matukio ya utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abdurahman Yunusu adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana wakiwa na Land Cruiser Geita, majibu ya polisi hayaridhishi

    Familia ya Mariamu Ibrahim Juma, mkazi wa Mtaa wa Uwanja, Kata ya Nyankumbu, Mjini Geita, imeiomba serikali kupitia Jeshi la Polisi kusaidia kumtafuta mtoto wao, Abdurahman Yunusu (24), ambaye ametoweka kwa siku 13 katika mazingira ya kutatanisha. Akizungumza na Wasafi Media, mama mzazi wa...
  2. Taarifa fupi ya utekaji

    . Ilikua ni asubuhi Jacob Mlay (pichani) alitoa nguo zake nje ili azifue ghafla akapokea sms kutoka kwa Deusdedith Soka, Soka akamwambia Mlay Kaka salama naomba unisindikize Polisi Chang'ombe, Polisi wamenipigia simu niende nikachukue Bodaboda yangu. Mlay: akajibu sawa ngoja nirudishe nguo...
  3. Pre GE2025 Dar: Method Damian Kumdyanko adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana wakiwa na silaha

    Method Damian Kumdyanko mkazi wa Sinza Dar Es Salaam anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana wenye silaha siku ya Februari 28, 2025 nje ya geti la nyumba yake Sinza Dar Es Salaam. Akizungumza na Jambo TV Tura Chaula ambaye ni rafiki wa kike wa Method na aliyeshuhudia tukio hilo amesema siku hiyo...
  4. Pre GE2025 Mwenyekiti wa UWT Iringa atahadharisha matukio ya Utekaji na Rushwa kipindi cha Uchaguzi

    Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa, Zainabu Mwamwindi ametoa wito kwa wanachama wa UWT Wilaya ya Iringa Vijijini kuwa makini na matukio ya utekaji kwa kupigiwa simu na kufuata maelekezo pasipo kupata uthibitisho kutoka kwa viongozi. Ametahadharisha pia dhidi ya vitendo vya rushwa, akisisitiza...
  5. Tarime: Mwenyekiti wa CCM kata ya Itiryo, Peter Magau Mohere adaiwa kutekwa Januari 9, 2025 watekaji wakijitambulisha kuwa ni maafisa wa polisi

    Mwenyekiti wa CCM kata ya Itiryo Peter Magau Mohere anadaiwa kutekwa usiku wa kuamkia jumapili Januari 9,2025 ikiwa ni siku moja baada ya makamu mwenyekiti CCM Taifa kuondoka Tarime. Bado taarifa kamili haijulikana juu ya utekwaji huo, kwa mujibu wa Mwenyekiti Serekali ya Kijiji cha Itiryo...
  6. POTOSHI Rais Trump alitambua uwepo wa Rigathi Gachagua katika hotuba yake baada ya kuapishwa na kutoa onyo kwa Rais Ruto kuhusu matukio ya Utekaji

    Je, ni kweli Trump alitambua uwepo wa Rigathi Gachagua katika hotuba yake ya uapisho na kutoa onyo kali kwa Ruto kuhusu matukio ya Utekaji, na je, huyu Gachagua alihudhuria kwenye tukio hilo?
  7. T

    Pre GE2025 Abdul Nondo: Kama matukio ya utekaji ni ya kutengenezwa, tuambiwe aliyemteka Soka

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo akizungumza na wanahabari leo januari 9, 2024 amesema kuwa “kumekuwa na mwanya wa dhihaka na propaganda kwamba matukio haya ya utekaji sio ya ukweli ni ya kutengeneza ntu anawezaje kutengeneza kujiumiza, mtu anawezaje kutengeneza kujiumiza mguu...
  8. Tume ya Haki za Binadamu Kenya yaripoti kutokea kwa jumla ya matukio 82 ya Utekaji nchini humo tangu mwezi Juni

    Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu nchini Kenya imetoa ripoti mpya ambayo inaonesha kuongezeka kwa idadi ya matukio ya utekaji nchini humo dhidi ya wakosoaji wa serikali Kwenye ripoti yao ya hivi karibuni imeonesha kuwa kumekuwa na matukio ya utekaji takrbani 82 tangu maandamano dhidi ya...
  9. Wanasiasa, Wananchi wanamtaka Rais Ruto kukemea na kukomesha Matukio ya Utekaji, Mauaji ya Wakosoaji wake

    Wadau mbalimbali wa masuala ya Haki za Binadamu wakiwemo Wanasiasa wametoa wito kwa Rais William Ruto kukemea na kukomesha Vitendo vya Utekaji wa Wananchi wengi wakiwa ni wakosoaji wa Serikali yake. Miongoni mwa waliotoa wito huo ni pamoja na Mahakama, Wanasiasa Raila Odinga, Kalonzo Musyoka...
  10. Tabora: Askofu KKKT, Isaac Laizer: Ataka maombi yakitaifa kukemea utekaji, mauaji

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Magharibi Tabora, Isaac Laizer, ameonya juu ya ongezeko la matukio ya utekaji na mauaji, akiwataka wakristo kote nchini kufunga na kuomba kwa dhati ili kutokomeza matukio hayo. Akizungumza jana, Desemba 8, 2024, katika maombi ya...
  11. S

    Wito kwa Watanzania wote: Ukisikia mtu anapiga kelele anatekwa tafadhali na chonde chonde toa msaada!

    Natoa wito kwa Watanzania wenzangu wote wenye upendo na kuthamini uhai na haki za binadamu wenzao. Imetokea mara kadhaa kwamba watu wanatekwa, wanapiga kelele kuomba msaada lakini watu wanaangalia tu bila kutoa msaada. Tafadhali sana, unaposikia mtu anapiga kelele kuomba msaada anatekwa...
  12. Kuna umuhimu wa kuachia video za CCTV baada ya jeshi la polisi kukana kuwa hawahusiki na tukio lolote la utekaji linapotokea

    Mara kadhaa linapotokea tukio la utekaji bila ya uwepo wa ushahidi wa Video Polisi wamekuwa wakisema wahusika ni watu wasiojulikana mfano Tukio la mzee Kibao, Abdul Nondo na wengine wahusika hawajajulikana mpaka sasa. Matukio kama hayo yakitokea na muda mfupi video za CCTV zikiachiwa utasikia...
  13. DOKEZO Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini

    Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini. Polisi hao, wakiwa na sare na wengine hawana sare, walitishia kuvunja milango licha ya kuambiwa...
  14. Ado Shaibu awataja wanaodaiwa kumteka Abdul Nondo, "Wakimpiga Nondo mmoja wanazaliwa 100, Hatutoogopa"

    Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amewataja watu waliomteka na kumtesa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama hicho, Abdul Nondo, akisema kuwa licha ya mateso hayo, chama hakitogopa wala kutojiweka pembeni. Akiwa katika mkutano hapo jana (Disemba 3), Shaibu alisema kwamba "wakimpiga...
  15. N

    Orodha halisi ya nchi 90 zinazoongoza kwa matukio ya utekaji nyara, kuumizwa, na mauaji kulingana na data mbalimbali za kimataifa za uhalifu

    Kulingana na RIPOTI KUTOKA OFFICE OF HIGH COMMISSIONER FOR HUMAN RIGHTS (OHCHR)ambayo ni ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na kukuza na kulinda haki za binadamu duniani ikiwa inasimamia utekelezaji wa mkataba wa kimataifa wa haki za binadamu na na kusaidia nchi wanachama katika kuimarisha...
  16. Picha za Abdul Nondo akiwa hospitali akiendelea na matibabu

    Taarifa ya Chama cha ACT Wazalendo imeeleza "Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aghakhan, Dar es Salaam kutokana na kuumizwa kwa kipigo na watu waliomteka." Pia soma ~ Taarifa ya kutekwa kwa Abdul Nondo kutoka ACT Wazalendo...
  17. Nondo azungumzia kutekwa kwake. Nina hofu sana na maisha yangu

    Matukio ya utekaji bado tishio nchini Tanzania kwa tukio la hivi karibuni, la kutekwa kwa Mwenyekiti wa Ngome ya vijana ya chama cha upinzani nchini Tanzania, ACT Wazalendo, Abdul Nondo ambapo kwa sasa akiwa amelazwa katika hospitali ya Agha Khan, jijini Dar es Salaam, baada ya kutekwa na...
  18. Press Conference ya ACT Wazalendo kuhusu kutekwa Abdul Nondo ilidhamiriwa kunyamazishwa?

    Nimetafuta sana press conference ya ACT Wazalendo waliyofanya jana jioni kuhusu ukamatwaji wa Abdul Nondo iliyoongozwa na kiongozi mmoja wa ACT. Nimebahatika kuipata ikiwa imerushwa na ICON TV tu. Labda mtanisaidia kama kuna pahala inapatikana kwa sauti yenye ubora. Lakini nilichoona ni kipaza...
  19. Polisi: Gari la kituo cha Gogoni halihusiki na utekaji wa Abdul Nondo

    Jeshi la Polisi limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai gari lililoegeshwa Kituo cha Polisi Gogoni limehusika na tukio la utekaji wa Abdul Omary Nondo katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli leo alfajiri. Pia, Soma: Zitto: Tumepata Taarifa Nondo yuko Kituo cha polisi Gogoni, Tumefika...
  20. Kwa hali ilivyo ni muda wa kuwa na Tanzania Bureau of Investigation ambayo itakuwa inahusika na Uchunguzi pekee!

    Wakuu, Kiukweli tangu mwaka huu uanze kumekuwa na utitiri wa matukio ya mauaji na utekaji ambayo hakuna hata moja tumepatiwa majibu. Tukio likitokea, formula ni ile ile. Polisi watatoa "Statement" kwenye social media alafu mwishoni utakutana na sentesi ya UCHUNGUZI UNAENDELEA. Ni kama Polisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…