Wakuu,
Ngoja tuone hayo matamko ya CHADEMA na CCM yatakuja na kitu gani!
====
Rais na Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Sera za Kimataifa-Afrika (CIP-AFRICA), Mheshimiwa Balozi Omar Mjenga, amepongeza jinsi zoezi la uchaguzi mdogo limeendeshwa kwa utulivu na amani. Katika mazungumzo yake...
Wakuu,
Vibaraka wa kuonesha justification ya udhalimu umefanyika wanaendelea na kazi yao. Watu watatu chama kimoja wamepoteza maisha afu mnajifanya vipofu mambo yalikuwa shwari?
=====
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special...
Habari wakuu.
Katika kupitapita mtandaoni nikakutana na haya matokeo ya uchaguzi kwenye moja ya mitaa l, Wilaya ya Ubungo.
Nimeangalia naona kama namba sizielewi.
Labda nyie mnisaidie
Hiyo
Wakuu,
Matokeo ya jumla ya uchaguzi kutangazwa muda wowote kuanzia sasa.
Uandikishaji wa Wapiga Kura
Zoezi lolifanyika Octoba 11 mpaka 20, 2024 ambapo jumla ya wapiga kura Milioni 31,282,331 walijiandikisha, baada ya mapingamizi wananchi waliojiandikisha walikuwa Milioni 31,255,303
Kupiga...
Wakuu,
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya mji Makambako ambaye pia ni msimamizi wa uchaguzi Keneth Haule, amewapongeza wagombea wote walioshiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa jana November 27, kwa kuonesha utulivu.
Haule ameeleza hayo leo November 28, mara akiwa katika zoezi la...
Wakuu,
Msimamizi wa uchaguzi wa halmashauri ya Liwale, Tina Sekambo, ametangaza rasmi matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa leo, Novemba 28, 2024, ofisini kwake, mbele ya waandishi wa habari.
Katika taarifa yake, Sekambo ameleza kuwa halmashauri ya Liwale inajumla ya vijiji 76 na...
Wakuu,
Wananchi wa kata ya Ruaha Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wamefanya zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa Leo Novemba 28, 2024 baada ya zoezi hilo kuahirishwa siku ya jana kutokana na wananchi kuhofia uwepo wa askari wengi katika vituo hivyo vya kupigia kura.
Kupata taarifa na...
Wakuu,
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia Gidion Kefasi Siame (34) Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Momba na Fiston Alinoti Haonga (57) ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Jimbo la Momba CHADEMA wote Wakazi wa Kijiji cha Nakawale...
Wakuu,
Kwahiyo wamewapanga hawa waangalizi ili kujustify udhalimu wao! Mwakani hali itakuwa mbaya!
=====
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la FAOPA, Mtwara (Wadau wa masuala ya Demokrasia na Utawala Bora), Baltazar Komba amezungumzia mwenendo wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 akisema...
Wakuu,
CHADEMA, ACT hola? Wagombea walienguliwa wote au nini kimetokea?
CHAUMA upinzani anashinda anamshukuru Rais Samia kwa kushinda? CCM safari hii mmetisher!:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh:
=====
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimefanikiwa kupata ushindi katika nafasi ya...
Wakuu,
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Babati mjini Shaban Mpendu ameeleza uhalisia wa madai ya CHADEMA kuwa mawakala wake 63 waliondolewa kwenye vituo wakati wa upigaji kura.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha...
Wakuu,
Kuna vitu mpaka aibu unaona wewe! Useless kabisa!
Baadhi ya viongozi wa dini nchini wamesema kuwa wamebaini viashiri vya uwepo wa namba za simu za nje ya nchi zikihamasisha taarifa potofu kwa lengo la kuwagawa Watanzania, huku wakidai kuwa kuna watu ambao hawaitakii mema Tanzania...
VYAMA 14 vya siasa vimesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana ulikuwa huru na haki.
Aidha vyama hivyo vimeipongeza serikali chini ya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan, kwa maandalizi mazuri tangu mwanzo wa kupata wagombea, kampeni na upigaji kura.
Vyama hivyo vimetoa tamko hilo mapema...
Wakuu,
Wananchi tunaangusha hii nchi, kubaki kulalamika vitendo 0, ikifika muda wa kupiga haoooo tunaenda kupigia mifuko ya sukari na vitenge🤦♂️🤦♂️
====
Ni kweli kama maaskofu wa tanzania tumetoa matamko mengi, na hilo siyo jambo ambalo tunalifanya kwa kukurupuka, ni jambo ambalo...
Wakuu,
Askofu Mkuu Mstaafu wa Makanisa ya Elim Pentekoste Tanzania, Peter Konki, amehimiza wananchi kuendeleza umoja baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, na kuvitaka vyama vya upinzani kuendelea kujipanga ili kuongeza ushindani.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi...
Wakuu,
Askofu Mkuu Jimbo la Dar na Mwenyekiti wa Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania, Juda Thadeus Ruwa'ichi anatoa tamko sasa hivi kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, Katika mkutano na Wanahabari unafanyika kwenye viunga vya 'Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma Mji mpya...
Wakuu,
Imeelezwa kuwa sababu zilizopelekea kata ya Ruaha, jimbo la Mikumi, mkoani Morogoro yenye vijiji vinne (4) na vitongoji 21 kushindwa kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa hapo jana, Novemba 27.2024 badala yake kufanyika leo, Alhamisi Novemba 28.2024 ni kutokana na vurugu zilizoanzishwa...
Wakuu,
Kupitia ukurasa wa X Zitto Kaandikwa haya;
Kijiji cha Kiranjeranje kilichopo jimbo la kilwa kusini mkoani lindi,ACT Imeshinda kijiji na msimamizi aliamua kuwa atatangaza. Polisi wakamuambia maagizo hayako hivyo, yeye akasema tunatangaza matokeo kwa mujibu wa sheria na siyo maagizo...
Wakuu,
Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda Uenyekiti wa kijiji kwenye vijiji vya Ligoma, Chikomo, Mbesa na Amani vilivyopo kwenye jimbo la Tunduru Kusini, mkoani Ruvuma.
Ikumbukwe kuwa uchaguzi wa Serikali za mitaa umefanyika jana tarehe 27 Novemba, 2024 Tanzania bara.
Kupata taarifa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.