"SIKIA SAUTI YA WANYONGE':
Tangu awamu ya mheshimiwa hayati Magufuli ilipoanza,mfumo wa ajira ulipinduliwa.
Tulikuwa tunategemea kila mwaka ajira zipo hasa kwa idara ya afya,walimu, na kilimo na mifugo.
Tangu mwaka 2015,tupo mtaani tunahangaika,Tena sisi wanufaika wa HESLB tunazalishiwa deni...