ya polisi yakiwemo kunyimwa chakula, kufungwa kitambaa machoni na kutishwa na bastola iliyoko kiunoni mwa polisi mpaka wakasema wasiyopaswa kusema.
Kama...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema watuhumiwa wanatakiwa kuheshimiwa na kutendewa haki kama watu wasio na hatia mpaka itakapobainika vinginevyo.
IGP Sirro alitoa kauli hiyo jana, wakati akifunga mafunzo yaliyoandaliwa na Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN-Women)...
Viwango Vya Mshahara Wa Walimu 2021/2022 | Teachers Salary Scale Range
New Government Salary Scales: Approved
TGTS B1 = 419,000/- and TGTS C1 = 530,000/-
TGTS D1 = 716,000/- and TGTS E1 = 940,000/-
TGTS F1 = 1,235,000/- and TGTS G1 = 1,600,000/-
TGTS H1 = 2,091,000/- and TGTS I = 2,810,000/-...
Sisi tunaamini kwamba baada ya muda mfupi ujao tutatwaa madaraka ya nchi yetu kwa njia ya halali kabisa, ninamaanisha kwamba tutaiondoa CCM madarakani na kuchukua uongozi wa nchi hii huku wananchi wakishangilia sana kwa kumshinda Mkoloni mweusi nchi nzima, hili halipingiki, kama ulikuwa hujui...
Siku ya Alhamisi Waziri wa tamisemi alitoa kauli ya kuisitisha uhamisho wa watumishi walioko chini ya Wizara yake (TAMISEMI) Ila akasisitiza labda mtu akitaka toka mjini kwenda Kijiji ndiye anayerusiwa kupata kibali Cha kuhama.
Swali langu je kuhama si ni haki ya kila mtumishi? Siyo kila mtu...
Binafsi mimi ni kijana mdogo sana. Naomba nisema Mh. Rais Samia shikamoo.
Mh. Rais nasikitishwa na mateso anayopitia mzee Mbowe kwa baraka za utawala wako, sikudhani wewe ungekuja kuongeza mikanganyiko ya kisiasa nchini.
Naomba ujiulize maswali yafuatayo kisha ufanye yakupendezayo mama angu...
Shauri dogo ndani ya shauri lilopo sasa hivi linatokana na utata kuwa je mshitakiwa wa pili Adamoo alitoa maelezo yake kwa mujibu wa sheria?
Kuna tashwishi kuhusiana na maelezo ya mshitakiwa huyu kuwa aliteswa au hakuteswa kwenye kupelekea kuwapo kwa maelezo yake.
Je kulikuwa na shinikizo...
Kwa ufupi sana:
Kama nyie ndio wasimamizi wa jeshi letu la polisi:
Je:
1. Inaruhusiwa kwa muhusika wa uhalifu kuteswa ili akiri makosa?
Mumuvue nguo, Mumning'inize kama popo, mchukue hela zake, mumuchome bibisi, je hii inaruhusiwa na kwa sheria gani, hebu tuambieni?
2. Makomandoo wameenda...
Baadhi ya Picha za makovu ya watuhumiwa wa Ugaidi wanaoshitakiwa pamoja na Mbowe zimeanza kuonekana hadharani, hawa watu waliteswa kinyama! Hii nchi haikuwahi kufikia unyama kama huu , tena kwa tuhuma za uzushi zilizojaa uongo mtupu! kisa ni Kumkomoa Mbowe, Inasikitisha sana!
Tunaomba radhi...
Inashauriwa kuwa mara tu mwanamke apatapo mimba [ujauzito] aanze kuhudhuria kliniki kwa ajili ya kupatiwa vipimo, ushauri pamoja na kujua maendeleo ya mimba [ujauzito] wake kwa kuendelea kuhudhuria kliniki katika siku alizopangiwa hadi siku atakayo zaa [jifungua]. Binafsi ninaona kuwa utaratibu...
Kigezo cha Gari kuwa Dadadala ni lazima liwe Bovu? Nenda stendi zote, Dar, Dodoma, Arusha, ukiacha zile zinazofanya ruti ndefu lakini zingine zote magari ni mabovu kiasi ambacho zingine ukiwa ndani unaona chini.
Lakini sioni mammlaka husika zikifanya kazi yake.
Zamani kwa mabasi yalikuwa...
Jamaa wamepata mzuka na kulianzisha upya. Wanajilipua kwenye masoko na ndani ya kandamnasi, haya mafundisho ya kidini yataitesa dunia.
========
Somali military officers on a street in the capital Mogadishu on April 25, 2021. PHOTO | AFP
At least two people were killed and five wounded...
Katika familia nyingi za kiafrika hasa ndani ya nchi yetu ya Tanzania, kuzaa watoto inachukuliwa kama baraka kubwa sana na hasa watoto hao wakiwa wa jinsia zote mbili, watoto wa wakiume na watoto wakike. Na hata inapotokea familia imepata watoto wote wa jinsia moja, wazazi huiona kama...
Hivi kwa malalamiko haya yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Tanzania tunadhani ipo siku Mama Samia ataweza kuwaletea Wananchi maendeleo? Watu wanakamatwa na kuwekwa maabusu bila hatia yoyote kwa maelekezo ya watu wanaokesha misikitini na makanisani, hatuoni Kama tunaliletea laana...
Ni ushauri wa muhimu.
Katika kazi niifanyayo kwa Sasa nimekutana na wakaka na wadada wenye tatizo la uzazi na unakuta washafunga ndoa.
Nikupe case study moja, Kuna afisa mmoja mkenya Ana pesa nzuri tu, kamtokea binti mrembo wa Kanda ya Kati, ndani ya wiki 2 wakafunga ndoa. Asee binti karudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.