Hakuna haja ya kuongeza neno, Taarifa yake hii hapa.
---
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura amesema jeshi hilo halihusiki na matukio yanayodaiwa kuwa ni ya utekaji, kwani jukumu lake la msingi na la kikatiba ni kuhakikisha linalinda usalama wa raia na mali zao.
IGP Wambura...
Nimesikia wanasiasa wanasema kutekana na kupotea kulikwisha ila kumeanza kurudi tena, hivi ni lini yalikwisha?
Kwa kumbukumbu zangu kila baada ya muda tunasikia tukio la kupotea au kutekwa.
Au mpaka atekwe Lissu, Mdude, Mbowe au mtu yoyote maarufu ndio tujue matukio yanaendelea?
Matukio yote ambayo Vijana wanatekwa hasa Wenye mlengo wa kukosoa serikali, UVCCM haijawahi kutoa tamko la kukemea hata kinafiki tu. Tukio la karibuni zaidi ni la kijana Edgar Mwakabela @SATIVA ambaye alitekwa Dar na kutupwa Katavi baada ya kupigwa risasi ya kichwa lakini Mungu mkubwa ikamvunja...
UTANGULIZI
Kwa takribani kipindi cha miaka 8 mfululizo nchini Tanzania (2016-2024) matukio ya watu kutekwa nyara, kupotezwa na hata kushambuliwa au kuuawa na watu wasiojulikana huku wahusika wa matukio hayo wakiwa hawapatikani yamekua matukio ya mfuatano na ya kawaida kabisa. Yalishamiri sana...
Rais Samia tunakupenda, tunakuheshimu, wewe ndio Dereva unayeendesha gari la Tanzania, sijui kama kweli hujui hila zinazoendelea ndani ya Serikali yako.
Wakati wa Magufuli makumi ya watu wametoweka na hadi sasa hawajulikani walipo akiwemo Ben Saanane, na wote waliotoweka walikuwa wakosoaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.