matokeo ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR Mambo Jambo

    Wakili Sweetbert Alipanga Kupinga Matokeo Ya Uchaguzi Kabla ya Uchaguzi Kufanyika Ushahidi upo kwenye Mdahalo wa Startv na Odemba

    Wakili Sweetbert Alipopatwa na Kigugumizi kuhusu Kukubali matokeo Inakupa Picha na Redflag kwamba Lazma angepinga matokeo ya Uchaguzi Hata kama utakuwa wa Haki.. Kasoro alizozitaja kisheria zinaitwa "de minimis non curat lex," ni kasoro ndogo ambazo haziwezi kubatilisha Uchaguzi hata kidogo...
  2. Nyendo

    Pre GE2025 Kumbukizi: Lusinde alivyosimulia Nape alivyochakachua kura ili Mkwe wake ashinde

    Nilianza kupata mashaka urafiki wa Nape na Kinana siku ya uchaguzi wa wa wabunge wa Afrika Mashariki kwenye bunge lililoisha, uchaguzi ule tuliufanyia Karimujee, Nape akiwa Mwenezi na Kinana akiwa Katibu Mkuu. Katika Kura kulikuwa na mchuano mkubwa sana kwa upande wa Akina mama, chaguzi...
  3. P

    Pre GE2025 Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine. "Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani...
  4. Erythrocyte

    Pre GE2025 Mchungaji Msigwa atangaza kukata rufaa kupinga Ushindi wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Kanda ya Nyasa

    https://www.youtube.com/live/-6K3ZpUpoB8 Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua) Ametangaza kukata rufaa kwenye Kamati Kuu ya Chama chake kupinga ushindi huo wa Sugu, bado haijajulikana kama Kamati Kuu...
  5. Comred Mbwana Allyamtu

    Matokeo ya uchaguzi Afrika Kusini

    Tume huru ya uchaguzi ya Afrika kusini (IEC) imetangaza matokeo ya mwisho ya NPE 2024 katika Kituo cha Kitaifa cha Uendeshaji wa Matokeo huko Midrand, Kura kutoka majimbo 19 na mikoa 9 zimekusanywa katika jumla ya vyama 18 vya siasa vilivyo shiriki uchaguzi huu. Matokeo hayo yanaonyesha kuwa...
  6. Pascal Mayalla

    J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake

    Wanabodi Kupitia kipindi changu kipya cha KMT, kinachorushwa hewani na kituo cha Television cha Channel Ten, kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku na marudio siku za Jumatano Saa 9:30 alasiri, Katibu Mkuu wa Chadema, JJ. Mnyika, ameunguruma na amezungumza mengi. Kwa wale ambao bundle sio...
  7. sky soldier

    Matokeo ya uchaguzi CCM chipukizi: Mtoto wa msanii Shetta na Mwigulu Nchemba wang'ara

    Qayllah Nurdin Bilal, ambaye ni mtoto wa msanii wa Bongofleva, Shetta (Hutaniwa wamefanana na Kova), amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Dodoma.Qayllah amepata kura 303 kati ya kura halali 429 zilizopigwa Isack Mwigulu Nchemba...
  8. BARD AI

    Rais wa Madagascar kuapishwa licha ya Upinzani kususia Matokeo ya Uchaguzi

    Andry Rajoelina ambaye ni Rais wa taifa hilo ataapishwa leo Desemba 16, 2023 kuendelea na nafasi hiyo baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika huku kukiwa na madai ya Upinzani juu ya kuwepo kwa Ukiukwaji wa Haki na Uwazi. Rais huyo aliyeingia Madarakani mwaka 2009 baada ya Rais...
  9. BARD AI

    Zimbabwe: Upinzani waitisha Maandamano Nchi nzima kupinga Matokeo ya Uchaguzi

    Kiongozi cha Chama Kikuu cha Upinzani cha Citizens Coalition for Change (CCC), kimetangaza kuchuka hatua hiyo kwa maelezo kuwa Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yaliyompa Ushindi Rais Emmerson Mnangagwa ni Batili. Maandamano hayo yatafanyika katika Majimbo 10 huku CCC ikiwaomba Wanaharakati kusambaza...
  10. Lady Whistledown

    Angola: Upinzani wawasilisha pingamizi la kisheria dhidi ya matokeo ya uchaguzi Mkuu

    Chama Kikuu cha upinzani UNITA, kimewasilisha pingamizi la kisheria dhidi ya matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Agosti 24 wa wiki iliyopita na kusema kuwa Uchaguzi huo ulikuwa na dosari Chama tawala cha MPLA - ambacho kimekuwa madarakani tangu 1975 - kilitangazwa kuwa mshindi wa Uchaguzi huo kwa...
  11. Zanzibar-ASP

    Kenya 2022 MAHESABU YA KURA: Kumbe elimu ya Kenya ipo chini sana na upeo wa wakenya upo chini mnoo!

    Kituko kikubwa cha karne kuhusu hesabu leo kimeonekana huko Kenya baada ya makamishina wanne wa tume ya uchaguzi waliotangaza kujitoa kwenye mchakato wa kutangaza matokeo ya urais kuja na hoja finyu za ukilaza wa mahesabu. Mbali na sababu zingine walizozitoa, kubwa lilikuwa ni wao kujenga hoja...
  12. The Sheriff

    Kenya 2022 Raila Odinga akataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa Rais

    Aliyekuwa Mgombea wa Kiti cha Urais nchini Kenya na kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga anatarajiwa kuzungumza na Wakenya kupitia vyombo vya habari leo Jumanne, Agosti 16, 2022. Taarifa hiyo iliyotolewa na Dennis Onsarigo ambaye amekuwa msimamizi wa mawasiliano katika kampeni...
  13. BARD AI

    Twitter imeanza kuonesha matokeo ya Uchaguzi wa Kenya yasiyo sahihi

    Twitter imeanzisha kipengele cha kuripoti matokeo ya Uchaguzi Mkuu yasiyo rasmi yanayowekwa na wafuasi na kambi mbili za wagombea Urais Kenya Taarifa itaonekana chini ya matokeo ya kura yaliyowekwa na watu binafsi, na kutahadharisha watumiaji kuwa matokeo hayo hayatokani na Tume Huru ya...
  14. E

    CHADEMA wanaamini Serikali itawafukuza wabunge 19 na kuwaunga wao kugomea matokeo ya uchaguzi

    Mimi siwaelewi chadema kabisa na watanzania wanaoshabikia hili Baada ya uchaguzi wa mwaka 2020 CHADEMA walitangaza kutokubali matokeo na kuamua kususia kila kitu kilichotokana na uchaguzi huo kwa kufanya yafuatayo. 1. walitangaza kutomtambua raisi 2. Walimzuia mbunge wa nkasi kwenda bungeni 3...
  15. Manofu

    Kumbukumbu: Siku Mtandao wa Intaneti ulipokatwa kwa Wiki nzima kisa Matokeo ya Uchaguzi

    Nakumbuka nilikuwa kijijini baada ya UCHAGUZI wa mwaka jana na kura kuanza kuhesabiwa ghafla siku ya kwanza yakuhesabu kura mtandao wa internet ukawa haupatikani nikaona labda itakuwa nitatizo la kiufundi. Aisee tumeenda siku ya pili mpaka wiki inapita no internet. Kuja kushtuka jiwe kaisha...
  16. beth

    Gambia: Mahakama yatupilia mbali ombi la kubatilisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu

    Mahakama ya Juu Nchini humo imetupilia mbali ombi la Chama Kikuu cha Upinzani la kubatilisha matokeo ya Uchaguzi wa Rais wa Desemba 4, ambapo Rais Adama Barrow alitangazwa mshindi Kiongozi wa Chama cha United Democratic Party (UDP), Ousainou Darboe aliyepata 28% ya Kura alisema Kampeni za...
  17. MamaSamia2025

    Mahakama na wanasiasa wa Tanzania wana la kujifunza kwa Wazambia kuhusiana na kesi za matokeo ya uchaguzi

    Mwaka huu nimetokea kuvutiwa na siasa za Zambia na kuamua kufuatilia mambo kadhaa kupitia mitandao ya kijamii. Kuna jambo limetokea siku za hivi karibuni ambalo limenishangaza sana na ni somo kubwa sana kwa siasa za Tanzania na mhimili wa mahakama. Wote tunakumbuka uchaguzi wa wenzetu...
Back
Top Bottom